Nime-compare two evils,kuna a better evil.Makala is a better evil.Kama nia yao ilikuwa kwamba tupate mchapa kazii,which is what we want,wangetupatia Maganga.Unajua Makala angalau wananchi walimchagua,huyu amepitishwa kiana aina tu,kitu ambacho kina maswali mengi ya kujiuliza.Kwa maneno yaliyopo mtaani na mazingira yaliyopo,mizengwe imetumika kumteua Zeland.Let me tell you,chama chetu kijue,wananchi wa Mvomero hatujafurahishwa na jinsi chama kilivyotufanyia.Ni heri wangemuacha Makala.Makala alishawahi kuwa mbunge wa hilo jimbo miaka ya nyuma,alileta maendeleo gani katika hilo jimbo?
kaka tuonane madizini baadae , kinacho kusumbua wewe nakifahamu.Yes,ni Wilaya kwa hiyo lazima owe na Halimashauri.
Basi jichague mwenyeweHatuoni chama kingine chenye uwezo wa kuleta maendeleo Mvomero.
Hatuoni chama kingine chenye uwezo wa kuleta maendeleo Mvomero.
Morogoro wanahusudu watu wenye rangi nyeupeMama yake ni Mzigua na baba yake ni Mholanzi.Kazaliwa hapa na kakulia hapa,so ni Mtanzania.
Nategemea kwa kuwa kuna mabadiliko ya uongozi.Mimi sichagui chama,nachagua mtu.Na frankly sioni chama chote chote ambacho kina uongozi imara na makini wa kuiletea Tanzania maendeleo.Niseme hivii,even when CCM is weak,it is still stronger than other parties.CCM imekuwepo tangu 1961, unategemea leo ikuletee maendeleo kwa miaka 5?
CCM imekuwepo tangu 1961, unategemea leo ikuletee maendeleo kwa miaka 5?
Mgeta haipo au umeisahau??Jibu langu la mwanzo liliegemea kwenye makao makuu ya wilaya.. Yani kata ya Mvomero.
Ok.. Tuzungumzie kata chache za Mvomero kama Mzumbe, Mlali, Mvomero, Melela, Doma, Mlali na Mtibwa.. Ulitaka nini kikubwa kifanyike ili kuchochea maendeleo kwenye wilaya yetu inayouzungumka mji wa Morogoro, ili mbunge aanze navyo?
Haipo.. Ipo Bunduki.Mgeta haipo au umeisahau??