Uteuzi wa Barbra CAF; kejeli za Yanga ni ushahidi wenye akili ni wawili tu?

Uteuzi wa Barbra CAF; kejeli za Yanga ni ushahidi wenye akili ni wawili tu?

Si ndio nyinyi mnaiombea Yanga itolewe isifike makundi?

Kwahiyo wanasimba mnaruhusiwa kuichukia Yanga, ila wanayanga hawaruhusiwi kuichukia simba?

Si ndio nyie mliitwa mbumbumbu, au mlionewa?

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Ni utani tu wakuu, nothing personal. Haipo siku wanasimba wataisifia Yanga. And vice versa is true!
Sawa ndo muende airport kuwapokea wageni na msambaze sumu kwamba simba vyumbani wana pulizia dawa hizo ni akili kweli.
 
Back
Top Bottom