Uteuzi wa Afande Ramadhani Kingai kuwa DCI (Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai). Je, Rais Samia amepotoshwa?

mama huwa analetewa majina yeye ni kutia sahihi tu
 
Kwa hiyo unamaanisha TanPol wote hawajui PGO kama ilivyo kwa R. Kingai, kama tulivyoshuhudia kwenye kesi ya uhujumu uchumi ya Mbowe!!???
Well...kàbla hajawa maarufu na ile kesi ya Mwenyekiti alikua Tayar na rank kubwa jeshini...na leo kaongezewa cheo kingine...sasa sina hakika jeshi Lina askari wangapi wenye weledi kama wake mpaka yeye ndio aonekane anastahili,..pia kwa kumwangalia tuu sura yake anaonekana bado kijana, hivyo usishangae siku moja Naye akafikia Rank ya juu kabisa jeshini,na sidhani unaweza kufika Kule Bila kujua hizo basics, na kumbuka mara nyingi makamishna wa police Kazi yao kubwa ni sera na kucommand...PGO wanakalili wale waandika mafaili/RB na askari wadogo...wakubwa inakua rahisi kusahau kutokana na either majukumu au kurelax na vyeo,so sometimes hawajikumbushi kwa kupitia notes...sasa kapewa department ambayo inawabobezi na am sure atakua guided vizuri tuu.
 

Kuteua ni urais na urais ni taasisi,taasisi imeamua KINGAI apewe nafasi hiyo,na nyie kateueni wabunge wenu wa viti maalum si mlishawafukuza kina Halima na wenzake?
 
Ni fadhila kwa kazi akiyotumwa dhidi ya Mbowe japo alibadili gia angani na pia ni Mwiislamu.
 
Mnufaika mkubwa wa Jeshi katili la Polisi hapa Tanzania ni CCM, kwa vyovyote vile uteuzi wa Afande Kingai una baraka za CCM kwa lengo la kuendelea kuwatawala Watanzania kwa mkono wa chuma kupitia Jeshi katili la Polisi.
 
Sirro kapewa ubalozi kbsa sii ni fadhila kapewa htuna watu wengine wa KUFANYA kzi jitu limeiba sana bdo unalipa kazi ingine badala apumzike
 
Hii ni dharau kwa watanzania. Hivi rais Samia anapofushwa madaraka kiasi kwamba haoni Wala hasikii malalamiko ya watanzania?
Kwa jeuri hii nadhani tunapaswa kumshitaki kwa Mungu, mtangulizi wake aliendeleza dharau kama hizi kwa Watanzania Mungu akatuamuria.
 
 
Kama huyo bedui wako alipelekwa kuzimu na ukashangilia kwamba sasa unapumua nini kinakufnya ulielie hapa?
 
Huyu mtu hana maadili yeyeto wala performance yeyeto anapewaje madaraka hayo.
 
Huyu hamna kitu. Mtu aliyembambika Mbowe kesi atashindwa vipi kubambika watu kesi
UNYUMBU unakusumbua sana kwa kujishughulisha na matatizo ya Mbowe ambaye siyo hata baba yako.

Uko mitandaoni unabwekaaa na KUJENGA chuki kaliii Dhidi ya Kingai kwasababu ya mangi Mbowe, wakati huyo mangi Mbowe kila siku yupo nao Ikulu huko anakula kuku na familia yake.

UNYUMBU Ni ugonjwa wa Akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…