Uteuzi wa Afande Ramadhani Kingai kuwa DCI (Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai). Je, Rais Samia amepotoshwa?

Hao jamaa huwa wanafanya kazi kwa manufaa ya serikali ya CCM, ndio maana licha ya mabaya yao yote, bado hupewa vyeo na viongozi wa serikali ya CCM kwa sababu CCM ndio huwatuma kufanya ubaya kwa watanzania wenzao nao hukubali.

Ajabu zaidi huu uteuzi unafanyika katikati ya maridhiano ya kisanii, lakini kila mkiambiwa hawa jamaa hawapo serious hamtaki kuelewa.
 
Kwanini kama Taifa tunarudia makosa ya kuteua watu wenye makando kando kama Afande Ramadhani Kingai? Huyu mtu kwa sasa anafahamika na kila Raia kwa matendo yake yaliyojidhihirisha pale Mahakamani wakati wa kesi ya Mbowe

Je tunasubiri afanye ukatili na unyama wa kiasi gani kwenye hili Taifa?

Tulishajifunza wakati wa JPM umuhimu wa vetting ya viongozi kwa yaliyotokea.Je? bado tunaendelea kujifunza

Afande Kingai hakupaswa kupewa nafasi ya DCI hata kidogo, Imani ya Raia kwa huyu mtu ni ndogo sana, Wakati wa kesi ya Mbowe huyu alihusishwa na utesaji na utekaji, Na hata majibu yake mahakamani alijichanganya sana kuhusu kuwahamisha watuhumiwa tokea kituo kimoja cha polisi kwenda kingine na malengo yake kuhusu utesaji

Uteuzi wa Afande Ramadhani Kingai kuwa Mkurugenzi wa makosa ya jinai unaligawa Taifa ambalo Rais Samia alikuwa anafanya jitihada za kuliunganisha kwa maridhiano

Kwenye kesi ya Mbowe pale mahakamani, Afande Kingai alikuwa shahidi mkuu upande wa jamhuri na ushahidi wake alioutoa pale mahakamani wa kuwanunulia watuhumiwa Mo energy ikawa mwanzo wa watu kuamini huyu Bwana ameshiriki Katika kesi ya mchongo kuanzia kudraft mpaka kupeleka mahakamani

Afande Kingai alishindwa kujibu maswali ya mawakili wa utetezi hata moja na hata maswali yaliyohusiana na kitendea kazi chake ya General Orders of police ( PGO) alionekana haelewi pale Mahakama ya uhujumu Uchumi sinza

Ushahidi wa Afande Kingai ambaye alikuwa Shahidi mkuu ulileta mkanganyiko pale mahakama ya uhujumu Uchumi na ndio ukawa mwanzo wa watu kufahamu siri ya kesi ya akina Mbowe pamoja na Kikosi kazi maalum kilichojumuisha Afande Goodluck

Maswali ya kujiuliza sisi kama Raia wa nchi hii:

Unawezaje kumpa mtu nafasi ya DCI wakati uma wa watanzania wanafahamu huyu mtu amechafuka?

Je huu ndio mwanzo wa watu kubambikiwa kesi za mauaji hapa nchini?

Je uteuzi huu Bwana Kingai sio ni mwanzo wa kufumua madonda ambayo Rais Samia alishaanza kuyaponya?

Moja ya watu kuzidi kudai katiba mpya ni kutokana na uteuzi wa watu aina ya Afande Kingai, Tungekuwa na tume maalum ya kuchuja na kuteua aina ya watu kama Afande Kingai kama Rasimu ya Jaji warioba alivyopendekeza tusingekuwa na utata
Raia gani hao unaowazungumzia? mliomba huruma ya Rais ya kazi gani kama Mbowe alionewa? upuuzi mtupu na huna ulijualo.
 
Kama tunaamini urais ni taasisi basi hakuna haja ya kuwa na wasiwasi juu ya teuzi za rais. Naamini vetting ya kutosha hufanyika kabla rais hajaamua kutangaza uteuzi.

Na pia rais hawezi kuendesha mambo yake kwa kutegemea matakwa ya individuals. Taratibu zinazingatiwa.
 
