kagoshima
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 2,887
- 5,687
Ndiyo bosi. Kwani lini ccm wamewahi kuwa serious ?kwa hiyo ni majaribio?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo bosi. Kwani lini ccm wamewahi kuwa serious ?kwa hiyo ni majaribio?
Uliowahi kushuhudia wa maana zaidi kuliko zote ni upi? Na ulishiriki vipi? Hawa hukuwahi kuona utendaji wao vipi unalaumu? Wape nafasi ya kujieleza kiutendaji.Inasikitisha sana Tanzania sijui inaelekea wapi. DC ni nafasi nyeti ya kuunganisha watendaji na jamii inayowazunguka. Kusimamia mambo ya ulinzi na usalama. Hii ni nafasi ya waandamizi kutoka katika utumishi au chama, wakiwa wamejaa utu uzima na busara za kumwagika. Leo unaenda kuokoteza wasanii na watu mitandaoni.
Naona Tanzania inapoteza uelekeo kabisa. Hawa jamaa wanatupa kazi sana kuirudisha Tanzania kwenye reli.
Mimi sijawahi kushuhudia uteuzi wa hovyo kama huu toka nizaliwe.
Kiufupi rais kaelemewa na majukumu
Swali la ajabu
Ili waendelee kuongoza mpaka watembelee mkongojo ? Si tulikiwa tunalalamika kuwa kila kitu wazee vijana watapata lini uzoefu?Ukuu wa wilaya unatakiwa wateuliwe watu wezima wenye busara sio unamteua kijana Mdogo Unaenda kumpatia ukuu wawilaya sio poa kabisa
Bado bado kwanzaaHivi Makonda hajachukuliwa??
Soma heading ya huu uzi utaona kuwa si la ajabu zaidi ya hiyo heading.Swali la ajabu
Inasikitisha sana Tanzania sijui inaelekea wapi. DC ni nafasi nyeti ya kuunganisha watendaji na jamii inayowazunguka. Kusimamia mambo ya ulinzi na usalama. Hii ni nafasi ya waandamizi kutoka katika utumishi au chama, wakiwa wamejaa utu uzima na busara za kumwagika. Leo unaenda kuokoteza wasanii na watu mitandaoni.
Naona Tanzania inapoteza uelekeo kabisa. Hawa jamaa wanatupa kazi sana kuirudisha Tanzania kwenye reli.
Mimi sijawahi kushuhudia uteuzi wa hovyo kama huu toka nizaliwe.
Kiufupi rais kaelemewa na majukumu
Sio kweli utakuwa mshamba ama unamawivu!!Inasikitisha sana Tanzania sijui inaelekea wapi. DC ni nafasi nyeti ya kuunganisha watendaji na jamii inayowazunguka. Kusimamia mambo ya ulinzi na usalama. Hii ni nafasi ya waandamizi kutoka katika utumishi au chama, wakiwa wamejaa utu uzima na busara za kumwagika. Leo unaenda kuokoteza wasanii na watu mitandaoni.
Naona Tanzania inapoteza uelekeo kabisa. Hawa jamaa wanatupa kazi sana kuirudisha Tanzania kwenye reli.
Mimi sijawahi kushuhudia uteuzi wa hovyo kama huu toka nizaliwe.
Kiufupi rais kaelemewa na majukumu
wewe ndio huna akili,kushika uDC ni kuandaliwa?kuandaliwa kuwa nani.Sio kweli utakuwa mshamba ama unamawivu!!
Kwanza DC hana umaalum kiviiile ndomana tunatamani hata hicho cheo kifutwe DED ndiyo muhimu kitaifa DC kichama.
Pili,lazima tuwape nafasi vijana wenye kujielewa freshi,taiga hili ni lavijana inabidi waandaliwe ili kushika sehemu nyeti.
Wasanii hawanashida wapo wasomi na walioactive kuliko!!!
Unafikiri kwa presha za kiwivuwivu! Usinambie sina akili ntakuchapa kibao... bora useme sijazitumia vizuri!wewe ndio huna akili,kushika uDC ni kuandaliwa?kuandaliwa kuwa nani.
Acha kiroho cha kinyongorilo wew😅😅😅 ukuu wa wilaya angepewa kakaako ungeanzisha uzi kama huu? Msijione spesho sana kuliko watanzania wengine banaNafasi wapewe lakini sio ukuu wa wilaya. Wanaelewa nini kwenye utumishi na ulinzi na usalama.
Anae wivu kinyamaaUnafikiri kwa presha za kiwivuwivu! Usinambie sina akili ntakuchapa kibao... bora useme sijazitumia vizuri!
DC anaweza andaliwa kuwa RC wengine baadae kuingia ubunge kisha uwaziri nk.
Mbona kama unapresha za kuukosa chalii ulimpa hela mgangaako ikabuma nini?
HahahahTunaendelea. Nasari alitelekeza jimbo na utoro bungeni hadi akafukuzwa leo ametosha kuwa DC. I dont need sex,my government fu#$@cks me everyday
Hao ma proffessor waliochaguliwa na mwendazake wameleta tija gani mpaka leo?Aisee uteuzi mbovu 75% .Yaani vyuo vya adminstrative vina changamoto,Kuna ma professor ,wahitimu weredi wakubwa wa siasa na uongozi.
Leo hii bongo movie,bongo fravour,Journalist wawe ma DC.
Nchi Bado inasafari ndefu Sana ,acha waendelee kututukana mpaka tuishike adabu
Hao ma proffessor waliochaguliwa na mwendazake wameleta tija gani mpaka leo?
Unaula kweli mzee! V8 moja mpya ni karibia million 400 sasa ukipata wasaa wa kukabidhiwa chombo hio na serikali na ukapewa na dereva huku ukipewa na nyumba na walinzi kuna nini tena! Sijazungumzia ujira wa takribani million 6 kila mwezi😅😅😅 we unaliona dogo hilo?Inasikitisha sana kuwa na nchi ambayo watu wake wanaamini uongozi ndio keki ya taifa na mtu akipewa cheo ameula
Wakaua na biashara yenyewe ya koroshoWalitafuta wanunuzi wa korosho wakati mwendazake alipoamua serikali ifanye biashara ya korosho.