Raia gani hao unaowazungumzia? mliomba huruma ya Rais ya kazi gani kama Mbowe alionewa? upuuzi mtupu na huna ulijualo.Kwanini kama Taifa tunarudia makosa ya kuteua watu wenye makando kando kama Afande Ramadhani Kingai? Huyu mtu kwa sasa anafahamika na kila Raia kwa matendo yake yaliyojidhihirisha pale Mahakamani wakati wa kesi ya Mbowe
Je tunasubiri afanye ukatili na unyama wa kiasi gani kwenye hili Taifa?
Tulishajifunza wakati wa JPM umuhimu wa vetting ya viongozi kwa yaliyotokea.Je? bado tunaendelea kujifunza
Afande Kingai hakupaswa kupewa nafasi ya DCI hata kidogo, Imani ya Raia kwa huyu mtu ni ndogo sana, Wakati wa kesi ya Mbowe huyu alihusishwa na utesaji na utekaji, Na hata majibu yake mahakamani alijichanganya sana kuhusu kuwahamisha watuhumiwa tokea kituo kimoja cha polisi kwenda kingine na malengo yake kuhusu utesaji
Uteuzi wa Afande Ramadhani Kingai kuwa Mkurugenzi wa makosa ya jinai unaligawa Taifa ambalo Rais Samia alikuwa anafanya jitihada za kuliunganisha kwa maridhiano
Kwenye kesi ya Mbowe pale mahakamani, Afande Kingai alikuwa shahidi mkuu upande wa jamhuri na ushahidi wake alioutoa pale mahakamani wa kuwanunulia watuhumiwa Mo energy ikawa mwanzo wa watu kuamini huyu Bwana ameshiriki Katika kesi ya mchongo kuanzia kudraft mpaka kupeleka mahakamani
Afande Kingai alishindwa kujibu maswali ya mawakili wa utetezi hata moja na hata maswali yaliyohusiana na kitendea kazi chake ya General Orders of police ( PGO) alionekana haelewi pale Mahakama ya uhujumu Uchumi sinza
Ushahidi wa Afande Kingai ambaye alikuwa Shahidi mkuu ulileta mkanganyiko pale mahakama ya uhujumu Uchumi na ndio ukawa mwanzo wa watu kufahamu siri ya kesi ya akina Mbowe pamoja na Kikosi kazi maalum kilichojumuisha Afande Goodluck
Maswali ya kujiuliza sisi kama Raia wa nchi hii:
Unawezaje kumpa mtu nafasi ya DCI wakati uma wa watanzania wanafahamu huyu mtu amechafuka?
Je huu ndio mwanzo wa watu kubambikiwa kesi za mauaji hapa nchini?
Je uteuzi huu Bwana Kingai sio ni mwanzo wa kufumua madonda ambayo Rais Samia alishaanza kuyaponya?
Moja ya watu kuzidi kudai katiba mpya ni kutokana na uteuzi wa watu aina ya Afande Kingai, Tungekuwa na tume maalum ya kuchuja na kuteua aina ya watu kama Afande Kingai kama Rasimu ya Jaji warioba alivyopendekeza tusingekuwa na utata
Ndio shida ya viongozi wetu Yaani wanataka watu wa ndio mzee hata km wanakosea,ukiwa mkosoaji hupewi uteuzi hata km unafaa,asiyefaa anapewae uteuzi ili mradi tu awe ni wa ndio mzee.Mama kaona Kingai anafata maelekezo vizuri bila kuhoji,anafaaa kwa matumizi.
Atarudishiwa u RPC, na wote waliochomolewa kama SACP Lyanga wa ddmaYaani Wankyo Chali Tena Anakwenda Bila Cheo
Huruma aliomba nani? na aliyesema mahakama zetu zinafanya kazi kwa huruma ni nani? kwa sheria ipi?Raia gani hao unaowazungumzia? mliomba huruma ya Rais ya kazi gani kama Mbowe alionewa? upuuzi mtupu na huna ulijualo.
Wewe ni mfano halisi wa wahemkaji na wajinga wa JF.Nchi hii ina matahira, sorry, watu wa ajabu sana! Ni kulalamika tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu na kujifanya wanajua na kuwajua watu vuzuri mpaka inaboa.
Yaani mtu asifanye kazi yake kisa mna bifu nae mliloambukizwa na bwana wenu mbowe?!!!!!!
IMETHIBITISHWA Mahakamani huyo Ramadhani Kingai HAJUI hata namna ya utekekezaji wa GPO.Kwanini kama Taifa tunarudia makosa ya kuteua watu wenye makando kando kama Afande Ramadhani Kingai? Huyu mtu kwa sasa anafahamika na kila Raia kwa matendo yake yaliyojidhihirisha pale Mahakamani wakati wa kesi ya Mbowe
Je tunasubiri afanye ukatili na unyama wa kiasi gani kwenye hili Taifa?
