Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumuulize na yule Mzee Kwa maslahi ya Taifa🚶mama huwa analetewa majina yeye ni kutia sahihi tu
Sukuma Gang hamna kitu kwisha habari yenu mnaanza kujiendekeza kwa Hangaya mliyekuwa mnamuita muuaji wa lile zimwi lenu.Sukuma gang imekomeshwa et ee?
Well...kàbla hajawa maarufu na ile kesi ya Mwenyekiti alikua Tayar na rank kubwa jeshini...na leo kaongezewa cheo kingine...sasa sina hakika jeshi Lina askari wangapi wenye weledi kama wake mpaka yeye ndio aonekane anastahili,..pia kwa kumwangalia tuu sura yake anaonekana bado kijana, hivyo usishangae siku moja Naye akafikia Rank ya juu kabisa jeshini,na sidhani unaweza kufika Kule Bila kujua hizo basics, na kumbuka mara nyingi makamishna wa police Kazi yao kubwa ni sera na kucommand...PGO wanakalili wale waandika mafaili/RB na askari wadogo...wakubwa inakua rahisi kusahau kutokana na either majukumu au kurelax na vyeo,so sometimes hawajikumbushi kwa kupitia notes...sasa kapewa department ambayo inawabobezi na am sure atakua guided vizuri tuu.Kwa hiyo unamaanisha TanPol wote hawajui PGO kama ilivyo kwa R. Kingai, kama tulivyoshuhudia kwenye kesi ya uhujumu uchumi ya Mbowe!!???
Kwanini kama Taifa tunarudia makosa ya kuteua watu wenye makando kando kama Afande Ramadhani Kingai? Huyu mtu kwa sasa anafahamika na kila Raia kwa matendo yake yaliyojidhihirisha pale Mahakamani wakati wa kesi ya Mbowe
Je, tunasubiri afanye ukatili na unyama wa kiasi gani kwenye hili Taifa?
Tulishajifunza wakati wa JPM umuhimu wa vetting ya viongozi kwa yaliyotokea. Je, bado tunaendelea kujifunza.
Afande Kingai hakupaswa kupewa nafasi ya DCI hata kidogo, Imani ya Raia kwa huyu mtu ni ndogo sana, Wakati wa kesi ya Mbowe huyu alihusishwa na utesaji na utekaji, Na hata majibu yake mahakamani alijichanganya sana kuhusu kuwahamisha watuhumiwa tokea kituo kimoja cha polisi kwenda kingine na malengo yake kuhusu utesaji
Uteuzi wa Afande Ramadhani Kingai kuwa Mkurugenzi wa makosa ya jinai unaligawa Taifa ambalo Rais Samia alikuwa anafanya jitihada za kuliunganisha kwa maridhiano
Kwenye kesi ya Mbowe pale mahakamani, Afande Kingai alikuwa shahidi mkuu upande wa jamhuri na ushahidi wake alioutoa pale mahakamani wa kuwanunulia watuhumiwa Mo energy ikawa mwanzo wa watu kuamini huyu Bwana ameshiriki Katika kesi ya mchongo kuanzia kudraft mpaka kupeleka mahakamani.
Afande Kingai alishindwa kujibu maswali ya mawakili wa utetezi hata moja na hata maswali yaliyohusiana na kitendea kazi chake ya General Orders of police (PGO) alionekana haelewi pale Mahakama ya uhujumu Uchumi.
Ushahidi wa Afande Kingai ambaye alikuwa Shahidi mkuu ulileta mkanganyiko pale Mahakama ya Uhujumu Uchumi na ndio ukawa mwanzo wa watu kufahamu siri ya kesi ya akina Mbowe pamoja na Kikosi kazi maalum kilichojumuisha Afande Goodluck
Maswali ya kujiuliza sisi kama Raia wa nchi hii:
Unawezaje kumpa mtu nafasi ya DCI wakati umma wa Watanzania wanafahamu huyu mtu amechafuka?
Je, huu ndio mwanzo wa watu kubambikiwa kesi za mauaji hapa nchini?
Je, uteuzi huu Bwana Kingai sio ni mwanzo wa kufumua madonda ambayo Rais Samia alishaanza kuyaponya?
Moja ya watu kuzidi kudai Katiba Mpya ni kutokana na uteuzi wa watu aina ya Afande Kingai, Tungekuwa na tume maalum ya kuchuja na kuteua aina ya watu kama Afande Kingai kama Rasimu ya Jaji Warioba alivyopendekeza tusingekuwa na utata.
Na litaenda kutokea hili
Mnufaika mkubwa wa Jeshi katili la Polisi hapa Tanzania ni CCM, kwa vyovyote vile uteuzi wa Afande Kingai una baraka za CCM kwa lengo la kuendelea kuwatawala Watanzania kwa mkono wa chuma kupitia Jeshi katili la Polisi.MH Rais mama yetu Samia Suluhu Hassan kwakweli japo jeshi Zima la polisi limekuwa bovu Sanaa lakini Kuna wachache ambao Wana hofu ya Mungu, na Taasisi kubwa na ya muhimu kama hili jeshi halitakiwi kuwa na kiongozi asiyetoa Haki au Mwongo.
Kama mama una nia kweli ya kulirekebisha watu kama KINGAI hawakupaswa kupewa ofisi kubwa maana kwa UONGO na uonevu aliowafanyia watu akiwa ngazi za chini akiwa Ngazi uliyompa atakuwa mbaya zaidi.
Sio polisi mwenye maadili hasa msingiziaji mporaji wa haki za watu mtesaji ana damu kwenye vganja vyake.
