Uteuzi: Ummy Mwalimu ateuliwa kuwa Mshauri wa Rais Samia kwa masuala ya Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto

Wakuu,

Rais Samia amefanya uteuzi wa Mshauri wa Rais.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Mpogole Kusiluka, Bi. Ummy Ally Mwalimu ameteuliwa kuwa Mshauri wa Rais - Masuala ya Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto.

Pia soma
~ Uteuzi/Utenguzi Aprili 2, 2026: Angela Kizigha ateuliwa kuwa Mbunge, Mkurugenzi EWURA atenguliwa
~ Uteuzi: Lukuvi, Kabudi warejeshwa Baraza la Mawaziri, Ummy aondolewa Wizara ya Afya. TTCL, TAKUKURU zapata Mabosi wapya
Jibu sijui mwalimu
Ni fau ndio alieyenipiga ngumi mwalimu
Ni vile sijulikani mwalimu
Au nkurudishe tuone ka apaUmmy Mwalimu

Dizasta Vina
 
Wakuu,

Rais Samia amefanya uteuzi wa Mshauri wa Rais.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Mpogole Kusiluka, Bi. Ummy Ally Mwalimu ameteuliwa kuwa Mshauri wa Rais - Masuala ya Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto.

Pia soma
~ Uteuzi/Utenguzi Aprili 2, 2026: Angela Kizigha ateuliwa kuwa Mbunge, Mkurugenzi EWURA atenguliwa
~ Uteuzi: Lukuvi, Kabudi warejeshwa Baraza la Mawaziri, Ummy aondolewa Wizara ya Afya. TTCL, TAKUKURU zapata Mabosi wapya
Hii tuliosoma political science inaitwa "Kaa hapa ili nikuone" haha
 
Wakuu,

Naona Bi. Mkubwa kaona anakosa wa kupiga nae umbea na kushangilia mambo MAZURI ya uongozi wake, akaona amvute Oddo ake karibu, sasa amebaki Makamba kumsaidia kuua hizo team ndani ya chama😌😌

====

Rais Samia amefanya uteuzi wa Mshauri wa Rais.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Mpogole Kusiluka, Bi. Ummy Ally Mwalimu ameteuliwa kuwa Mshauri wa Rais - Masuala ya Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto.

Pia soma
~ Uteuzi/Utenguzi Aprili 2, 2026: Angela Kizigha ateuliwa kuwa Mbunge, Mkurugenzi EWURA atenguliwa
~ Uteuzi: Lukuvi, Kabudi warejeshwa Baraza la Mawaziri, Ummy aondolewa Wizara ya Afya. TTCL, TAKUKURU zapata Mabosi wapya
kila lakheri mh.Ummy Mwalimu :NoGodNo:
 
Watu wanaendesha nchi kwa maslahi yao binafsi.

Katika nchi yetu bado vifo vya mama wajawazito na watoto wachanga viko juu.

Mpaka sasa nchi hii imejaa madaktari bingwa na bingwa bobezi katika masuala ya afya ya uzazi, mama na mtoto.

Ni ajabu sana kumteua mtu ambaye si mtaalamu wala hajabobea kabisa katika masuala ya afya.

Kama kweli wamedhamiria kushughulikia matatizo ya afya ya uzazi, mama na mtoto wangeteua wataalamu husika.

Lakini kwa sababu ya malengo yao binafsi ndiyo haya ya kuteua tu watu bila kuendana na taaluma zao. Viongozi hawa wapo madarakani kwa ajili ya maisha yao.

Hivi leo daktari bingwa wa magonjwa ya akina mama na uzazi anaweza kuwa mshauri wa raisi katika masuala ya sheria?
 
Vyeo vya kipigaji vinaundwa kila siku, huyo bibi anataka ushauri gani hasa kuhusu mama na mtoto hadi aunde hyo nafasi na igharamiwe na kodi zetu?

Acha tupinde migongo ili mzanzibari achezee jasho letu.
Hivi hawa washauri wa Rais huwa wanalipwa kila mwez kwa kazi hiyo tu?
 
Wakuu,

Naona Bi. Mkubwa kaona anakosa wa kupiga nae umbea na kushangilia mambo MAZURI ya uongozi wake, akaona amvute Oddo ake karibu, sasa amebaki Makamba kumsaidia kuua hizo team ndani ya chama😌😌

====

Rais Samia amefanya uteuzi wa Mshauri wa Rais.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Mpogole Kusiluka, Bi. Ummy Ally Mwalimu ameteuliwa kuwa Mshauri wa Rais - Masuala ya Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto.

Pia soma
~ Uteuzi/Utenguzi Aprili 2, 2026: Angela Kizigha ateuliwa kuwa Mbunge, Mkurugenzi EWURA atenguliwa
~ Uteuzi: Lukuvi, Kabudi warejeshwa Baraza la Mawaziri, Ummy aondolewa Wizara ya Afya. TTCL, TAKUKURU zapata Mabosi wapya
ummy mwalimu kitaaluma ni daktari au muuguzi😁😁😁
 
Kweli huyu Rais sasa anachosha, hv kumbe ni mswahili hivi? Sijawahi ona Rais wa hovyo km huyu, ni aibu kwa wanawake wa Africa. Yaani mswahili aliyepitiliza, ktk ugumu huu wa uchumi Rais anaunda vinafasi vya kipuuzi? Huyu ni laana kwa nchi yetu
 
Back
Top Bottom