Tulishajifunza wakati wa JPM umuhimu wa vetting ya viongozi kwa yaliyotokea.Je? bado tunaendelea kujifunza
Afande Kingai hakupaswa kupewa nafasi ya DCI hata kidogo, Imani ya Raia kwa huyu mtu ni ndogo sana, Wakati wa kesi ya Mbowe huyu alihusishwa na utesaji na utekaji, Na hata majibu yake mahakamani alijichanganya sana kuhusu kuwahamisha watuhumiwa tokea kituo kimoja cha polisi kwenda kingine na malengo yake kuhusu utesaji
Uteuzi wa Afande Ramadhani Kingai kuwa Mkurugenzi wa makosa ya jinai unaligawa Taifa ambalo Rais Samia alikuwa anafanya jitihada za kuliunganisha kwa maridhiano
Kwenye kesi ya Mbowe pale mahakamani, Afande Kingai alikuwa shahidi mkuu upande wa jamhuri na ushahidi wake alioutoa pale mahakamani wa kuwanunulia watuhumiwa Mo energy ikawa mwanzo wa watu kuamini huyu Bwana ameshiriki Katika kesi ya mchongo kuanzia kudraft mpaka kupeleka mahakamani
Afande Kingai alishindwa kujibu maswali ya mawakili wa utetezi hata moja na hata maswali yaliyohusiana na kitendea kazi chake ya General Orders of police ( PGO) alionekana haelewi pale Mahakama ya uhujumu Uchumi sinza
Ushahidi wa Afande Kingai ambaye alikuwa Shahidi mkuu ulileta mkanganyiko pale mahakama ya uhujumu Uchumi na ndio ukawa mwanzo wa watu kufahamu siri ya kesi ya akina Mbowe pamoja na Kikosi kazi maalum kilichojumuisha Afande Goodluck
Maswali ya kujiuliza sisi kama Raia wa nchi hii:
Unawezaje kumpa mtu nafasi ya DCI wakati uma wa watanzania wanafahamu huyu mtu amechafuka?
Je huu ndio mwanzo wa watu kubambikiwa kesi za mauaji hapa nchini?
Je uteuzi huu Bwana Kingai sio ni mwanzo wa kufumua madonda ambayo Rais Samia alishaanza kuyaponya?
Moja ya watu kuzidi kudai katiba mpya ni kutokana na uteuzi wa watu aina ya Afande Kingai, Tungekuwa na tume maalum ya kuchuja na kuteua aina ya watu kama Afande Kingai kama Rasimu ya Jaji warioba alivyopendekeza tusingekuwa na utata
Kingai hana anachojua, ni mweupe kabisa kichwani.Umeangalia vyeti vyake au CV? Mnataka jeshi liongozwe kwa matakwa ya CDM?
Chapa kazi Kingai, wahalifu wajue wewe huna mchezo. Sasa onyesha weledi wako mpaka waombe poo.
Propaganda za mahakamani hazihusiani (irrelevant)
Hii nchi bila katiba mpya,hatutoboi!
Uteuzi huu hauligawi Taifa, labda unagawa akili zako wewe na Saccos yakoKwanini kama Taifa tunarudia makosa ya kuteua watu wenye makando kando kama Afande Ramadhani Kingai? Huyu mtu kwa sasa anafahamika na kila Raia kwa matendo yake yaliyojidhihirisha pale Mahakamani wakati wa kesi ya Mbowe
Je tunasubiri afanye ukatili na unyama wa kiasi gani kwenye hili Taifa?
Tulishajifunza wakati wa JPM umuhimu wa vetting ya viongozi kwa yaliyotokea.Je? bado tunaendelea kujifunza
Afande Kingai hakupaswa kupewa nafasi ya DCI hata kidogo, Imani ya Raia kwa huyu mtu ni ndogo sana, Wakati wa kesi ya Mbowe huyu alihusishwa na utesaji na utekaji, Na hata majibu yake mahakamani alijichanganya sana kuhusu kuwahamisha watuhumiwa tokea kituo kimoja cha polisi kwenda kingine na malengo yake kuhusu utesaji
Uteuzi wa Afande Ramadhani Kingai kuwa Mkurugenzi wa makosa ya jinai unaligawa Taifa ambalo Rais Samia alikuwa anafanya jitihada za kuliunganisha kwa maridhiano
Kwenye kesi ya Mbowe pale mahakamani, Afande Kingai alikuwa shahidi mkuu upande wa jamhuri na ushahidi wake alioutoa pale mahakamani wa kuwanunulia watuhumiwa Mo energy ikawa mwanzo wa watu kuamini huyu Bwana ameshiriki Katika kesi ya mchongo kuanzia kudraft mpaka kupeleka mahakamani
Afande Kingai alishindwa kujibu maswali ya mawakili wa utetezi hata moja na hata maswali yaliyohusiana na kitendea kazi chake ya General Orders of police ( PGO) alionekana haelewi pale Mahakama ya uhujumu Uchumi sinza
Ushahidi wa Afande Kingai ambaye alikuwa Shahidi mkuu ulileta mkanganyiko pale mahakama ya uhujumu Uchumi na ndio ukawa mwanzo wa watu kufahamu siri ya kesi ya akina Mbowe pamoja na Kikosi kazi maalum kilichojumuisha Afande Goodluck
Maswali ya kujiuliza sisi kama Raia wa nchi hii:
Unawezaje kumpa mtu nafasi ya DCI wakati uma wa watanzania wanafahamu huyu mtu amechafuka?
