Uteuzi wa Biswalo Mganga kuwa Jaji wa Mahakama kuu kupingwa Mahakamani, Yadaiwa hana Maadili, zuio la kuapishwa kwake laandaliwa

Sifa ya mtu kuwa DPP ni lazima awe na vigezo/sifa ya kuwa Jaji wa Mahakama Kuu. Hivyo Biswalo tayari alikuwa na sifa za kuwa Jaji wa Mahakama Kuu toka siku aliyoteuliwa kuwa DPP, njia za kumuondolea sifa hizo ni kwa uamuzi wa Rais kumuundia baraza la kumchunguza tuhuma za kwenda kinyume na maadili, Rais hajafanya hivyo, Mahakamani tafsiri itakuwa nyeupe tu kuwa huyu mtu bado ana sifa za kuwa Jaji maana ni DPP.

Njia nzuri na labda sahihi ya kumuondoa Biswalo katika nafasi hiyo ni kwa kumshinikiza Rais kutengua uteuzi huu kwa maslahi ya umma kwa kutumia labda maandamano ya amani.
 
Akili zenu huwa mnadhani ndio sheria,
Na mnavyowaza vichwani mwenu mnadhani ndio haki
Ukizingatia elimu ya sheria hamuijui ila mnatumia visogo kujifariji.
 
Chadema wanadeal na mambo ambayo hayagusi kundi kubwa la Watanzania bali ni ya ubinafsi wao tu. Watu wana shida ya maji, barabara mbovu kwa baadhi ya maeneo ya nchi lkn hawayaongelei bali wamebakia umbea tu mara Sabaya, DPP...!!!
Mkuu unataka chadema i deal na maswala ya maji kwani serikali iliyoko madarakani inafanya kazi gani?barabara mbovu wabunge waliochaguliwa si wako bungeni,wanashindwaje kuwakilisha majimbo yao,unajua unachoandika brother
 
Samia anaanza kujiporomosha!

Hatutaacha kumnanga
Wanasiasa aina ya Samia huwa hawaogopi kunangwa, ni aina ya wanasiasa kama Kikwete, Lowassa, Pinda, Membe, January! Anayeogopa kunangwa yupo Chato now, hakuwa mvumilivu wa mawazo mbadala, inaweza kuwa ni sababu ya yeye kupata ugonjwa wa moyo wa muda mrefu. Wewe nanga uwezavyo yeye hajali, anafanya tu yale anayoamini. Kwa upinzani mwanasiasa wa namna hiyo ni Mbowe, mseme utakavyo, anakaa zake kimya.
 
Atakua jaji asiyekua na kazi, sawa na waziri mkuchika
 
Majambazi ni wale waliozoea kudhulumu haki za wengine na ambao bado wamekwamia awamu iliyopita.
 
Mtoto mdogo umeng'ang'ania story za mapokeo ya vijiweni!
Jambazi basi tutajie walao hata kesi moja uijuayo
ushahidi upo...

ila hii sio sehemu! tutaweka watu kwenye shida!

watu kama hawa wapo kila awamu, ni heri wakae kimya kama wengine.

na ana bahati, aliyekuwa anamwinda hayupo!
 
Mwendelezo wa zarau kwa Watanzania, huwezi kumpa heshima kubwa mtu ambae anatuhuma nyingi za haki za binadamu, mkuu wa nchi amekiri tatizo lipo na dhuluma Basi Tena. Nadhani huenda mfumo uteuzi Jopo la Majaji ipo shida $$$.Sidhani Mama anaweza kutoa maelekezo haramu Kama ya Mwendazake kumteua yeyote kwa matakwa binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…