Jiepushe nae, HAWEZI kutenda Haki tunakuomba Unda na kulisuka upya Hili jeshi lililopoteza maana ya jeshi la kusimamia Haki.
Kwa hili nasema WAMBURA SAWA LAKINI SIO KINGAI, HAPANA.
Ni huyu aliyekuwa anahusishwa na utekaji na yale mambo ya wasiojulikana, naona sasa nchi inahitaji mafia ili watu waheshimiane, serikali inajiona untouchable
Sirro kapewa ubalozi kbsa sii ni fadhila kapewa htuna watu wengine wa KUFANYA kzi jitu limeiba sana bdo unalipa kazi ingine badala apumzikeHao jamaa huwa wanafanya kazi kwa manufaa ya serikali ya CCM, ndio maana licha ya mabaya yao yote, bado hupewa vyeo na viongozi wa serikali ya CCM kwa sababu CCM ndio huwatuma kufanya ubaya kwa watanzania wenzao nao hukubali.
Ajabu zaidi huu uteuzi unafanyika katikati ya maridhiano ya kisanii, lakini kila mkiambiwa hawa jamaa hawapo serious hamtaki kuelewa.
Kwa jeuri hii nadhani tunapaswa kumshitaki kwa Mungu, mtangulizi wake aliendeleza dharau kama hizi kwa Watanzania Mungu akatuamuria.Hii ni dharau kwa watanzania. Hivi rais Samia anapofushwa madaraka kiasi kwamba haoni Wala hasikii malalamiko ya watanzania?
Nani ana stress sasa?Jamaa una stress sana. Tafuta hela acha uchawa
Kwanini kama Taifa tunarudia makosa ya kuteua watu wenye makando kando kama Afande Ramadhani Kingai? Huyu mtu kwa sasa anafahamika na kila Raia kwa matendo yake yaliyojidhihirisha pale Mahakamani wakati wa kesi ya Mbowe
Je, tunasubiri afanye ukatili na unyama wa kiasi gani kwenye hili Taifa?
Tulishajifunza wakati wa JPM umuhimu wa vetting ya viongozi kwa yaliyotokea. Je, bado tunaendelea kujifunza.
Afande Kingai hakupaswa kupewa nafasi ya DCI hata kidogo, Imani ya Raia kwa huyu mtu ni ndogo sana, Wakati wa kesi ya Mbowe huyu alihusishwa na utesaji na utekaji, Na hata majibu yake mahakamani alijichanganya sana kuhusu kuwahamisha watuhumiwa tokea kituo kimoja cha polisi kwenda kingine na malengo yake kuhusu utesaji
Uteuzi wa Afande Ramadhani Kingai kuwa Mkurugenzi wa makosa ya jinai unaligawa Taifa ambalo Rais Samia alikuwa anafanya jitihada za kuliunganisha kwa maridhiano
Kwenye kesi ya Mbowe pale mahakamani, Afande Kingai alikuwa shahidi mkuu upande wa jamhuri na ushahidi wake alioutoa pale mahakamani wa kuwanunulia watuhumiwa Mo energy ikawa mwanzo wa watu kuamini huyu Bwana ameshiriki Katika kesi ya mchongo kuanzia kudraft mpaka kupeleka mahakamani.
Afande Kingai alishindwa kujibu maswali ya mawakili wa utetezi hata moja na hata maswali yaliyohusiana na kitendea kazi chake ya General Orders of police (PGO) alionekana haelewi pale Mahakama ya uhujumu Uchumi.
Ushahidi wa Afande Kingai ambaye alikuwa Shahidi mkuu ulileta mkanganyiko pale Mahakama ya Uhujumu Uchumi na ndio ukawa mwanzo wa watu kufahamu siri ya kesi ya akina Mbowe pamoja na Kikosi kazi maalum kilichojumuisha Afande Goodluck
Maswali ya kujiuliza sisi kama Raia wa nchi hii:
Unawezaje kumpa mtu nafasi ya DCI wakati umma wa Watanzania wanafahamu huyu mtu amechafuka?
Je, huu ndio mwanzo wa watu kubambikiwa kesi za mauaji hapa nchini?
Je, uteuzi huu Bwana Kingai sio ni mwanzo wa kufumua madonda ambayo Rais Samia alishaanza kuyaponya?
Moja ya watu kuzidi kudai Katiba Mpya ni kutokana na uteuzi wa watu aina ya Afande Kingai, Tungekuwa na tume maalum ya kuchuja na kuteua aina ya watu kama Afande Kingai kama Rasimu ya Jaji Warioba alivyopendekeza tusingekuwa na utata.
Kama huyo bedui wako alipelekwa kuzimu na ukashangilia kwamba sasa unapumua nini kinakufnya ulielie hapa?Tutegemee ubambikiaji wa kesi kushamili, utekaji watu utarudi Kwa kasi.
Watanzania tuombe mungu kama kipindi kile Cha yule bedui mungu akatusikia akampeleka kuzimu.
Kingai anaweza kuwa anatumia nguvu za kiza ili apande cheo.
Haiwezekani MTU kama kingai apelekwe ofisi nyeti na muhimu kama ya DCI na sisi watumishi wa Mungu tupo.View attachment 2297492View attachment 2297493View attachment 2297494
Kwani dhalimu wenu bado yupo? Si mnapumua nyie na mungu alisikia kilio chenu?Tutegemee enzi za watu kuokotwa kwenye sandarusi coco beach kurudi kwa kasi ya ajabu
UNYUMBU unakusumbua sana kwa kujishughulisha na matatizo ya Mbowe ambaye siyo hata baba yako.Huyu hamna kitu. Mtu aliyembambika Mbowe kesi atashindwa vipi kubambika watu kesi