Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,251
- 22,929
- Thread starter
- #21
Nime-compare two evils,kuna a better evil.Makala is a better evil.Kama nia yao ilikuwa kwamba tupate mchapa kazii,which is what we want,wangetupatia Maganga.Unajua Makala angalau wananchi walimchagua,huyu amepitishwa kiana aina tu,kitu ambacho kina maswali mengi ya kujiuliza.Kwa maneno yaliyopo mtaani na mazingira yaliyopo,mizengwe imetumika kumteua Zeland.Let me tell you,chama chetu kijue,wananchi wa Mvomero hatujafurahishwa na jinsi chama kilivyotufanyia.Ni heri wangemuacha Makala.Makala alishawahi kuwa mbunge wa hilo jimbo miaka ya nyuma,alileta maendeleo gani katika hilo jimbo?