Raia gani hao unaowazungumzia? mliomba huruma ya Rais ya kazi gani kama Mbowe alionewa? upuuzi mtupu na huna ulijualo.
Huruma aliomba nani? na aliyesema mahakama zetu zinafanya kazi kwa huruma ni nani? kwa sheria ipi?

Kama kwa ule ushahidi uliokuwa unatolewa kwenye ile kesi ya Mbowe na Kingai na wenzake bado unaamini Mbowe alihurumiwa utakuwa una mtindio wa ubongo.
 
Kwanini kama Taifa tunarudia makosa ya kuteua watu wenye makando kando kama Afande Ramadhani Kingai? Huyu mtu kwa sasa anafahamika na kila Raia kwa matendo yake yaliyojidhihirisha pale Mahakamani wakati wa kesi ya Mbowe

Je tunasubiri afanye ukatili na unyama wa kiasi gani kwenye hili Taifa?

Tulishajifunza wakati wa JPM umuhimu wa vetting ya viongozi kwa yaliyotokea.Je? bado tunaendelea kujifunza

Afande Kingai hakupaswa kupewa nafasi ya DCI hata kidogo, Imani ya Raia kwa huyu mtu ni ndogo sana, Wakati wa kesi ya Mbowe huyu alihusishwa na utesaji na utekaji, Na hata majibu yake mahakamani alijichanganya sana kuhusu kuwahamisha watuhumiwa tokea kituo kimoja cha polisi kwenda kingine na malengo yake kuhusu utesaji

Uteuzi wa Afande Ramadhani Kingai kuwa Mkurugenzi wa makosa ya jinai unaligawa Taifa ambalo Rais Samia alikuwa anafanya jitihada za kuliunganisha kwa maridhiano

Kwenye kesi ya Mbowe pale mahakamani, Afande Kingai alikuwa shahidi mkuu upande wa jamhuri na ushahidi wake alioutoa pale mahakamani wa kuwanunulia watuhumiwa Mo energy ikawa mwanzo wa watu kuamini huyu Bwana ameshiriki Katika kesi ya mchongo kuanzia kudraft mpaka kupeleka mahakamani

Afande Kingai alishindwa kujibu maswali ya mawakili wa utetezi hata moja na hata maswali yaliyohusiana na kitendea kazi chake ya General Orders of police ( PGO) alionekana haelewi pale Mahakama ya uhujumu Uchumi sinza

Ushahidi wa Afande Kingai ambaye alikuwa Shahidi mkuu ulileta mkanganyiko pale mahakama ya uhujumu Uchumi na ndio ukawa mwanzo wa watu kufahamu siri ya kesi ya akina Mbowe pamoja na Kikosi kazi maalum kilichojumuisha Afande Goodluck

Maswali ya kujiuliza sisi kama Raia wa nchi hii:

Unawezaje kumpa mtu nafasi ya DCI wakati uma wa watanzania wanafahamu huyu mtu amechafuka?

Je huu ndio mwanzo wa watu kubambikiwa kesi za mauaji hapa nchini?

Je uteuzi huu Bwana Kingai sio ni mwanzo wa kufumua madonda ambayo Rais Samia alishaanza kuyaponya?

Moja ya watu kuzidi kudai katiba mpya ni kutokana na uteuzi wa watu aina ya Afande Kingai, Tungekuwa na tume maalum ya kuchuja na kuteua aina ya watu kama Afande Kingai kama Rasimu ya Jaji warioba alivyopendekeza tusingekuwa na utata
IMETHIBITISHWA Mahakamani huyo Ramadhani Kingai HAJUI hata namna ya utekekezaji wa GPO.
Na kama mtoto wa Primary alikuwa akiomba kwenda maliwato kujisidia kila akipigwa swali gumu.

Huyu ndiyo Mkuu wa Upelelezi.

What a joke!
 
Wewe ndio una faili lake mpaka ujue hafai? Cv yake umeisoma?
 
Kwanini kama Taifa tunarudia makosa ya kuteua watu wenye makando kando kama Afande Ramadhani Kingai? Huyu mtu kwa sasa anafahamika na kila Raia kwa matendo yake yaliyojidhihirisha pale Mahakamani wakati wa kesi ya Mbowe

Je tunasubiri afanye ukatili na unyama wa kiasi gani kwenye hili Taifa?

