Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya uliofanyika Juni 2021 umeshusha hadhi ya nafasi hiyo

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Inasikitisha sana Tanzania sijui inaelekea wapi. DC ni nafasi nyeti ya kuunganisha watendaji na jamii inayowazunguka. Kusimamia mambo ya ulinzi na usalama.

Hii ni nafasi ya waandamizi kutoka katika utumishi au chama, wakiwa wamejaa utu uzima na busara za kumwagika. Leo unaenda kuokoteza wasanii na watu mitandaoni.

Naona Tanzania inapoteza uelekeo kabisa. Hawa jamaa wanatupa kazi sana kuirudisha Tanzania kwenye reli.

Mimi sijawahi kushuhudia uteuzi wa hovyo kama huu toka nizaliwe.

Kiufupi rais kaelemewa na majukumu
 
Inasikitisha sana Tanzania sijui inaelekea wapi. DC ni nafasi nyeti ya kuunganisha watendaji na jamii inayowazunguka. Kusimamia mambo ya ulinzi na usalama. Hii ni nafasi ya waandamizi kutoka katika utumishi au chama, wakiwa wamejaa utu uzima na busara za kumwagika. Leo unaenda kuokoteza wasanii na watu mitandaoni.

Naona Tanzania inapoteza uelekeo kabisa. Hawa jamaa wanatupa kazi sana kuirudisha Tanzania kwenye reli.

Mimi sijawahi kushuhudia uteuzi wa hovyo kama huu toka nizaliwe
Wewe nani mpaka useme hivyo cha kushangaza wewe ni mateka wa Mbowe unataka Rais Samia, akufurahishe? Nyie kupinga ndiyo kazi mliotumwa na Mfalme Mbowe, Rais kawambia mpo huru kufanya mikutano yenu nchi nzima au nyie mnafanyie JF.
 
wataje hao watu waliokotezwa na kupewa teuzi

Wewe ulitaka akina nani wateuliwe?
Wacheni lawama zisizo lazima
Inasikitisha sana Tanzania sijui inaelekea wapi. DC ni nafasi nyeti ya kuunganisha watendaji na jamii inayowazunguka. Kusimamia mambo ya ulinzi na usalama. Hii ni nafasi ya waandamizi kutoka katika utumishi au chama, wakiwa wamejaa utu uzima na busara za kumwagika. Leo unaenda kuokoteza wasanii na watu mitandaoni.

Naona Tanzania inapoteza uelekeo kabisa. Hawa jamaa wanatupa kazi sana kuirudisha Tanzania kwenye reli.

Mimi sijawahi kushuhudia uteuzi wa hovyo kama huu toka nizaliwe
 
Aisee uteuzi mbovu 75% .Yaani vyuo vya adminstrative vina changamoto,Kuna ma professor ,wahitimu weredi wakubwa wa siasa na uongozi.
Leo hii bongo movie,bongo fravour,Journalist wawe ma DC.
Nchi Bado inasafari ndefu Sana ,acha waendelee kututukana mpaka tuishike adabu
 
Inasikitisha sana Tanzania sijui inaelekea wapi. DC ni nafasi nyeti ya kuunganisha watendaji na jamii inayowazunguka. Kusimamia mambo ya ulinzi na usalama. Hii ni nafasi ya waandamizi kutoka katika utumishi au chama, wakiwa wamejaa utu uzima na busara za kumwagika. Leo unaenda kuokoteza wasanii na watu mitandaoni.

Naona Tanzania inapoteza uelekeo kabisa. Hawa jamaa wanatupa kazi sana kuirudisha Tanzania kwenye reli.

Mimi sijawahi kushuhudia uteuzi wa hovyo kama huu toka nizaliwe
Mkuu fungua account kwenye mitandao ya jamii.. uwe na followers wa kutosha. Mpongeze mama.

Utanishukuru badae.
 
Inasikitisha sana Tanzania sijui inaelekea wapi. DC ni nafasi nyeti ya kuunganisha watendaji na jamii inayowazunguka. Kusimamia mambo ya ulinzi na usalama. Hii ni nafasi ya waandamizi kutoka katika utumishi au chama, wakiwa wamejaa utu uzima na busara za kumwagika. Leo unaenda kuokoteza wasanii na watu mitandaoni.

Naona Tanzania inapoteza uelekeo kabisa. Hawa jamaa wanatupa kazi sana kuirudisha Tanzania kwenye reli.

Mimi sijawahi kushuhudia uteuzi wa hovyo kama huu toka nizaliwe
Sema tu umewaona kuna akina Nassar na Lijualikali mliowacheka day in and day out kwamba wamehadaliwa kwenda Sisiemu na kisha kutoswa. Shame!!!
 
Back
Top Bottom