Amewapoza poza watu wa kanda ile ya wafugaji.Kwa kweli Kingai amechafuka. Sikutegemea kabisa mtu kama Kingai kupewa nafasi kubwa kama hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amewapoza poza watu wa kanda ile ya wafugaji.Kwa kweli Kingai amechafuka. Sikutegemea kabisa mtu kama Kingai kupewa nafasi kubwa kama hii
Kapewa mpini hasa.Huyu hamna kitu. Mtu aliyembambika Mbowe kesi atashindwa vipi kubambika watu kesi
Nasubiri kuona utaifanya nini serikaliNi huyu aliyekuwa anahusishwa na utekaji na yale mambo ya wasiojulikana, naona sasa nchi inahitaji mafia ili watu waheshimiane, serikali inajiona untouchable
DCI asiyejua PGO hafai kabisaHuyu yupo vizuri sana,
Yupo very straight kwenye mambo yake hana longo longo.
Nadhani wengi wanaopiga kelele hapa ni mambo ya kisiasa tu ila kiuweledi yupo vizuri.
MAMA YETU wewe na nani ?????MH Rais mama yetu
Huu ndio utopolo mtupu.Kwanini kama Taifa tunarudia makosa ya kuteua watu wenye makando kando kama Afande Ramadhani Kingai? Huyu mtu kwa sasa anafahamika na kila Raia kwa matendo yake yaliyojidhihirisha pale Mahakamani wakati wa kesi ya Mbowe
Je, tunasubiri afanye ukatili na unyama wa kiasi gani kwenye hili Taifa?
Tulishajifunza wakati wa JPM umuhimu wa vetting ya viongozi kwa yaliyotokea. Je, bado tunaendelea kujifunza.
Afande Kingai hakupaswa kupewa nafasi ya DCI hata kidogo, Imani ya Raia kwa huyu mtu ni ndogo sana, Wakati wa kesi ya Mbowe huyu alihusishwa na utesaji na utekaji, Na hata majibu yake mahakamani alijichanganya sana kuhusu kuwahamisha watuhumiwa tokea kituo kimoja cha polisi kwenda kingine na malengo yake kuhusu utesaji
Uteuzi wa Afande Ramadhani Kingai kuwa Mkurugenzi wa makosa ya jinai unaligawa Taifa ambalo Rais Samia alikuwa anafanya jitihada za kuliunganisha kwa maridhiano
Kwenye kesi ya Mbowe pale mahakamani, Afande Kingai alikuwa shahidi mkuu upande wa jamhuri na ushahidi wake alioutoa pale mahakamani wa kuwanunulia watuhumiwa Mo energy ikawa mwanzo wa watu kuamini huyu Bwana ameshiriki Katika kesi ya mchongo kuanzia kudraft mpaka kupeleka mahakamani.
Afande Kingai alishindwa kujibu maswali ya mawakili wa utetezi hata moja na hata maswali yaliyohusiana na kitendea kazi chake ya General Orders of police (PGO) alionekana haelewi pale Mahakama ya uhujumu Uchumi.
Ushahidi wa Afande Kingai ambaye alikuwa Shahidi mkuu ulileta mkanganyiko pale Mahakama ya Uhujumu Uchumi na ndio ukawa mwanzo wa watu kufahamu siri ya kesi ya akina Mbowe pamoja na Kikosi kazi maalum kilichojumuisha Afande Goodluck
Maswali ya kujiuliza sisi kama Raia wa nchi hii:
Unawezaje kumpa mtu nafasi ya DCI wakati umma wa Watanzania wanafahamu huyu mtu amechafuka?
Je, huu ndio mwanzo wa watu kubambikiwa kesi za mauaji hapa nchini?
Je, uteuzi huu Bwana Kingai sio ni mwanzo wa kufumua madonda ambayo Rais Samia alishaanza kuyaponya?
Moja ya watu kuzidi kudai Katiba Mpya ni kutokana na uteuzi wa watu aina ya Afande Kingai, Tungekuwa na tume maalum ya kuchuja na kuteua aina ya watu kama Afande Kingai kama Rasimu ya Jaji Warioba alivyopendekeza tusingekuwa na utata.
Tutegemee kesi nyingi Sana za uonevu hasa awamu hii ya mwenye pesa.Kapewa mpini hasa.
Mkuu nakukubali sn lakini kwa Kingai big no bora hata SabayaHuyu yupo vizuri sana,
Yupo very straight kwenye mambo yake hana longo longo.
Nadhani wengi wanaopiga kelele hapa ni mambo ya kisiasa tu ila kiuweledi yupo vizuri.
