Uteuzi: Ummy Mwalimu ateuliwa kuwa Mshauri wa Rais Samia kwa masuala ya Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto

Uteuzi: Ummy Mwalimu ateuliwa kuwa Mshauri wa Rais Samia kwa masuala ya Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto

Watu wanaendesha nchi kwa maslahi yao binafsi.

Katika nchi yetu bado vifo vya mama wajawazito na watoto wachanga viko juu.

Mpaka sasa nchi hii imejaa madaktari bingwa na bingwa bobezi katika masuala ya afya ya uzazi, mama na mtoto.

Ni ajabu sana kumteua mtu ambaye si mtaalamu wala hajabobea kabisa katika masuala ya afya.

Kama kweli wamedhamiria kushughulikia matatizo ya afya ya uzazi, mama na mtoto wangeteua wataalamu husika.

Lakini kwa sababu ya malengo yao binafsi ndiyo haya ya kuteua tu watu bila kuendana na taaluma zao. Viongozi hawa wapo madarakani kwa ajili ya maisha yao.

Hivi leo daktari bingwa wa magonjwa ya akina mama na uzazi anaweza kuwa mshauri wa raisi katika masuala ya sheria?
Hivi Wanu kasomea nini
Naye kupachikwa wizard ya elimu?
 
Wakuu,

Naona Bi. Mkubwa kaona anakosa wa kupiga nae umbea na kushangilia mambo MAZURI ya uongozi wake, akaona amvute Oddo ake karibu, sasa amebaki Makamba kumsaidia kuua hizo team ndani ya chama😌😌

====


Rais Samia amefanya uteuzi wa Mshauri wa Rais.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Mpogole Kusiluka, Bi. Ummy Ally Mwalimu ameteuliwa kuwa Mshauri wa Rais - Masuala ya Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto.


Pia soma
~ Uteuzi/Utenguzi Aprili 2, 2026: Angela Kizigha ateuliwa kuwa Mbunge, Mkurugenzi EWURA atenguliwa
~ Uteuzi: Lukuvi, Kabudi warejeshwa Baraza la Mawaziri, Ummy aondolewa Wizara ya Afya. TTCL, TAKUKURU zapata Mabosi wapya
Huyu Shaaban Kissu amepigaje pigaje pale mpaka kuwa Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu?
 
Back
Top Bottom