Tulishajifunza wakati wa JPM umuhimu wa vetting ya viongozi kwa yaliyotokea.Je? bado tunaendelea kujifunza

Afande Kingai hakupaswa kupewa nafasi ya DCI hata kidogo, Imani ya Raia kwa huyu mtu ni ndogo sana, Wakati wa kesi ya Mbowe huyu alihusishwa na utesaji na utekaji, Na hata majibu yake mahakamani alijichanganya sana kuhusu kuwahamisha watuhumiwa tokea kituo kimoja cha polisi kwenda kingine na malengo yake kuhusu utesaji

Uteuzi wa Afande Ramadhani Kingai kuwa Mkurugenzi wa makosa ya jinai unaligawa Taifa ambalo Rais Samia alikuwa anafanya jitihada za kuliunganisha kwa maridhiano

Kwenye kesi ya Mbowe pale mahakamani, Afande Kingai alikuwa shahidi mkuu upande wa jamhuri na ushahidi wake alioutoa pale mahakamani wa kuwanunulia watuhumiwa Mo energy ikawa mwanzo wa watu kuamini huyu Bwana ameshiriki Katika kesi ya mchongo kuanzia kudraft mpaka kupeleka mahakamani

Afande Kingai alishindwa kujibu maswali ya mawakili wa utetezi hata moja na hata maswali yaliyohusiana na kitendea kazi chake ya General Orders of police ( PGO) alionekana haelewi pale Mahakama ya uhujumu Uchumi sinza

Ushahidi wa Afande Kingai ambaye alikuwa Shahidi mkuu ulileta mkanganyiko pale mahakama ya uhujumu Uchumi na ndio ukawa mwanzo wa watu kufahamu siri ya kesi ya akina Mbowe pamoja na Kikosi kazi maalum kilichojumuisha Afande Goodluck

Maswali ya kujiuliza sisi kama Raia wa nchi hii:

Unawezaje kumpa mtu nafasi ya DCI wakati uma wa watanzania wanafahamu huyu mtu amechafuka?

Je huu ndio mwanzo wa watu kubambikiwa kesi za mauaji hapa nchini?

Je uteuzi huu Bwana Kingai sio ni mwanzo wa kufumua madonda ambayo Rais Samia alishaanza kuyaponya?

Moja ya watu kuzidi kudai katiba mpya ni kutokana na uteuzi wa watu aina ya Afande Kingai, Tungekuwa na tume maalum ya kuchuja na kuteua aina ya watu kama Afande Kingai kama Rasimu ya Jaji warioba alivyopendekeza tusingekuwa na utata
Uteuzi huu hauligawi Taifa, labda unagawa akili zako wewe na Saccos yako
 
Huyu mpumbafu Kingai aliyemponza Lt Denis Urio kufukizwa kazi?

Au Kuna Vingai wengi huko idara ya polisi?
 
Ndo mjue sasa aliyowahi kuyafanya mkamchukia hakujiamulia ilikuwa ni amri.

Ninyi huku nje ndo mnamuona mchafu ila wanaomjua vizuri huko ndani wanaona anafaa kwa nafasi aliyopewa.

Hii inanifundisha kuwa zile tuhuma hazikuwa zake kuna pahali zilipaswa kuelekezwa yeye alikuwa anatekeleza alichotumwa.
 
Kuna mambo mawili nimeona
1.Ama anapewa uteuzi kuwa ni mtoto wa Magufuli kikazi.
2.Au ameandaliwa zengwe aje kutumbuliwa kila kitu kinawezekana.
 
Kwa kweli inakatisha tamaa pale ambapo waovu wanapopewa mamlaka.

Kwa mambo kama haya, ni vigumu kuamini kuwa eti tumeamua kujenga Taifa ambalo viongozi wanatakiwa kuwa ni watu walio na dhamira na maadili ya kutenda haki kwa makundi yote.
 
Hata angeteuliwa nani ungesikia kelele tu kuna haja rais akiwa anataka kufanya teuzi awe anawahusisha,wabongo bhana.
 
Back
Top Bottom