macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Mkuu bila kufanya overhole ya system nzima ya utawala hamna kitu kitabadilika. Mama ameteua ''wajanja wajanja'' wa mjini eti ndiyo wakuu wa wilaya.MAMA Kachemka..asipoangalia hatarudishwa kwa chama..kachagua utopolo tu
Kwa mara ya kwanza katokota..watu kama kina Msando hao wanamsaidia nini? Au la yuko kwa systemMkuu bila kufanya overwhole ya system nzima ya utawala hamna kitu kitabadilika. Mama ameteua ''wajanja wajanja'' wa mjini eti ndiyo wakuu wa wilaya.
mama anachakua watu kwenye mitandao ya kijamii.Mkuu bila kufanya overwhole ya system nzima ya utawala hamna kitu kitabadilika. Mama ameteua ''wajanja wajanja'' wa mjini eti ndiyo wakuu wa wilaya.
Una matatizo weweTita kwanza ndo uandike ,sijakuelewa .
Tatizo ninaloliona mimi ni kuwa mama Samia amezungukwa na mijitu ya ovyo yenye roho za kikatili aliyoirithi kutoka serikali ya kidikteta ya mwendazake. Alichotakiwa kufanya ni kuwaondoa hawa umbwa kwanza kutoka kwenye utawala wake ili wasiendelee kumpotosha. Unajua Rais hawezi kumjua kila mtu.....hawa wateule huwa wanafanyiwa vetting na kisha majina kuwasilishwa kwake. Majitu aliyoyaamini kumfanyia vetting ndiyo yamemletea hizi akataka. Haya majitu ndio ya kuanza nayo kabla hayajamuingiza chaka zaidi kwa hii miaka 4 iliyobaki. Nawasilisha.Inasikitisha sana Tanzania sijui inaelekea wapi. DC ni nafasi nyeti ya kuunganisha watendaji na jamii inayowazunguka. Kusimamia mambo ya ulinzi na usalama. Hii ni nafasi ya waandamizi kutoka katika utumishi au chama, wakiwa wamejaa utu uzima na busara za kumwagika. Leo unaenda kuokoteza wasanii na watu mitandaoni.
Naona Tanzania inapoteza uelekeo kabisa. Hawa jamaa wanatupa kazi sana kuirudisha Tanzania kwenye reli.
Mimi sijawahi kushuhudia uteuzi wa hovyo kama huu toka nizaliwe.
Kiufupi rais kaelemewa na majukumu
huyu binti jokate amefanya nini, taja kitu moja muhimu na cha manufaa amefanyaß au unaangalia tu ile weupe yake na sababu ni binti?unaelewa wewe kazi ya DC?Wasanii nao ni watanzania, wapewe nafasi waonyeshe vipaji vyao mbona Jokate ameweza, tuwe wavumilivu tumor mama nafasi afanye kazi
Sasa ndio aanze kuwapa watu ukuu wa wilaya wafanye majaribio ya uongozi? Huoni kwamba anakivunjia heshima cheo hiki cha ukuu wa wilaya? Bora hata angewateua kuwa makatibu kata kuliko kuwapa cheo kikubwa.Hakuna anaezaliwa Mkuu wa Wilaya, acha watu wapewe nafasi wakiboronga watatupwa kampuni..
Nchi ni yetu sote acha tule keki kwa zamu.
mkuu acha kujibu mambo mengine hapa, wabongo wengine akili zao ndogo sana, kusema wasanii pia ni watanzania ni kaa kusema kuwa mtu anaweza kuwa daktari sababu tu ni mtanzania,watu wako na uelewa mdogo sana mkuu, lakini hongera sana kwa kumujibuNafasi wapewe lakini sio ukuu wa wilaya. Wanaelewa nini kwenye utumishi na ulinzi na usalama.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mama kaivunja UVCCM kabisa, MATAGA wanataga sasa, nasikia wanaleft kwenye magrupu yao.
Wengine wanatukana balaa
Anadhani labda kazi ya mkuu wa wilaya ni kuongoza mbio za mwenge na kuongea na kamati ya siasa. Jokate alichofanikiwa ni kujikoboa baada ya kupata mshiko wa kutosha kupitia ukuu wa wilaya; na pia kuongozea ukubwa wa makalio kwa kutumia dawa za mchina. Haya ndio maendeleo pekee aliyofanikiwa kuleta ktk nchi hii ya kusadikika.huyu binti jokate amefanya nini, taja kitu moja muhimu na cha manufaa amefanyaß au unaangalia tu ile weupe yake na sababu ni binti?unaelewa wewe kazi ya DC?
mbowe anaingilia wapi? si umpe jibu au utoe maoni yako, achana na mbowe au wewe ni uvccm?Wewe nani mpaka useme hivyo cha kushangaza wewe ni mateka wa Mbowe unataka Rais Samia, akufurahishe? Nyie kupinga ndiyo kazi mliotumwa na Mfalme Mbowe, Rais kawambia mpo huru kufanya mikutano yenu nchi nzima au nyie mnafanyie JF.
Yaan sijui hata anakwama wapi huyu baba.
Hali ya hewa imejaa upupu tunaangalia tuUwe na huruma Mpwa
kweli kabisa, hii taifa imepotea kabisa, ndio umasikini utabaki kuwa kidoda kabisaAisee uteuzi mbovu 75% .Yaani vyuo vya adminstrative vina changamoto,Kuna ma professor ,wahitimu weredi wakubwa wa siasa na uongozi.
Leo hii bongo movie,bongo fravour,Journalist wawe ma DC.
Nchi Bado inasafari ndefu Sana ,acha waendelee kututukana mpaka tuishike adabu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah mmeanza kugeuka tena lol.Huyu anaweza kuwa Rais wa hovyo kuwahi kutokea Tanzania, Mwendazake nlimsema bure kwa kweli..Mungu anisamehe.
Shilole na flaviana matata, wanaukwaa U Das. SoonShilole, amber ruty, wema sepetu , uwoya jiandaenii[emoji23][emoji23][emoji23]
wewe uko na ujinga wa ajabu, nani amekwambia muleta mada ana haja ya kuwa dc? mimi hata ccm inipe RC sitaki, kuna watu ambao hawana njaa kaa yako ambao udc ni kaa kuwa malaika, acha utoto pls, hii ni taifa linaangukaSema tu umewaona kuna akina Nassar na Lijualikali mliowacheka day in and day out kwamba wamehadaliwa kwenda Sisiemu na kisha kutoswa. Shame!!!
Naona umeumia sana. hahaaa 🙂wewe uko na ujinga wa ajabu, nani amekwambia muleta mada ana haja ya kuwa dc? mimi hata ccm inipe RC sitaki, kuna watu ambao hawana njaa kaa yako ambao udc ni kaa kuwa malaika, acha utoto pls, hii ni taifa linaanguka