Je huu ndio mwanzo wa watu kubambikiwa kesi za mauaji hapa nchini?
Je uteuzi huu Bwana Kingai sio ni mwanzo wa kufumua madonda ambayo Rais Samia alishaanza kuyaponya?
Moja ya watu kuzidi kudai katiba mpya ni kutokana na uteuzi wa watu aina ya Afande Kingai, Tungekuwa na tume maalum ya kuchuja na kuteua aina ya watu kama Afande Kingai kama Rasimu ya Jaji warioba alivyopendekeza tusingekuwa na utata
Huyu mpumbafu Kingai aliyemponza Lt Denis Urio kufukizwa kazi?Kwanini kama Taifa tunarudia makosa ya kuteua watu wenye makando kando kama Afande Ramadhani Kingai? Huyu mtu kwa sasa anafahamika na kila Raia kwa matendo yake yaliyojidhihirisha pale Mahakamani wakati wa kesi ya Mbowe
Je tunasubiri afanye ukatili na unyama wa kiasi gani kwenye hili Taifa?
Tulishajifunza wakati wa JPM umuhimu wa vetting ya viongozi kwa yaliyotokea.Je? bado tunaendelea kujifunza
Afande Kingai hakupaswa kupewa nafasi ya DCI hata kidogo, Imani ya Raia kwa huyu mtu ni ndogo sana, Wakati wa kesi ya Mbowe huyu alihusishwa na utesaji na utekaji, Na hata majibu yake mahakamani alijichanganya sana kuhusu kuwahamisha watuhumiwa tokea kituo kimoja cha polisi kwenda kingine na malengo yake kuhusu utesaji
Uteuzi wa Afande Ramadhani Kingai kuwa Mkurugenzi wa makosa ya jinai unaligawa Taifa ambalo Rais Samia alikuwa anafanya jitihada za kuliunganisha kwa maridhiano
Kwenye kesi ya Mbowe pale mahakamani, Afande Kingai alikuwa shahidi mkuu upande wa jamhuri na ushahidi wake alioutoa pale mahakamani wa kuwanunulia watuhumiwa Mo energy ikawa mwanzo wa watu kuamini huyu Bwana ameshiriki Katika kesi ya mchongo kuanzia kudraft mpaka kupeleka mahakamani
Afande Kingai alishindwa kujibu maswali ya mawakili wa utetezi hata moja na hata maswali yaliyohusiana na kitendea kazi chake ya General Orders of police ( PGO) alionekana haelewi pale Mahakama ya uhujumu Uchumi sinza
Ushahidi wa Afande Kingai ambaye alikuwa Shahidi mkuu ulileta mkanganyiko pale mahakama ya uhujumu Uchumi na ndio ukawa mwanzo wa watu kufahamu siri ya kesi ya akina Mbowe pamoja na Kikosi kazi maalum kilichojumuisha Afande Goodluck
Maswali ya kujiuliza sisi kama Raia wa nchi hii:
Unawezaje kumpa mtu nafasi ya DCI wakati uma wa watanzania wanafahamu huyu mtu amechafuka?
Je huu ndio mwanzo wa watu kubambikiwa kesi za mauaji hapa nchini?
Je uteuzi huu Bwana Kingai sio ni mwanzo wa kufumua madonda ambayo Rais Samia alishaanza kuyaponya?
Moja ya watu kuzidi kudai katiba mpya ni kutokana na uteuzi wa watu aina ya Afande Kingai, Tungekuwa na tume maalum ya kuchuja na kuteua aina ya watu kama Afande Kingai kama Rasimu ya Jaji warioba alivyopendekeza tusingekuwa na utata
Nafurahi kwa sababu Chadomo wanateseka
Hiyo ndio furaha yangu.