Uchaguzi 2020 Uteuzi wa Van Zeland kuwa Mgombea Ubunge Mvomero kwa upande wa CCM, haujatutendea haki wananchi wa Wilaya ya Mvomero

Uchaguzi 2020 Uteuzi wa Van Zeland kuwa Mgombea Ubunge Mvomero kwa upande wa CCM, haujatutendea haki wananchi wa Wilaya ya Mvomero

Makala alishawahi kuwa mbunge wa hilo jimbo miaka ya nyuma,alileta maendeleo gani katika hilo jimbo?
Nime-compare two evils,kuna a better evil.Makala is a better evil.Kama nia yao ilikuwa kwamba tupate mchapa kazii,which is what we want,wangetupatia Maganga.Unajua Makala angalau wananchi walimchagua,huyu amepitishwa kiana aina tu,kitu ambacho kina maswali mengi ya kujiuliza.Kwa maneno yaliyopo mtaani na mazingira yaliyopo,mizengwe imetumika kumteua Zeland.Let me tell you,chama chetu kijue,wananchi wa Mvomero hatujafurahishwa na jinsi chama kilivyotufanyia.Ni heri wangemuacha Makala.
 
Wajumbe wajumbe mkuje huku, kuna hoja ya kujibu...

Makalla na Saddiq wamekuwa wabunge wakula posho za vikao na viinua mgongo hawajawahi kujaribu kuleta hayo maendeleo..

Mvomero yenyewe ina migogoro bado ya mipaka na Morogoro vijijini.

Tumuangalie na huyu atafanya nn??

Everyday is Saturday............................😎
 
Tunaangalia mapenzi ya mwenyekiti kwanza si maslahi ya wana Jumbo.
 
CCM imekuwepo tangu 1961, unategemea leo ikuletee maendeleo kwa miaka 5?
Nategemea kwa kuwa kuna mabadiliko ya uongozi.Mimi sichagui chama,nachagua mtu.Na frankly sioni chama chote chote ambacho kina uongozi imara na makini wa kuiletea Tanzania maendeleo.Niseme hivii,even when CCM is weak,it is still stronger than other parties.
 
CCM imekuwepo tangu 1961, unategemea leo ikuletee maendeleo kwa miaka 5?

CCM iliungana na ASP na kuzaa CCM 05.02.197. Lakini uko sahihi kuhusu maendeleo, tulipoteza nguvu zetu kuwaita watu makaburu, tukamwita mwingine nduli na katika hayo tulitumia pesa zetu nyingi. Sasa hivi nchi hizo zinatupotezea ile mbaya. Hatujakaa sawa tukaita wengine mabeberu. Badala ya kuwa na strategic partnership tunasema tuko kwenye vita vya kiuchumi!

Kazi yetu imekuwa ni propaganda tuuuu!!! CCM haiwezi kutukwamua hapa tulipo, labda ishindwe kwanza uchaguzi na kisha irejee!!
 
Jibu langu la mwanzo liliegemea kwenye makao makuu ya wilaya.. Yani kata ya Mvomero.

Ok.. Tuzungumzie kata chache za Mvomero kama Mzumbe, Mlali, Mvomero, Melela, Doma, Mlali na Mtibwa.. Ulitaka nini kikubwa kifanyike ili kuchochea maendeleo kwenye wilaya yetu inayouzungumka mji wa Morogoro, ili mbunge aanze navyo?
Mgeta haipo au umeisahau??
 
Back
Top Bottom