Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya uliofanyika Juni 2021 umeshusha hadhi ya nafasi hiyo

Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya uliofanyika Juni 2021 umeshusha hadhi ya nafasi hiyo

Inasikitisha sana Tanzania sijui inaelekea wapi. DC ni nafasi nyeti ya kuunganisha watendaji na jamii inayowazunguka. Kusimamia mambo ya ulinzi na usalama. Hii ni nafasi ya waandamizi kutoka katika utumishi au chama, wakiwa wamejaa utu uzima na busara za kumwagika. Leo unaenda kuokoteza wasanii na watu mitandaoni.

Naona Tanzania inapoteza uelekeo kabisa. Hawa jamaa wanatupa kazi sana kuirudisha Tanzania kwenye reli.

Mimi sijawahi kushuhudia uteuzi wa hovyo kama huu toka nizaliwe.

Kiufupi rais kaelemewa na majukumu
Uliowahi kushuhudia wa maana zaidi kuliko zote ni upi? Na ulishiriki vipi? Hawa hukuwahi kuona utendaji wao vipi unalaumu? Wape nafasi ya kujieleza kiutendaji.
 
Ukuu wa wilaya unatakiwa wateuliwe watu wezima wenye busara sio unamteua kijana Mdogo Unaenda kumpatia ukuu wawilaya sio poa kabisa
Ili waendelee kuongoza mpaka watembelee mkongojo ? Si tulikiwa tunalalamika kuwa kila kitu wazee vijana watapata lini uzoefu?

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Hao wasomi mnaotaka wateuliwe huko bungeni mbona wamejaa wamefanya nini zaidi yakusubilia kinua mgongo tu? Acheni watu wakafanye kazi .

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Inasikitisha sana Tanzania sijui inaelekea wapi. DC ni nafasi nyeti ya kuunganisha watendaji na jamii inayowazunguka. Kusimamia mambo ya ulinzi na usalama. Hii ni nafasi ya waandamizi kutoka katika utumishi au chama, wakiwa wamejaa utu uzima na busara za kumwagika. Leo unaenda kuokoteza wasanii na watu mitandaoni.

Naona Tanzania inapoteza uelekeo kabisa. Hawa jamaa wanatupa kazi sana kuirudisha Tanzania kwenye reli.

Mimi sijawahi kushuhudia uteuzi wa hovyo kama huu toka nizaliwe.

Kiufupi rais kaelemewa na majukumu
Inasikitisha sana Tanzania sijui inaelekea wapi. DC ni nafasi nyeti ya kuunganisha watendaji na jamii inayowazunguka. Kusimamia mambo ya ulinzi na usalama. Hii ni nafasi ya waandamizi kutoka katika utumishi au chama, wakiwa wamejaa utu uzima na busara za kumwagika. Leo unaenda kuokoteza wasanii na watu mitandaoni.

Naona Tanzania inapoteza uelekeo kabisa. Hawa jamaa wanatupa kazi sana kuirudisha Tanzania kwenye reli.

Mimi sijawahi kushuhudia uteuzi wa hovyo kama huu toka nizaliwe.

Kiufupi rais kaelemewa na majukumu
Sio kweli utakuwa mshamba ama unamawivu!!
Kwanza DC hana umaalum kiviiile ndomana tunatamani hata hicho cheo kifutwe DED ndiyo muhimu kitaifa DC ni kichama na propaganda za kijinga.
Pili,lazima tuwape nafasi vijana wenye kujielewa freshi,taiga hili ni lavijana inabidi waandaliwe ili kushika sehemu nyeti.
Wasanii hawanashida wapo wasomi na walioactive kuliko hao kina kasesera matumbo makubwa kazi utumbo mkubwa!!!
Wapeni mda mpime kazi acheni roporopo hats wale wazee walitukosea sana siwote walikuwa na busara kumbuka hata wahuni huzeeka
 
Sio kweli utakuwa mshamba ama unamawivu!!
Kwanza DC hana umaalum kiviiile ndomana tunatamani hata hicho cheo kifutwe DED ndiyo muhimu kitaifa DC kichama.
Pili,lazima tuwape nafasi vijana wenye kujielewa freshi,taiga hili ni lavijana inabidi waandaliwe ili kushika sehemu nyeti.
Wasanii hawanashida wapo wasomi na walioactive kuliko!!!
wewe ndio huna akili,kushika uDC ni kuandaliwa?kuandaliwa kuwa nani.
 
wewe ndio huna akili,kushika uDC ni kuandaliwa?kuandaliwa kuwa nani.
Unafikiri kwa presha za kiwivuwivu! Usinambie sina akili ntakuchapa kibao... bora useme sijazitumia vizuri!
DC anaweza andaliwa kuwa RC wengine baadae kuingia ubunge kisha uwaziri nk.
Mbona kama unapresha za kuukosa chalii ulimpa hela mgangaako ikabuma nini?
 
Tunaendelea. Nasari alitelekeza jimbo na utoro bungeni hadi akafukuzwa leo ametosha kuwa DC. I dont need sex,my government fu#$@cks me everyday
 
Nafasi wapewe lakini sio ukuu wa wilaya. Wanaelewa nini kwenye utumishi na ulinzi na usalama.
Acha kiroho cha kinyongorilo wew😅😅😅 ukuu wa wilaya angepewa kakaako ungeanzisha uzi kama huu? Msijione spesho sana kuliko watanzania wengine bana
 
Unafikiri kwa presha za kiwivuwivu! Usinambie sina akili ntakuchapa kibao... bora useme sijazitumia vizuri!
DC anaweza andaliwa kuwa RC wengine baadae kuingia ubunge kisha uwaziri nk.
Mbona kama unapresha za kuukosa chalii ulimpa hela mgangaako ikabuma nini?
Anae wivu kinyamaa
 
Aisee uteuzi mbovu 75% .Yaani vyuo vya adminstrative vina changamoto,Kuna ma professor ,wahitimu weredi wakubwa wa siasa na uongozi.
Leo hii bongo movie,bongo fravour,Journalist wawe ma DC.
Nchi Bado inasafari ndefu Sana ,acha waendelee kututukana mpaka tuishike adabu
Hao ma proffessor waliochaguliwa na mwendazake wameleta tija gani mpaka leo?
 
Inasikitisha sana kuwa na nchi ambayo watu wake wanaamini uongozi ndio keki ya taifa na mtu akipewa cheo ameula
Unaula kweli mzee! V8 moja mpya ni karibia million 400 sasa ukipata wasaa wa kukabidhiwa chombo hio na serikali na ukapewa na dereva huku ukipewa na nyumba na walinzi kuna nini tena! Sijazungumzia ujira wa takribani million 6 kila mwezi😅😅😅 we unaliona dogo hilo?
 
Makundi yaliyotoa Wakuu wa Wilaya ni TBC, ITV, AZAM, CLOUDS, Polisi, Jeshini, Bongo Movies, Bongo Fleva, Waunga Mkono Juhudi kutoka Chadema, UVCCM, Ma-Miss, na Wabunge waliokosa majimbo, na Wakuu wa Wilaya waliokuwepo. Ni mchanganyiko mzuri ila sina uhakika kama wote wana fit kuwa wahamasishaji wa uchumi na masuala ya usalama. Uzuri karibu wote ni Wakaazi wa Dar, JIJI LENYE KILA KITU KUMBADILISHA MTU HATA KAMA HAJASOMA. Kazi Iendelee.
 
Back
Top Bottom