Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Wacha kujipendekezakichaaa ni nyie weenye dharau za kipumbavu mlimdharau mwendazake msithubutu kumzoea mama tunawanya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha kujipendekezakichaaa ni nyie weenye dharau za kipumbavu mlimdharau mwendazake msithubutu kumzoea mama tunawanya
Sifa ya mtu kuwa DPP ni lazima awe na vigezo/sifa ya kuwa Jaji wa Mahakama Kuu. Hivyo Biswalo tayari alikuwa na sifa za kuwa Jaji wa Mahakama Kuu toka siku aliyoteuliwa kuwa DPP, njia za kumuondolea sifa hizo ni kwa uamuzi wa Rais kumuundia baraza la kumchunguza tuhuma za kwenda kinyume na maadili, Rais hajafanya hivyo, Mahakamani tafsiri itakuwa nyeupe tu kuwa huyu mtu bado ana sifa za kuwa Jaji maana ni DPP.Kipimo kwa mahakama tuone kama zimeanza kuwa huru, Biswalo hana credibility ya kuwa jaji sifa moja kubwa ya mtu kuwa jaji lazima awe impartial, huyu jamaa ofisi yake ilikandamiza watu wakati wa utawala wa mwendazake, watu kutolewa pesa bila maamuzi ya mahakama ulikuwa ni uporaji.
Sasa nimeelewa kwanini makaburi ya viongozi huwa yanalindwa.Kamuulize jiwe a.k.a meko a.k.a mwendazake. Lema alimtabiria kifo leo hii anachezea moto mkali jehanamu huko.
Kayafa mkubwa yule bora amekufa. Nina mpango wa kwenda kukojolea kaburi lake.
Unaukumbuka unabii uliomuhusu jiwe uliomuweka lema gerezani?Leo jiwe yuko wapi?Lema ana tatizo la kisaikolojia. Ni mtu kuongea tu, akimaliza analeta unabii usio na kichwa wala miguu.
Akili zenu huwa mnadhani ndio sheria,Kipimo kwa mahakama tuone kama zimeanza kuwa huru, Biswalo hana credibility ya kuwa jaji sifa moja kubwa ya mtu kuwa jaji lazima awe impartial, huyu jamaa ofisi yake ilikandamiza watu wakati wa utawala wa mwendazake, watu kutolewa pesa bila maamuzi ya mahakama ulikuwa ni uporaji.
Mtu aliyeshiriki kikamilifu kwenye ile dhambi ya ubambikiaji kesi kuteuliwa kuwa jaji ni aibu kubwa kwa mahakama kuu na taifa kwa ujumla
Mkuu unataka chadema i deal na maswala ya maji kwani serikali iliyoko madarakani inafanya kazi gani?barabara mbovu wabunge waliochaguliwa si wako bungeni,wanashindwaje kuwakilisha majimbo yao,unajua unachoandika brotherChadema wanadeal na mambo ambayo hayagusi kundi kubwa la Watanzania bali ni ya ubinafsi wao tu. Watu wana shida ya maji, barabara mbovu kwa baadhi ya maeneo ya nchi lkn hawayaongelei bali wamebakia umbea tu mara Sabaya, DPP...!!!
Kama unabii wa jiwe?Lema ana tatizo la kisaikolojia. Ni mtu kuongea tu, akimaliza analeta unabii usio na kichwa wala miguu.
Wanasiasa aina ya Samia huwa hawaogopi kunangwa, ni aina ya wanasiasa kama Kikwete, Lowassa, Pinda, Membe, January! Anayeogopa kunangwa yupo Chato now, hakuwa mvumilivu wa mawazo mbadala, inaweza kuwa ni sababu ya yeye kupata ugonjwa wa moyo wa muda mrefu. Wewe nanga uwezavyo yeye hajali, anafanya tu yale anayoamini. Kwa upinzani mwanasiasa wa namna hiyo ni Mbowe, mseme utakavyo, anakaa zake kimya.Samia anaanza kujiporomosha!
Hatutaacha kumnanga
Joni kuleulikokuwa umejitoa bado unajirudishamo,Duh!
Chadema mna ujuaji mwingi aisee!
Biswalo kumtoa Nusrat Henje awe mbunge imekuwa nongwa!
Alisema jiwe atakufa haikutokea?Lema ana tatizo la kisaikolojia. Ni mtu kuongea tu, akimaliza analeta unabii usio na kichwa wala miguu.
Atakua jaji asiyekua na kazi, sawa na waziri mkuchikaKipimo kwa mahakama tuone kama zimeanza kuwa huru, Biswalo hana credibility ya kuwa jaji sifa moja kubwa ya mtu kuwa jaji lazima awe impartial, huyu jamaa ofisi yake ilikandamiza watu wakati wa utawala wa mwendazake, watu kutolewa pesa bila maamuzi ya mahakama ulikuwa ni uporaji.
Mtu kawapeni mbunge mahiri lakini bado mnamletea figisu!Mnafique Jo katika ubora wake
Majambazi ni wale waliozoea kudhulumu haki za wengine na ambao bado wamekwamia awamu iliyopita.Godbless Lema yeye kama nani anatoa order kama hiyo... jambazi tu huyu kasumbua sana Arusha eti leo ni mwanasiasa! siasa nayo ni sehemu ya watu washenzi kujifichia!
Hana maadili? Hao majaji wengine waliokuwa kwenye hivi vyeo mpaka kuozea huko wamefanya mambo gani ya maana?
Hii ni kinga kwake zaidi maana najua kuna watu walikuwa wanategemea atatupiliwa mbali. Na pengine sasa atakua kwenye kiti maalum cha kufanya maamuzi dhidi za kesi... kwa kifupi hiki ni kipimo kwake!
aachwe hapo hapo!
Na kakuweka hapa mtandaoni umtetee!Duh!
Chadema mna ujuaji mwingi aisee!
Biswalo kumtoa Nusrat Henje awe mbunge imekuwa nongwa!
ushahidi upo...Mtoto mdogo umeng'ang'ania story za mapokeo ya vijiweni!
Jambazi basi tutajie walao hata kesi moja uijuayo
kila awamu ina majambazi wake na wengine bado wapo active mpaka sasa hivi!Majambazi ni wale waliozoea kudhulumu haki za wengine na ambao bado wamekwamia awamu iliyopita.