Mtoa mada huna hoja. Je hayo aliyoyafanya kingai je ni maamuzi yake binafsi au ni maelekezo, juu yake yuko IGP na viongozi wengine kwanini hujajiuliza hill kabla ya kumlaumu.Kwanini kama Taifa tunarudia makosa ya kuteua watu wenye makando kando kama Afande Ramadhani Kingai? Huyu mtu kwa sasa anafahamika na kila Raia kwa matendo yake yaliyojidhihirisha pale Mahakamani wakati wa kesi ya Mbowe
Je, tunasubiri afanye ukatili na unyama wa kiasi gani kwenye hili Taifa?
Tulishajifunza wakati wa JPM umuhimu wa vetting ya viongozi kwa yaliyotokea. Je, bado tunaendelea kujifunza.
Afande Kingai hakupaswa kupewa nafasi ya DCI hata kidogo, Imani ya Raia kwa huyu mtu ni ndogo sana, Wakati wa kesi ya Mbowe huyu alihusishwa na utesaji na utekaji, Na hata majibu yake mahakamani alijichanganya sana kuhusu kuwahamisha watuhumiwa tokea kituo kimoja cha polisi kwenda kingine na malengo yake kuhusu utesaji
Uteuzi wa Afande Ramadhani Kingai kuwa Mkurugenzi wa makosa ya jinai unaligawa Taifa ambalo Rais Samia alikuwa anafanya jitihada za kuliunganisha kwa maridhiano
Kwenye kesi ya Mbowe pale mahakamani, Afande Kingai alikuwa shahidi mkuu upande wa jamhuri na ushahidi wake alioutoa pale mahakamani wa kuwanunulia watuhumiwa Mo energy ikawa mwanzo wa watu kuamini huyu Bwana ameshiriki Katika kesi ya mchongo kuanzia kudraft mpaka kupeleka mahakamani.
Afande Kingai alishindwa kujibu maswali ya mawakili wa utetezi hata moja na hata maswali yaliyohusiana na kitendea kazi chake ya General Orders of police (PGO) alionekana haelewi pale Mahakama ya uhujumu Uchumi.
Ushahidi wa Afande Kingai ambaye alikuwa Shahidi mkuu ulileta mkanganyiko pale Mahakama ya Uhujumu Uchumi na ndio ukawa mwanzo wa watu kufahamu siri ya kesi ya akina Mbowe pamoja na Kikosi kazi maalum kilichojumuisha Afande Goodluck
Maswali ya kujiuliza sisi kama Raia wa nchi hii:
Unawezaje kumpa mtu nafasi ya DCI wakati umma wa Watanzania wanafahamu huyu mtu amechafuka?
Je, huu ndio mwanzo wa watu kubambikiwa kesi za mauaji hapa nchini?
Je, uteuzi huu Bwana Kingai sio ni mwanzo wa kufumua madonda ambayo Rais Samia alishaanza kuyaponya?
Moja ya watu kuzidi kudai Katiba Mpya ni kutokana na uteuzi wa watu aina ya Afande Kingai, Tungekuwa na tume maalum ya kuchuja na kuteua aina ya watu kama Afande Kingai kama Rasimu ya Jaji Warioba alivyopendekeza tusingekuwa na utata.
Binafsi naliwaza kwa sauti kuu, nahisi aqngekuja mbele ya jamii ili aseme kitu ili aweze kuaminika na umma.Unawezaje kumpa mtu nafasi ya DCI wakati umma wa Watanzania wanafahamu huyu mtu amechafuka?
Je, huu ndio mwanzo wa watu kubambikiwa kesi za mauaji hapa nchini?
Unatumia kitu sio cha kawaida ndugu, aidha ugoro au gongo inaonekanaMbowe kashaingizwa chaka kwa maridhiano ya mchongo.
Mimi natumia Bangi mkuu.Unatumia kitu sio cha kawaida ndugu, aidha ugoro au gongo inaonekana
Wacha watu wakule maishaMH Rais mama yetu Samia Suluhu Hassan kwakweli japo jeshi Zima la polisi limekuwa bovu Sanaa lakini Kuna wachache ambao Wana hofu ya Mungu, na Taasisi kubwa na ya muhimu kama hili jeshi halitakiwi kuwa na kiongozi asiyetoa Haki au Mwongo.
Kama mama una nia kweli ya kulirekebisha watu kama KINGAI hawakupaswa kupewa ofisi kubwa maana kwa UONGO na uonevu aliowafanyia watu akiwa ngazi za chini akiwa Ngazi uliyompa atakuwa mbaya zaidi.
Sio polisi mwenye maadili hasa msingiziaji mporaji wa haki za watu mtesaji ana damu kwenye vganja vyake.
Jiepushe nae, HAWEZI kutenda Haki tunakuomba Unda na kulisuka upya Hili jeshi lililopoteza maana ya jeshi la kusimamia Haki.
Kwa hili nasema WAMBURA SAWA LAKINI SIO KINGAI, HAPANA.
khaaaa . . . . . hatutaki kupoozana hapa kijinga jinga hivyo.Amewapoza poza watu wa kanda ile ya wafugaji.