Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya uliofanyika Juni 2021 umeshusha hadhi ya nafasi hiyo

Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya uliofanyika Juni 2021 umeshusha hadhi ya nafasi hiyo

Inasikitisha sana Tanzania sijui inaelekea wapi. DC ni nafasi nyeti ya kuunganisha watendaji na jamii inayowazunguka. Kusimamia mambo ya ulinzi na usalama. Hii ni nafasi ya waandamizi kutoka katika utumishi au chama, wakiwa wamejaa utu uzima na busara za kumwagika. Leo unaenda kuokoteza wasanii na watu mitandaoni.

Naona Tanzania inapoteza uelekeo kabisa. Hawa jamaa wanatupa kazi sana kuirudisha Tanzania kwenye reli.

Mimi sijawahi kushuhudia uteuzi wa hovyo kama huu toka nizaliwe.

Kiufupi rais kaelemewa na majukumu
U hovyo wake uko wapi??? kwani sifa za kuwa DC ni zipi?
 
Inasikitisha sana Tanzania sijui inaelekea wapi. DC ni nafasi nyeti ya kuunganisha watendaji na jamii inayowazunguka. Kusimamia mambo ya ulinzi na usalama. Hii ni nafasi ya waandamizi kutoka katika utumishi au chama, wakiwa wamejaa utu uzima na busara za kumwagika. Leo unaenda kuokoteza wasanii na watu mitandaoni.

Naona Tanzania inapoteza uelekeo kabisa. Hawa jamaa wanatupa kazi sana kuirudisha Tanzania kwenye reli.

Mimi sijawahi kushuhudia uteuzi wa hovyo kama huu toka nizaliwe.

Kiufupi rais kaelemewa na majukumu
Hivi ungeteuliwa wéwe ungelàlàmika? piga kazi acha majungu! kwani usanii sio kazi halali! Inaelekea una roho mbaya sana, una hitaji maombi!
 
Mbona tulimpa Urais mtu wa ajabu kabisa Nchi imebaki na majeraha ya kutekana na kuuana kutoka kwa kina sabaya na alikua kimya leo uje uzungumzie cheo ambacho hata kikifutwa hakuna madhara...
 
Inasikitisha sana Tanzania sijui inaelekea wapi. DC ni nafasi nyeti ya kuunganisha watendaji na jamii inayowazunguka. Kusimamia mambo ya ulinzi na usalama. Hii ni nafasi ya waandamizi kutoka katika utumishi au chama, wakiwa wamejaa utu uzima na busara za kumwagika. Leo unaenda kuokoteza wasanii na watu mitandaoni.

Naona Tanzania inapoteza uelekeo kabisa. Hawa jamaa wanatupa kazi sana kuirudisha Tanzania kwenye reli.

Mimi sijawahi kushuhudia uteuzi wa hovyo kama huu toka nizaliwe.

Kiufupi rais kaelemewa na majukumu
Hata mkwere alikuwa kwenye uteuzi analemewa na makukumu
 
Hakuna anaezaliwa Mkuu wa Wilaya, acha watu wapewe nafasi wakiboronga watatupwa kampuni..

Nchi ni yetu sote acha tule keki kwa zamu.
Hii trial and error ndio huzalisha sampuli za akina Sabaya ,Makonda nk
 
Wewe nani mpaka useme hivyo cha kushangaza wewe ni mateka wa Mbowe unataka Rais Samia, akufurahishe? Nyie kupinga ndiyo kazi mliotumwa na Mfalme Mbowe, Rais kawambia mpo huru kufanya mikutano yenu nchi nzima au nyie mnafanyie JF.
Tunachukulia mzaha ila Sidhani kama ni sahihi kumtoa MTU from no where ukamweka kwenya utawala administration!!! Ukuu wa wilaya unataka MTU anaejua hata some labour laws!!! Nk sio MTU kutoka pasipo julikana !!! Na matokea Haya ndio wanazaliwa watu jamii ya Sabaya makonda nk!!!
Na ndio maana wakati wa magufuli tulishuhudia DC anapigana na DED ,DC anapigana na Afisa utumishi nk !!
Haya mambo kama haupo nao karibu huwezi kujua lakin kuna madhaifu makubwa sana kumpa MTU asiye ana uzoef cheo cha U DC !!!
 
Kwa maoni yangu hii safu iko vzri. Ukiangalia Ma -RC ni watu wenye uzoefu kwa hiyo hakuna DC ataenda kinyume na matakwa ya DC na waziri husika.

Nchi ilkua gizani ljn hamkuongea, leo hii kisa mmepewa uhuru wa kuongea sasa mwataka kumpangia mama nani wa kuteuliwa?

Wataje watu unaoona walitakiwa kuteuliwa.
 
