Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya uliofanyika Juni 2021 umeshusha hadhi ya nafasi hiyo

Mama kaivunja UVCCM kabisa, MATAGA wanataga sasa, nasikia wanaleft kwenye magrupu yao.
Wengine wanatukana balaa
Japo mie siipendi CCM Ila amechemka this time. Amebeba watu hata ambao hawapo kwenye siasa sio sawa, kuna watu wanahangaika na chama kila uchwao na wanatumia Hadi gharama zao kiukweli asingeweza kuchukua wote Ila nafasi hizi ndio huwa za kueapooza japo wapate jina.

Pia aleta watu ambao hawajawahi hata kujua minute sheet inaandikwaje mtu ametoka shule hajawahi kukaa kufanya kazi kidogo. In short secretary ndio anageuka mwalimu wa DC kumuelekeza namna ya kuendorse mafaili.

Kachemka sana na kwa huu mwendo nimeanza kumchoka mapema sana.
 
Barikiwa sana mkuu
 
Ukweli mchungu huu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ulitaka ateuliwe nani ili uonekane ni uteuzi wa maana? Kama Nassari, lazaro na Lijua likali muliwaamini na kuwapa nafasi za kugombea ubunge, inakuaje wasifae kua wakuu wa wilaya?
Mwacheni rais ateue timu yake, ukifika muda tutaona matunda au maboko ya wateuliwa.
 
Duu[emoji41][emoji41][emoji41]

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
mama anachakua watu kwenye mitandao ya kijamii.
Ni kweli. Wale watu wanaojionyesha onyesha kwenye mitandao kwenye mambo ya ''ubuyu'' ndiyo ''wachapa kazi'' wake. Na yeye inaonekana ni mtu wa ''ubuyu'' kwenye mitandao sana.
 
Huu ni wakati wa kutumia kile kilichoachwa na Mzee baba, mwenye maono na vitendo halisi vya kuikomboa Tanzania kiuchumi na kifikra.
 
Chuo Cha mzumbe watoe hii koz ya uongoz, viongoz marapa,.
 
Binafsi kwa uteuzi huu,, umeniondolea imani kubwa nilokuwa nayo kwa mteua,,, kwani zaidi 75% ya wateule wake kwenye huu mkeka hawana sifa stahiki za kuwa kwenye hizi ofisi nyeti.
Ungezitaja hizo sifa stahiki basi nasi tuzifahamu
 
Embu tuambie. Sifa gani ambazo wame mis ?
Yaani wanalalamika sifa sifa halafu hawazitaji hizi sifa ni zipi. Hawa ndo wale watu wa kupenda kujaji wengine kwa mizania fulani ya kipuuuzi (ya kujiona wao ndo bora na wana akili wakati hakuna lolote). Hizi ni akili za kitoto wanazo. Wanajiona wana akili sana. Unaweza mkuta anamdharau Basilla MWanaukuzi sababu tu aliwahi kuwa Miss Tanzania wakati hamfahamu ni nani, ana kiwango gani cha elimu na alifanya shughuli gani baada ya Miss Tanzania, au anamdharau Mwaipaya sababu alikuwa mwandishi wa habari, anasahau Rais Benjamin Mkapa naye aliwahi kuwa mwandishi wa Habari.
 
Dah....list nzima sijamuona mchezaji hata mmoja wa Simba.....kuna haki hapa? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960]
 
Acha wivu kwanini uwaite watu wa hovyo eti kisa wasanii.Au ulitaka kuchagulia wewe? !.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…