Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,094
- 37,314
AiseeChadema wameumia sana kuwaona kina Lijuakali, nasari na wengineo wamekula teuzi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AiseeChadema wameumia sana kuwaona kina Lijuakali, nasari na wengineo wamekula teuzi!
Inasikitisha sana Tanzania sijui inaelekea wapi. DC ni nafasi nyeti ya kuunganisha watendaji na jamii inayowazunguka. Kusimamia mambo ya ulinzi na usalama. Hii ni nafasi ya waandamizi kutoka katika utumishi au chama, wakiwa wamejaa utu uzima na busara za kumwagika. Leo unaenda kuokoteza wasanii na watu mitandaoni.
Naona Tanzania inapoteza uelekeo kabisa. Hawa jamaa wanatupa kazi sana kuirudisha Tanzania kwenye reli.
Mimi sijawahi kushuhudia uteuzi wa hovyo kama huu toka nizaliwe.
Kiufupi rais kaelemewa na majukumu
Aiseeeee umejitutumua kweli kupost! Hongera, waambie UVCCM wasileft kwenye groups za CCM[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huu uteuzi bavicha wana hali ngumu hatari
Acha zako wewe!
Mshamba na dhalimu wako si kafa?
Sasa unalialia nini?
Wapunzike halafu wale nini? Hahahaha weeeeeee usiwadanganyeKununa hawawezi sababu new supporters wa mama wakiboreka nae wao wanalazimika kujifanya wanaomsifia ili aharibu zaidi lakini mionyoni mwao wanaumia sana.
Na alifanya vizuri anasifiwa na new supporters Jambo ambalo bado wao linaendelea kuwauma.
In short wanaumia kotekote tu, ningekuwa MATAGA ningepumzika siasa kwa muda kama akina Bashiru walivyoamua kukaa kimya au bashite.
mkuu hapa umetumia wivu kufikiri,Kipaji chao ni usanii tayari
Hivi Kwa nini wasiteuliwe wale Wasomi na Wokomavu waliotia Nia ya Ubunge Majimboni? Yaani Wasanii wa Bongo Movie na Bongo Flava ili Hali kuna PhD holders wa Uongozi na Utawala wamebaki Mtaani.? Wonders should never end! Anyway kila mtu na Nyota yake.Inasikitisha sana Tanzania sijui inaelekea wapi. DC ni nafasi nyeti ya kuunganisha watendaji na jamii inayowazunguka. Kusimamia mambo ya ulinzi na usalama. Hii ni nafasi ya waandamizi kutoka katika utumishi au chama, wakiwa wamejaa utu uzima na busara za kumwagika. Leo unaenda kuokoteza wasanii na watu mitandaoni.
Naona Tanzania inapoteza uelekeo kabisa. Hawa jamaa wanatupa kazi sana kuirudisha Tanzania kwenye reli.
Mimi sijawahi kushuhudia uteuzi wa hovyo kama huu toka nizaliwe.
Kiufupi rais kaelemewa na majukumu
Ukuu wa wilaya unatakiwa wateuliwe watu wezima wenye busara sio unamteua kijana Mdogo Unaenda kumpatia ukuu wawilaya sio poa kabisaInasikitisha sana Tanzania sijui inaelekea wapi. DC ni nafasi nyeti ya kuunganisha watendaji na jamii inayowazunguka. Kusimamia mambo ya ulinzi na usalama. Hii ni nafasi ya waandamizi kutoka katika utumishi au chama, wakiwa wamejaa utu uzima na busara za kumwagika. Leo unaenda kuokoteza wasanii na watu mitandaoni.
Naona Tanzania inapoteza uelekeo kabisa. Hawa jamaa wanatupa kazi sana kuirudisha Tanzania kwenye reli.
Mimi sijawahi kushuhudia uteuzi wa hovyo kama huu toka nizaliwe.
Kiufupi rais kaelemewa na majukumu
Inasikitisha sana Tanzania sijui inaelekea wapi. DC ni nafasi nyeti ya kuunganisha watendaji na jamii inayowazunguka. Kusimamia mambo ya ulinzi na usalama. Hii ni nafasi ya waandamizi kutoka katika utumishi au chama, wakiwa wamejaa utu uzima na busara za kumwagika. Leo unaenda kuokoteza wasanii na watu mitandaoni.
Naona Tanzania inapoteza uelekeo kabisa. Hawa jamaa wanatupa kazi sana kuirudisha Tanzania kwenye reli.
Mimi sijawahi kushuhudia uteuzi wa hovyo kama huu toka nizaliwe.
Kiufupi rais kaelemewa na majukumu
Wao kupinga kila kitu, nyie kushangilia kila kitu. Ngoma drooWewe nani mpaka useme hivyo cha kushangaza wewe ni mateka wa Mbowe unataka Rais Samia, akufurahishe? Nyie kupinga ndiyo kazi mliotumwa na Mfalme Mbowe, Rais kawambia mpo huru kufanya mikutano yenu nchi nzima au nyie mnafanyie JF.
Mbona umejibu kwa hasira hiviAnayejua kusoma, kuandika, na awe raia wa Tanzania. Sifa za ziada aweze kujipendekeza na kutukana wapinzani.
Mbona umejibu kwa hasira hivi
Nimekuelewa mno mnoKimsingi huyo mama hana jinsi ya kuacha kuwapa vyeo baadhi ya watu waliowatoa upinzani. Ifahamike mbinu za ccm kuendelea kubaki madarakani ni pamoja na kuwachukua wapinzani na kuwapa vyeo, ili kushusha imani ya wapinzani na upinzani nchini. Hivyo iwapo wapinzani wenye uchu wa madaraka wanaoribuniwa na kuingia ccm baadhi yao wasipopewa vyeo, wengine hawatahamia ccm, na ccm itaendelea kujikuta katika wakati mgumu sana wa ushindani wa kisiasa.
Kiuhalisia ccm imeshapoteza ushawishi kwani tayari ni chama cha kizazi kilichopita. Hivyo inabidi kutumia mbinu za kughilibu wapinzani hasa kwa njia ya vyeo, ili kupunguza nguvu ya upinzani. Mbinu hizi ni za kawaida sana kwa vyama vyote vilivyo madarakani hasa kwenye nchi masikini, ambapo watu wengi wako kwenye siasa kwa ajili ya maslahi binafsi, kisha itikadi baadae. Hivyo chama kinachokuwa madarakani hutafuta wapinzani wenye uchu wa madaraka na kuwapa vyeo, kisha kuwatumia kuchafua taswira ya upinzani ili kujijengea imani.
Thibitisha😂Dhibitisha hasira zangu.