Tetesi: Uteuzi wakuu wa Wilaya; Rais Magufuli achukua vijana lukuki

Wallah kheri ya kikwete kuliko huyu magu.yaani hakuna jipya hata ukiangalia wakuu wa mikoa.tulisema kikwete hajastaafu rasmi bado atatawala tz kwa miaka mingine mitano.magufuli anapewa order tu afanye lipi na lipi asifanye.chezea mzee wa msoga.yule mtoto wa mjini.
 
Kama ni kweli,Pole Pole deserved something better.Ukuu wa Wilaya is too small for him.Huwa ana mawazo mazuri sana.Najua wapo watakaonipinga,hasa wale wasiotangulizi maslahi ya taifa mbele,lakini huo ndio ukweli.
 
Kama ni kweli Pole Pole deserved something better.Ukuu wa Wilaya is too small for him.Huwa ana mawazo mazuri sana.Najua wapo watakaopinga,hasa wale wasiotangulizi maslahi ya taifa mbele.
Ni kuanzia tu kaka.... Kwa mfano mbona Richard Kasesela au Dr. Kadeghe wapo wilayani?
 



pole pole anastilii maana alitoa povu sana katika kampeni sasa muda wa kula/kuvuna
 
le mutuz wapi.

swissme
Kwa huyu baba labda kipindi kile alivotoka States ndio labda angeweza kupewa kutokana na fact kwamba watu walikuwa hawamjui vizuri.

Si wakumbuka aligombea hadi ubunge wa East Africa lakini kura hazikutosha.

Na hapo nyuma kidogo alikuwa hadi anaenda kutoa semina za mitandao chamani.

Too bad siku zinavozidi kwenda ndio anazidi kujishushia thamani yake kutokana na mambo yake anayofanya mitandaoni.

Kwa awamu hii sidhani tena kama atakuwa anafanya mambo yake ya kupiga picha na viongozi na kujisifu.
 
Pole pole mtu wa makamo, siyo kijana
Haki ya Nani JPM ataua watu, hii safu ya JMakamba, M. Nchemba, H. Kigwangalla, Nnauye, MAKONDA, na sasa POLEPOLE.
Hii dozi kali sana kwa bavicha.
 
Ni Team 46 + 1
 
Haki ya Nani JPM ataua watu, hii safu ya JMakamba, M. Nchemba, H. Kigwangalla, Nnauye, MAKONDA, na sasa POLEPOLE.
Hii dozi kali sana kwa bavicha.
Mgonjwa mnae wenyewe na dozi yo yote ile haimfai maana ni marehemu anayesubiri tangazo la kifo chake
 
Haki ya Nani JPM ataua watu, hii safu ya JMakamba, M. Nchemba, H. Kigwangalla, Nnauye, MAKONDA, na sasa POLEPOLE.
Hii dozi kali sana kwa bavicha.

dozi gari yenye matokeo hasi, anajalibu kuumiza watu nakusahau kutimiza malengo. kati ya hao mabwana sioni competent person katika utendaji, ila walijitahidi sana kutetea hadhi ya chama ndoo maana wamepewa heshima ya kula keki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…