Bondpost
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 7,019
- 10,455
Japo mie siipendi CCM Ila amechemka this time. Amebeba watu hata ambao hawapo kwenye siasa sio sawa, kuna watu wanahangaika na chama kila uchwao na wanatumia Hadi gharama zao kiukweli asingeweza kuchukua wote Ila nafasi hizi ndio huwa za kueapooza japo wapate jina.Mama kaivunja UVCCM kabisa, MATAGA wanataga sasa, nasikia wanaleft kwenye magrupu yao.
Wengine wanatukana balaa
Pia aleta watu ambao hawajawahi hata kujua minute sheet inaandikwaje mtu ametoka shule hajawahi kukaa kufanya kazi kidogo. In short secretary ndio anageuka mwalimu wa DC kumuelekeza namna ya kuendorse mafaili.
Kachemka sana na kwa huu mwendo nimeanza kumchoka mapema sana.