Uteuzi wa Biswalo Mganga kuwa Jaji wa Mahakama kuu kupingwa Mahakamani, Yadaiwa hana Maadili, zuio la kuapishwa kwake laandaliwa

Chadema ina vilaza watupu kabisa hawawezi kubadilisha chochote kuanzia Mbowe ni kilaza na katili namba moja dikteta hatari kabisa kuwahi kutokea Lema naye kwanza ana nn hata hajasoma mnyika naye zero tu its a failed CHADEMA Lichama limekufa vibaya hili kwa tamaa za kipumbavu
 
Wait…mi nilidhani kwa kuondoshwa kwake kuwa DPP ni kwamba Mama anawakomesha MATAGA!

Sivyo?
 

Mlikuwa mnafanya naye huo ujambazi..? How do you know..?

Au ndiye nyie ambao mkibananishwa kuthibitisha mnaishia kujitetea kuwa "nimesikia tu watu wanasema sema sokoni...!!??"

So pathetic..
 
Sina tatizo na uteuzi lakini kwanini hatuna utamaduni wa kumuacha kabisa mtu akaendazakw kama mteuzi hakufurahia utendaji wake katika sehemu teuliwa??

Tabia ya ku-recycle viongozi walewale inasumaza!! Waziri wa Viwanda kachemsha na sasa ni waziri wa michezo! Mbona hakuwa waziri wa michezo toka mwanzo??

Wakati mwingine naamini teuzi hizi ni zawadi au kifunga mdomo! Tunapaswa kujenga dhana kuwa ukiharibu unapotea!!
 
Chadema wanadeal na mambo ambayo hayagusi kundi kubwa la Watanzania bali ni ya ubinafsi wao tu. Watu wana shida ya maji, barabara mbovu kwa baadhi ya maeneo ya nchi lkn hawayaongelei bali wamebakia umbea tu mara Sabaya, DPP...!!!
Kwanini wewe usiwapambanie hao wananchi?
 
Chadema wanadeal na mambo ambayo hayagusi kundi kubwa la Watanzania bali ni ya ubinafsi wao tu. Watu wana shida ya maji, barabara mbovu kwa baadhi ya maeneo ya nchi lkn hawayaongelei bali wamebakia umbea tu mara Sabaya, DPP...!!!
Wewe bila shaka hujui kwanini unaishi.
Jitafakari
 
Nenda mahakamani na ushahidi ili achukuliwe hatua na sio kupiga porojo humu.
 
Biswalo alitakiwa awe chini ya ulinzi achunguzwe alivyopiga mabilioni ya Watanzania
 
Kwanini umejaza fikra za kudhani JF ni jukwaa la mashindano kati ya CCM na CHADEMA?

Yaani wewe unaamini kabisa kuwa, kama kuna mtu analeta hoja isiyo ya kiCCM au isiyosifia au kukaa kiCCM unafikiri ni CHADEMA..?

Kama una fikra hizi, basi wewe ni mjinga na mpumbavu sana...!!

Hiki kipande cha dunia chenye jina la "Tanzania" si cha watu wa CCM na CHADEMA tu.. Na sisi wengine tupo eti...

Stop that nonsense & stupidity. Utakosa na kupitwa mengi kwa kujaza ujinga kama huu kichwani mwako..!
 
Lema ana tatizo la kisaikolojia. Ni mtu kuongea tu, akimaliza analeta unabii usio na kichwa wala miguu.
Hapo nilipokoleza pahusike.
Unabii wake Bwana Lema hovyo kabisa😉

Mwaka juzi, kama si mwaka jana mwanzoni,
Aliwahi kuonya juu ya Kiburi cha bwana mmoja (Kipindi hicho huyo bwana alikuwa anajipigia ndogonogo cheo cha Ukiranja wa Malaika akienda Mbinguni)
Bwana huyo ('Mungu mtu' kwa maneno ya Lema)
Aliekezwa ajirekebishe kinyume na hivyo, asingeweza kuiona 2020,
Unajua kilichotokea?
Mungu tu akatoa bonas ya 'vimiezi' kama vitatu, lakini bwana yule hayupo tena kama ilivyotabiriwa.
Chakujiuliza ni iwapo Mungu alimpa Ukiranja wa Malaika yule bwana ama la .

Mwambieni Lema aache ubabaishaji jamani.
 
Aiseeee !!!
 
We uliyosoma umeisaidia nn jamii inayokuzunguka? Umewahi kununua hata mpira vijana wakacheza?? umesomesha vijana wangapi wasiokuwa na uwezo wa kulipa ada?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…