Nafasi wapewe lakini sio ukuu wa wilaya. Wanaelewa nini kwenye utumishi na ulinzi na usalama.
Punguza wivu mkuu, wanafanya sanaa kama kazi ya kujipatia riziki. Usidhani kuwa wasanii wote ni bogus, wapo wasanii wengi tu wenye uwezo mkubwa sana wa kuongoza.

Mf. Volodymyr Zelensky

220px-Volodymyr_Zelensky_Official_portrait.jpg
 
Sema tu umewaona kuna akina Nassar na Lijualikali mliowacheka day in and day out kwamba wamehadaliwa kwenda Sisiemu na kisha kutoswa. Shame!!!
Sisiem ndio wameumia zaid walifia chama mwisho wa siku wapinzani ndio wamepewa vyeo na hii ni ushuhuda kwamba ccm wanawategemea wapinzani !!! Kwann msiwape vyeo ccm !??? Ila wakitoka upinzani wanapewa vyeo!?? Ccm mmefia chama vyeo wapinzani nani anaumia hapo!???
Upinzani ni chuo cha uongozi
 
Mama kaivunja UVCCM kabisa, MATAGA wanataga sasa, nasikia wanaleft kwenye magrupu yao.
Wengine wanatukana balaa
Kuna kiongozi mmoja wa ccm juzi aliniambia, mama ameiua ccm na anasema 2025 hali itakuwa tete kwa ccm.
 
Ungeteuliwa na wewe hizi kelele tusingeziskia hapa.

Acha wivu mkuu😀😀😀😀😀😀
 
Wewe nani mpaka useme hivyo cha kushangaza wewe ni mateka wa Mbowe unataka Rais Samia, akufurahishe? Nyie kupinga ndiyo kazi mliotumwa na Mfalme Mbowe, Rais kawambia mpo huru kufanya mikutano yenu nchi nzima au nyie mnafanyie JF.
Ndugu siku hizi akili umeziacha wapi?
Kuna wakati kama taifa tunapaswa kuungana kupima yanayofaa kwa nchi yetu na kuacha uchama.
Mbona uteuzi wa Wakuu wa mikoa haukupingwa?
 
Leo unaenda kuokoteza wasanii na watu mitandaoni.
Tafadhri waombe radhi hao unaowasema wameokotezwa kutoka wasanii wa mitandaoni. Yaani Dr Mashinji, daktari bingwa mbobezi wa anathesiology aliyeokoa maisha ya Tundu Lissu alipomiminiwa full magazine huko Dodoma, wewe unamuona ni msanii wa kuokotezwa mitandaoni? Yaani kijana Nassari mwenye master degree ya utawala aliyewahi kuwa mbunge muelevu, leo wewe unamuona msanii wa kuokotezwa. Yaani kijana Lijuakali mwenye elimu kubwa kuliko yako ambaye pia alipata kuwa mbunge mwenye hekima, unamwita msanii wa kuokoteza? Yaani wale ma juornalists wasomi waliobobea walioteuliwa, wewe kwako ni wasanii wa kuokoteza mitandaoni kama wewe ulivyo?
 
Sisiem ndio wameumia zaid walifia chama mwisho wa siku wapinzani ndio wamepewa vyeo na hii ni ushuhuda kwamba ccm wanawategemea wapinzani !!! Kwann msiwape vyeo ccm !??? Ila wakitoka upinzani wanapewa vyeo!?? Ccm mmefia chama vyeo wapinzani nani anaumia hapo!???
Upinzani ni chuo cha uongozi
Kama ni chuo cha uongozi, kwa nini Mr Hai haachii nafasi ya uenyekiti wa chama!??? Kwa nini hamchukui nchi, kama chama chenu ni chuo!??? Kwa nini hata ofisi tu ya danganyatoto hamataki kujenga kwa ajili ya chama!??? Kama ni chuo, ilikuwaje basi Lowassa, Nyalandu, Sumaye na wengine wengi walikwea hivyo vyeo vyenu chamani kwenu!??? Kama chama chenu ni chuo, kwa nini day in and day out mnawachangisha wananchi fedha za kuendeshea chama chenu badala ya kuanzisha miradi endelevu na kuwajengea watu na mashirika uwezo ili viweze kuwa sehemu ya ruzuku na ufadhili wa chama!???

Hao waliotoka chamani kwenu waliona hakuna lolote la maana linaloendelea ndiyo sababu wakakimbilia Sisiemu, because mapema tu mngeua vipaji na taaluma zao za uongozi. Halafu, hivi unajua Sisiemu pyua waliochaguliwa uongozi ni wangapi dhidi ya hao waliotoka kwenu!???

Lastly, hii ndiyo kusema hata ingetokea mshike nchi kumbe kila mteuliwa lazima atoke kwenye chama chenu!??? Basi hicho chama chenu kimefilisika fikra za ubongo wa mawazo ya akili kumkichwa.
 
hizi teuzi zinafanya watu wanajipendekeza kwa mama,mara kapost picha mara kapongeza.
 
Back
Top Bottom