Si ndio nyinyi mnaiombea Yanga itolewe isifike makundi?
Kwahiyo wanasimba mnaruhusiwa kuichukia Yanga, ila wanayanga hawaruhusiwi kuichukia simba?
Si ndio nyie mliitwa mbumbumbu, au mlionewa?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ni utani tu wakuu, nothing personal. Haipo siku wanasimba wataisifia Yanga. And vice versa is true!