Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya uliofanyika Juni 2021 umeshusha hadhi ya nafasi hiyo


Tabia ya ulalamishi tu hakuna cha ajabu Magu aliteua makada, watangazaji na Kikwete aliteua mahawara zake sasa cha ajabu kipi. Wakina Makonda, polepole, ….. ma miss sijui walichaguliwa na nani bila uzoefu. Tusijifanye kama vile kuna mabadiliko kwenye hili😂
 
Eti Nick sijui wa wapi mara Mchopanga.
Asante sana kazi inaendelea 😥
 
Acha zako wewe!

Mshamba na dhalimu wako si kafa?

Sasa unalialia nini?

I don't understand for sure what you are tyring to address in my post, seems you know nothing! Go home and do your your home, rathet than wasting your time for a Great thinker like me.
 
Uongozi ni maandalizi,
Kama wateule waliandaliwa
kuwa viongozi ni sawa.
But,kwa maoni yangu
vijana wengi siku hizi
tunaboronga,heri wateuliwe
Senior GOvt Officers.
 
Wapunzike halafu wale nini? Hahahaha weeeeeee usiwadanganye
 
Hivi Kwa nini wasiteuliwe wale Wasomi na Wokomavu waliotia Nia ya Ubunge Majimboni? Yaani Wasanii wa Bongo Movie na Bongo Flava ili Hali kuna PhD holders wa Uongozi na Utawala wamebaki Mtaani.? Wonders should never end! Anyway kila mtu na Nyota yake.
 
Aisee itoshe kusema ukuu wa wilaya umekuwa post ya ovyo sana can you imagine Nick wa pili anaenda kuwa mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi wilaya, Nafasi uzi wapewe seniors
 
Ukuu wa wilaya unatakiwa wateuliwe watu wezima wenye busara sio unamteua kijana Mdogo Unaenda kumpatia ukuu wawilaya sio poa kabisa
 

Wakuu wa wilaya hawana umuhimu wowote zaidi ya porojo. Wakurugenzi na wakuu wa mkoa wanatosha
 
Wewe nani mpaka useme hivyo cha kushangaza wewe ni mateka wa Mbowe unataka Rais Samia, akufurahishe? Nyie kupinga ndiyo kazi mliotumwa na Mfalme Mbowe, Rais kawambia mpo huru kufanya mikutano yenu nchi nzima au nyie mnafanyie JF.
Wao kupinga kila kitu, nyie kushangilia kila kitu. Ngoma droo
 
Nimekuelewa mno mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…