Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya uliofanyika Juni 2021 umeshusha hadhi ya nafasi hiyo

Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya uliofanyika Juni 2021 umeshusha hadhi ya nafasi hiyo

Ivi yule kijana aliyechaguliwa na the late John, ambae alikuwa ni PHD holder tokea china ambae alifanya kazi ndan ya chama na mshahara wake ulikuwa laki 5 bado amebaki ?kama mama kamtoa this is not fair
 
Soon mtakuja kujua Mungu ametukosea sana au sisi tumemkosea sana Mungu
 
Aisee uteuzi mbovu 75% .Yaani vyuo vya adminstrative vina changamoto,Kuna ma professor ,wahitimu weredi wakubwa.
Leo hii bongo movie,bongo fravour,Journalist Tena wachambaji wawe ma DC.
Nchi Bado inasafari ndefu Sana ,acha waendelee kututukana mpaka tuishike adabu
Hawa maprofessor wabaki vyuoni wafundishe wanafunzi, mimi siungi mkono kutoa maprofessor vyuoni wakapewa vyeo vya kisiasa tena maprofessor ambao walikuwa bora kabisa.
Ila uteuzi huu naona una ukakasi ila ngoja tuone tunakoelekea
 
Shilole, amber ruty, wema sepetu , uwoya jiandaenii😂😂😂
 
Aisee uteuzi mbovu 75% .Yaani vyuo vya adminstrative vina changamoto,Kuna ma professor ,wahitimu weredi wakubwa.
Leo hii bongo movie,bongo fravour,Journalist Tena wachambaji wawe ma DC.
Nchi Bado inasafari ndefu Sana ,acha waendelee kututukana mpaka tuishike adabu
Sasa maprofesa wakajazwe kuwa maDC huko wilayani na kufundisha WAWAACHIE akina nani ?!!!

uDC ni nafasi ya KISIASA pia.....siasa ni USHAWISHI.....mathalani unadhani waliofanya vetting ya CHOPA MCHOPANGA hawajitambui?!!!

Usisahau uchaguzi mwingine unakuja 2025 in shaa Allah.....

#ChamaNiLazimaKishikeHatamu
#KaziIendelee
#NchiKwanza
 
Wewe nani mpaka useme hivyo cha kushangaza wewe ni mateka wa Mbowe unataka Rais Samia, akufurahishe? Nyie kupinga ndiyo kazi mliotumwa na Mfalme Mbowe, Rais kawambia mpo huru kufanya mikutano yenu nchi nzima au nyie mnafanyie JF.
Mzee umefufuka baada ya jiwe kufukiwa?
 
Hii trial and error hadi lini? Mtu Watanzania wamemkataa jimboni Kwa kumuona hafai lakini bado anapewa Ukuu wa Wilaya!!!! Baada ya miaka 60 ya uhuru huu upumbavu utaendelea hadi lini!?
Anaweza kujirekebisha akarudi na kuwa sawa, hata hao unaowaona wanafaa leo huenda huko nyuma waliboronga wakaaminiwa kwa mara nyingine wakajisahihisha...
 
Mkisema msimalize maneno, msije mkatafuta kifutio hapo mbeleni
 
Binafsi kwa uteuzi huu,, umeniondolea imani kubwa nilokuwa nayo kwa mteua,,, kwani zaidi 75% ya wateule wake kwenye huu mkeka hawana sifa stahiki za kuwa kwenye hizi ofisi nyeti.
Embu tuambie. Sifa gani ambazo wame mis ?
 
Wewe nani mpaka useme hivyo cha kushangaza wewe ni mateka wa Mbowe unataka Rais Samia, akufurahishe? Nyie kupinga ndiyo kazi mliotumwa na Mfalme Mbowe, Rais kawambia mpo huru kufanya mikutano yenu nchi nzima au nyie mnafanyie JF.
Ukweli ni kwamba SASHA ameshaharibu na kuidhalilisha Kiti cha Urais. Ni suala la muda tu hata wewe utaungana na Mtoa mada kuhusu udhaifu wa Mama.

Ukitafakari kwa makini namna ya teuzi zake, utaona kuwa hana tofauti na mwendazake. Kwa namna nyingine hana tofauti na yule aliewateua kina Saa Mbaya.

Hapa ndipo utakapoona umuhimu wa Katiba Mpya. Hii ya sasa ndiyo inayowapa kiburi cha Mamlaka aliyonayo.
 
Ivi yule kijana aliyechaguliwa na the late John, ambae alikuwa ni PHD holder tokea china ambae alifanya kazi ndan ya chama na mshahara wake ulikuwa laki 5 bado amebaki ?kama mama kamtoa this is not fair
This is the Man I was talk about

Binafsi kwa uteuzi huu,, umeniondolea imani kubwa nilokuwa nayo kwa mteua,,, kwani zaidi 75% ya wateule wake kwenye huu mkeka hawana sifa stahiki za kuwa kwenye hizi ofisi nyeti.
Sifa/vigezo vya kuwa Mkuu wa Wilaya ni vipi ?
 
Back
Top Bottom