Uteuzi wa Biswalo Mganga kuwa Jaji wa Mahakama kuu kupingwa Mahakamani, Yadaiwa hana Maadili, zuio la kuapishwa kwake laandaliwa

Kama Kuna mtu yeyote anategemea mabadiliko kutoka kwa kiongozi ambae anatokana na CCM basi huyo ni kichaa na bado mtaona mengi ndani ya Animal Farm...
IMG-20201201-WA0004.jpg
 
Sheria inasemaje kwa mtu ujamtuma kuwa msemaji kwa niaba yangu kama mtanzania,wakati sijamchagua wala kumtuma kuniongelea.

Mbona unajipa cheo si chako, kumbe kuna watu wakiwa nje ya BUNGE wanamiss kuongea ongea
 
Kwi Kwi Kwi
 
Lema ni mkimbizi, afanye shughuli za wakimbizi huko,maji yalimzidi akayakimbia.
Afahamu kuwaTanzania ni sovereign state,inaendeshwa kwa katiba,sheria ,kanuni na taratibu ilizojiwekea ,yeye alikwishahamia nchi nyingine, mambo ya Tanzania ayaachie watanzania wenyewe wanaoishi Tanzania kila mwaka siku 365, yeye keshapoteza credibility.
 
Una akili timamu ?
 
View attachment 1781433
Huyu ndiye Kamanda Lema, aka Nabii wa makaburini, my foot!
Chadema ina vilaza watupu kabisa hawawezi kubadilisha chochote kuanzia Mbowe ni kilaza na katili namba moja dikteta hatari kabisa kuwahi kutokea Lema naye kwanza ana nn hata hajasoma mnyika naye zero tu its a failed CHADEMA Lichama limekufa vibaya hili kwa tamaa za kipumbavu
 
We uliyosoma umeisaidia nn jamii inayokuzunguka? Umewahi kununua hata mpira vijana wakacheza?? umesomesha vijana wangapi wasiokuwa na uwezo wa kulipa ada?
Chadema ina vilaza watupu kabisa hawawezi kubadilisha chochote kuanzia Mbowe ni kilaza na katili namba moja dikteta hatari kabisa kuwahi kutokea Lema naye kwanza ana nn hata hajasoma mnyika naye zero tu its a failed CHADEMA Lichama limekufa vibaya hili kwa tamaa za kipumbavu
 
Bado mmoja yuko bungeni

Inakera mno kwakweli!
Chadema ina vilaza watupu kabisa hawawezi kubadilisha chochote kuanzia Mbowe ni kilaza na katili namba moja dikteta hatari kabisa kuwahi kutokea Lema naye kwanza ana nn hata hajasoma mnyika naye zero tu its a failed CHADEMA Lichama limekufa vibaya hili kwa tamaa za kipumbavu
 
View attachment 1781433
Huyu ndiye Kamanda Lema, aka Nabii wa makaburini, my foot!
Chadema ina vilaza watupu kabisa hawawezi kubadilisha chochote kuanzia Mbowe ni kilaza na katili namba moja dikteta hatari kabisa kuwahi kutokea Lema naye kwanza ana nn hata hajasoma mnyika naye zero tu its a failed CHADEMA Lichama limekufa vibaya hili kwa tamaa za kipumbavu
 
Lema ana tatizo la kisaikolojia. Ni mtu kuongea tu, akimaliza analeta unabii usio na kichwa wala miguu.
Hivi ukija kuambiwa kuwa Mama alikuwa hamtaki Biswalo, lakini sheria ina mkataza kumvua madaraka DPP labda kumpandisha tuu.
Kaamua kumpandisha cheo, kisha kawatuma watu wake watafute "mfyatukaji" mmoja aweke pingamizi mahakamani la uteuzi wake utarudia tena kusema hayo uliyo andika?
Siasa ni sayansi mkuu!
 
