Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya uliofanyika Juni 2021 umeshusha hadhi ya nafasi hiyo

Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya uliofanyika Juni 2021 umeshusha hadhi ya nafasi hiyo

Wewe nani mpaka useme hivyo cha kushangaza wewe ni mateka wa Mbowe unataka Rais Samia, akufurahishe? Nyie kupinga ndiyo kazi mliotumwa na Mfalme Mbowe, Rais kawambia mpo huru kufanya mikutano yenu nchi nzima au nyie mnafanyie JF.
Mbowe anaingiaje hapa katika Uzi huu?
Nonsense!
 
CCM ni mijitu ya ovyo..mfumo huu wa teuzi alianzisha Kikwete akajaza mahawara zake kibao..upuuzi
Dah....aliuanzisha....na anauendeleza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960]
 
wewe umeumizwa na wakina Nassari na Lijua likali....... hao wote ni watanzania na ni wana ccm
 
Tanzania tuna rasilimali Ila hatujawahi pata visionary leaders.

You can imagine , tuna Kila kitu, lakini kuna mahali mwaka wa 60 huu toka Uhuru watu hawana vyoo.
 
Nafasi ya udc siku hizi imekuwa ya ajabu

Ova
 
Washabiki wa chadema bwana wanaumia Sana kuona waliotoswa na chama Chao wameula sasa wanaumia tuu hapa na kuja na blaa blaa
 
nasikia group lako limetoa DC,hongera
Screenshot_20210620-123812.png
 
Inasikitisha sana Tanzania sijui inaelekea wapi. DC ni nafasi nyeti ya kuunganisha watendaji na jamii inayowazunguka. Kusimamia mambo ya ulinzi na usalama. Hii ni nafasi ya waandamizi kutoka katika utumishi au chama, wakiwa wamejaa utu uzima na busara za kumwagika. Leo unaenda kuokoteza wasanii na watu mitandaoni.

Naona Tanzania inapoteza uelekeo kabisa. Hawa jamaa wanatupa kazi sana kuirudisha Tanzania kwenye reli.

Mimi sijawahi kushuhudia uteuzi wa hovyo kama huu toka nizaliwe.

Kiufupi rais kaelemewa na majukumu
Nyie kila mtu ni hovyo, kuanzia kwa Mkapa, mkaja kwa Kikwete,mkaendelea kwa Magufuli, sasa tena kwa mama,sijui nani mtamuona anafaa, mbona naeMbowe anafanya teuzi za hovyo ndio maana kageuza Chadema kuwa SACCOS, kama Chadmea ingekuwa ileile ya akona Dr Slaa nchii sasa ingekuwa chini ya Chadema, lakini kwa ujinga wa mwenyekiti wenu akageuza gia angani kwa kuleta watu walewale ambao mliwaita majizi, matokeo wananchi wakawaona ni wahuni, udhaifu wa chama chenu ndio umefanya wateuliwa watu kama akina Basila Mwanukuzi, Mchobanga, Niki na wengineo wengi wa hovyo. Tusilalamike tu haya ndio tuliyoyataka,wacha tule kavu za usoni.
 
Inasikitisha sana kuwa na nchi ambayo watu wake wanaamini uongozi ndio keki ya taifa na mtu akipewa cheo ameula
Umeona eeh...Na kila anayeteuliwa Mh. Rais kakosea...Nchi hairidhiki kwa chochote kila kitu kibaya...Vijana ndiyo percent kubwa acha wajaribu na wao wakishindwa tutajifunza pia
 
Inasikitisha sana Tanzania sijui inaelekea wapi. DC ni nafasi nyeti ya kuunganisha watendaji na jamii inayowazunguka. Kusimamia mambo ya ulinzi na usalama. Hii ni nafasi ya waandamizi kutoka katika utumishi au chama, wakiwa wamejaa utu uzima na busara za kumwagika. Leo unaenda kuokoteza wasanii na watu mitandaoni. Up

Naona Tanzania inapoteza uelekeo kabisa. Hawa jamaa wanatupa kazi sana kuirudisha Tanzania kwenye reli.

Mimi sijawahi kushuhudia uteuzi wa hovyo kama huu toka nizaliwe.

Kiufupi rais kaelemewa na majukumu
Ifike mahala tuache dharau wasanii wamewekwa kwenye wilaya zote? pia usimchukulie mtu unavyomjua wewe hata katika maisha ya kawaida tu majukumu yakiongezeka na akili ubadilika.
 
Inasikitisha sana Tanzania sijui inaelekea wapi. DC ni nafasi nyeti ya kuunganisha watendaji na jamii inayowazunguka. Kusimamia mambo ya ulinzi na usalama. Hii ni nafasi ya waandamizi kutoka katika utumishi au chama, wakiwa wamejaa utu uzima na busara za kumwagika. Leo unaenda kuokoteza wasanii na watu mitandaoni.

Naona Tanzania inapoteza uelekeo kabisa. Hawa jamaa wanatupa kazi sana kuirudisha Tanzania kwenye reli.

Mimi sijawahi kushuhudia uteuzi wa hovyo kama huu toka nizaliwe.

Kiufupi rais kaelemewa na majukumu
Ulitegemea nini mkuu? Fuga kuku ule mayai.
 
Back
Top Bottom