Tetesi: Uteuzi wakuu wa Wilaya; Rais Magufuli achukua vijana lukuki

Duh, haka kakisa unastahili kuwa malenga, utunzi mzuri na unaendana na hadhira
 
Upande wa wakuu wa mikoa amefungua parokia sasa asije akatuletea dayosis kwa upande wa wakuu wa wilaya manake huyu jamaa haeleweki.
 

Orodha hii naitunza ili nione ulivyo fanikiwa kujipenyeza na kupasua siri nzito za Ikulu
 
Angalia usipendelee vya kupewa kwani kuna siku utakuja kudaiwa
Kwa Magu hamna vya kupewa(kwa me navyoamini) zaidi ya bahati ya mtu(kama Makonda) na utendaji au ubunifu wa mtu au kazi ionekana kwa mheshimiwa
 
Haaaaa kaumbika sanaaaaa,sijui yupo wapi kwa sasa maana kipindi kirefu sijamsikia
Ni mbunge wa Handeni......mkulu hakukoseaga alivyompaga ukuu wa wilaya....Hata ningekuwa mm ningempa hata uwazir aisee maana si mchezo....
 
Ni mbunge wa Handeni.
Ahsante ndugu,nilikuwa sijui yupo wapi na nilienda mbali na kufikiri labda alibebwa,vipi utendaji wake lakini??kama vile walivyomsifia mpaka wakampa uDc??maana media zote zilimwongelea yeye kipindi kile
 
Ahsante ndugu,nilikuwa sijui yupo wapi na nilienda mbali na kufikiri labda alibebwa,vipi utendaji wake lakini??kama vile walivyomsifia mpaka wakampa uDc??maana media zote zilimwongelea yeye kipindi kile
Utendaji wake sijui kwa kwel labda watu wa Handeni mbunge wao na Mufindi kipindi kile akiwa DC huko watueleze..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…