Hivi Wanu kasomea nini
Naye kupachikwa wizard ya elimu?
Kuanzia lini Tanzania tunaangalia professionalism!!!?,unajifanya uko USA eeehUmmy ni lawyer sasa iweje akashauri mambo ya afya tena??
Amekuwa Waziri wa afya kama msimamizi wa Sera na sio expert nafasi ya Waziri haihitaji mtu kuwa mtaalam na hio field ila nafasi ya ushauri lazima mtu awe expert katika Hilo eneo analo shauri!!!
Anampa cheo kumzuga ili Ummy aone kama anarudishwa kundini kisha afumuliwe kama alivyofanywa Lukuvi...tulivyokuwa wadogo tulikuwa tunatega njiwa kwa kuwarushia mcheleKwani waziri wa afya hatoshi kushauriana na Rais mpaka ateue mshauri binafsi?
Mzee wa msoga alifaidi sana kwa ticha.....Wakuu,
Naona Bi. Mkubwa kaona anakosa wa kupiga nae umbea na kushangilia mambo MAZURI ya uongozi wake, akaona amvute Oddo ake karibu, sasa amebaki Makamba kumsaidia kuua hizo team ndani ya chama😌😌
====
Rais Samia amefanya uteuzi wa Mshauri wa Rais.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Mpogole Kusiluka, Bi. Ummy Ally Mwalimu ameteuliwa kuwa Mshauri wa Rais - Masuala ya Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto.
Pia soma
~ Uteuzi/Utenguzi Aprili 2, 2026: Angela Kizigha ateuliwa kuwa Mbunge, Mkurugenzi EWURA atenguliwa
~ Uteuzi: Lukuvi, Kabudi warejeshwa Baraza la Mawaziri, Ummy aondolewa Wizara ya Afya. TTCL, TAKUKURU zapata Mabosi wapya
Tumeshawazoe,so ni rahisi ku predict the next stepMlongo, umewaza km mie, tena naona atakua Naibu Waziri mkubwa.
Ni upumbavu mtupu kumteua Ummy kuwa mshauri wa mambo ya afya. Kipindi Ummy akiwa Waziri wa afya ndipo NHIF ilidorora hadi TOTO KADI ikafutwa na uhaba wa dawa.Wakuu,
Naona Bi. Mkubwa kaona anakosa wa kupiga nae umbea na kushangilia mambo MAZURI ya uongozi wake, akaona amvute Oddo ake karibu, sasa amebaki Makamba kumsaidia kuua hizo team ndani ya chama😌😌
====
Rais Samia amefanya uteuzi wa Mshauri wa Rais.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Mpogole Kusiluka, Bi. Ummy Ally Mwalimu ameteuliwa kuwa Mshauri wa Rais - Masuala ya Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto.
Pia soma
~ Uteuzi/Utenguzi Aprili 2, 2026: Angela Kizigha ateuliwa kuwa Mbunge, Mkurugenzi EWURA atenguliwa
~ Uteuzi: Lukuvi, Kabudi warejeshwa Baraza la Mawaziri, Ummy aondolewa Wizara ya Afya. TTCL, TAKUKURU zapata Mabosi wapya
Hivi hawa washauri wana msaada kweli?Wiki ijayo rango nae atateuliwa
Ni mwanasheria.ummy mwalimu kitaaluma ni daktari au muuguzi😁😁😁
Nipe matokeo mechi imeishaje?shukrani jazzilan gentleman,
ila Serengeti Boys wameiva bana dah! Ebana wanapiga mwingi ni balaa 🔥🔥
story za vijiwe vya gongoKuna kete zinachezwa hao watu warejee kwenye Mifumo ili kutia nguvu kwenye Mchakato wa Ku pick flag bearer wa top seat 2030
Hata kina Nape na January watarudishwa Lakini Uzuri ni kuwa wanarejea na tahadhari na wanajua mtu wanae deal nae ana Kariba gani, Mfano ummy uyo anarudi tayari akiwa very precautions
2030 watu hawataamini macho yao
kalale kimyakimya gentleman plz,Nipe matokeo mechi imeishaje?
Huu ni usanii tu, Ummy ni mwanasheria atamsaidia ushauri gani wa mambo ya uzazi, mama na watoto? Kodi zetu zinachezewa ******* sana.Wakuu,
Naona Bi. Mkubwa kaona anakosa wa kupiga nae umbea na kushangilia mambo MAZURI ya uongozi wake, akaona amvute Oddo ake karibu, sasa amebaki Makamba kumsaidia kuua hizo team ndani ya chama😌😌
====
Rais Samia amefanya uteuzi wa Mshauri wa Rais.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Mpogole Kusiluka, Bi. Ummy Ally Mwalimu ameteuliwa kuwa Mshauri wa Rais - Masuala ya Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto.
Pia soma
~ Uteuzi/Utenguzi Aprili 2, 2026: Angela Kizigha ateuliwa kuwa Mbunge, Mkurugenzi EWURA atenguliwa
~ Uteuzi: Lukuvi, Kabudi warejeshwa Baraza la Mawaziri, Ummy aondolewa Wizara ya Afya. TTCL, TAKUKURU zapata Mabosi wapya
Kama tayari tuna Waziri wa Afya (na Wizara nzima ya Afya ambayo ina wataalam na wabobezi wa kutosha), na ambao ndiyo Primary Advisors wa Rais kwenye Masuala yooote ya Kiafya, kwa nini tena tuwe na Advisor mwingine nje ya Wizara ya Afya? Role yake itakuwa ni nini ambacho hawa wengine hawafanyi?Unateua wanasheria kuwa waziri wa Afya,na mwanasheria mwingine tena kuwa mshauri wa mambo ya afya.
Unamteua mtu wa Utawala(P.A) kuwa waziri wa katiba na sheria,wanasheria wanabaki benchi.
Hivi hawa washauri huwa wanashauri nini labda?
Wanalipwa kushauri? wanalipwaje? per ushauri au mshahara wa mwezi tu kutoa ushauri hata kama hatoshauri?
Ummy huyuhuyu aliyemnena kuwa akilewa kidogo chupi mkononi anagawa utamu kwa madogo? Ummy huyuhuyu aliyetunyetisha kuwa bi Mwajuma anahusudu kunyonywa punani akipata 'pegi' mbili tatu za Nyagi?Wakuu,