Hapo nilipokoleza pahusike.
Unabii wake Bwana Lema hovyo kabisa😉

Mwaka juzi, kama si mwaka jana mwanzoni,
Aliwahi kuonya juu ya Kiburi cha bwana mmoja (Kipindi hicho huyo bwana alikuwa anajipigia ndogonogo cheo cha Ukiranja wa Malaika akienda Mbinguni)
Bwana huyo ('Mungu mtu' kwa maneno ya Lema)
Aliekezwa ajirekebishe kinyume na hivyo, asingeweza kuiona 2020,
Unajua kilichotokea?
Mungu tu akatoa bonas ya 'vimiezi' kama vitatu, lakini bwana yule hayupo tena kama ilivyotabiriwa.
Chakujiuliza ni iwapo Mungu alimpa Ukiranja wa Malaika yule bwana ama la .

Mwambieni Lema aache ubabaishaji jamani.
Chadema ina vilaza watupu kabisa hawawezi kubadilisha chochote kuanzia Mbowe ni kilaza na katili namba moja dikteta hatari kabisa kuwahi kutokea Lema naye kwanza ana nn hata hajasoma mnyika naye zero tu its a failed CHADEMA Lichama limekufa vibaya hili kwa tamaa za kipumbavu
 
Hivi ukija kuambiwa kuwa Mama alikuwa hamtaki Biswalo, lakini sheria ina mkataza kumvua madaraka DPP labda kumpandisha tuu.
Kaamua kumpandisha cheo, kisha kawatuma watu wake watafute "mfyatukaji" mmoja aweke pingamizi mahakamani la uteuzi wake utarudia tena kusema hayo uliyo andika?
Siasa ni sayansi mkuu!
Chadema ina vilaza watupu kabisa hawawezi kubadilisha chochote kuanzia Mbowe ni kilaza na katili namba moja dikteta hatari kabisa kuwahi kutokea Lema naye kwanza ana nn hata hajasoma mnyika naye zero tu its a failed CHADEMA Lichama limekufa vibaya hili kwa tamaa za kipumbavu
 
Imekuwa ni desturi kwa chadema kujiona wana haki ya kukosoa tu!
Kwa muda mrefu uhuru wa habari kichwani mwa Chadema unamanisha ni kutukana na kukosoa wengine ila wao kukosolewa hapana.

Ukiwakosoa chadema watakuita ni dikteta ila wao wakikukosoa wanaita ni uhuru wa habari!!!

Kitendo cha Chadema kuanzisha kampeni ya kuunfollow Clouds kisa tu wamehoji watu wanaowakosoa siyo haki kabisa na ni unyumbu na uzwazwa wa hali juu kwenye chama hicho.

Jiulize kama Lema ambaye hana cheo chochote anaishi kwa kulelewa na wanaume wenzake huko Ulaya anaweza kuanzisha kampeni ya kipuuzi namna hiyo kisa tu dikteta Mbowe amekosolewa, vipi Lema angekuwa rais wa nchi angechukua hatua gani kwa clouds na wakosoaji wa mienendo ya Chadema?

Bila shaka chadema wanaohubiri demokrasia na uhuru wa kutoa maoni hawana chembe hata tone la uvumilivu pindi wanapokosolewa.
mm nimefuatilia nikagundua hiki Chama cha Mbowe katili la Hai na likwepa kodi dikkteta lenye makengeza ni watu wasiojielewa masikini wa kutupwa hawana lolote ni makayabanga tu
 
Godbless Lema yeye kama nani anatoa order kama hiyo... jambazi tu huyu kasumbua sana Arusha eti leo ni mwanasiasa! siasa nayo ni sehemu ya watu washenzi kujifichia!

Hana maadili? Hao majaji wengine waliokuwa kwenye hivi vyeo mpaka kuozea huko wamefanya mambo gani ya maana?

Hii ni kinga kwake zaidi maana najua kuna watu walikuwa wanategemea atatupiliwa mbali. Na pengine sasa atakua kwenye kiti maalum cha kufanya maamuzi dhidi za kesi... kwa kifupi hiki ni kipimo kwake!

aachwe hapo hapo!
Mtoto mdogo umeng'ang'ania story za mapokeo ya vijiweni!
Jambazi basi tutajie walao hata kesi moja uijuayo
 
Back
Top Bottom