Tetesi: Uteuzi wakuu wa Wilaya; Rais Magufuli achukua vijana lukuki

Tetesi: Uteuzi wakuu wa Wilaya; Rais Magufuli achukua vijana lukuki

Kwani pole pole ni mnyakyusa? Haiwezekani; wanyambala ni watu wenye msimamo thabiti sio watu wa kutumiwa tumiwa hovyo!!
Humphrey Lwimiko Mwakyusa ndiyo jina lake kamili!Namjua toka yupo na Dr Mshale wanaanzisha NGO yao ambayo ndiyo hasa imempa pesa

Wa Itunge-Kyela huyu!
 
Sasa ni wazi Rais Magufuli kaamua kufanya kazi na kuwapa vijana kipaumbele. Katika orodha inayotarajiwa kutajwa mwanzoni mwa wiki ijayo, kajaza vijana wengi wapya na kupiga chini wanaoshikilia nafasi hizo..... Miongozi mwa vijana hao ni.......

1. Salum Hapi
2. Mtela Mwampamba
3. Kimeta Mpui
4. Saul Mwaisenyi
5. Humphrey Pole Pole
6. Kunambi
7. Shaka H. Shaka
8. Shimbi Angelo
9. Haji Ngura
10. Sara Msafiri
11. Emmanuel Fute
12. Kasera Peter
13. Kangwila Reuben
14. Julius Mungure
15. Miraji Mtaturu
16. Chris Mauki
17. Fatuma Ally
19. Ezekiel Kimwaga
20. Eng. Robert Washija
21. Kipi Warioba

NB:.... Hawa ni miongoni, kama nilivyopata tetesi.... Next week kila kitu wazi...!
Faizafoxy na akina Lizaboni vipi?
Asimsahau mwana wa yule mzee aliyepigwa mpaka akachoma katiba mpya na kuingia kwenye kampeni nakuwa kada.
 
Sasa ni wazi Rais Magufuli kaamua kufanya kazi na kuwapa vijana kipaumbele. Katika orodha inayotarajiwa kutajwa mwanzoni mwa wiki ijayo, kajaza vijana wengi wapya na kupiga chini wanaoshikilia nafasi hizo..... Miongozi mwa vijana hao ni.......

1. Salum Hapi
2. Mtela Mwampamba
3. Kimeta Mpui
4. Saul Mwaisenyi
5. Humphrey Pole Pole
6. Kunambi
7. Shaka H. Shaka
8. Shimbi Angelo
9. Haji Ngura
10. Sara Msafiri
11. Emmanuel Fute
12. Kasera Peter
13. Kangwila Reuben
14. Julius Mungure
15. Miraji Mtaturu
16. Chris Mauki
17. Fatuma Ally
19. Ezekiel Kimwaga
20. Eng. Robert Washija
21. Kipi Warioba

NB:.... Hawa ni miongoni, kama nilivyopata tetesi.... Next week kila kitu wazi...!
umwnisahu na MIMI SIFI LEO?
 
Tunasubiri kwa hamu sana nafasi za DC kulipana fadhila!!!
 
Sasa ni dhahiri Rais Magufuli anaweza kutaja safu ya Wakuu wa Wilaya wakati wowote ule kwani majina kadhaa yamepitishwa na mamlaka za uchujaji za kiuteuzi. Vijana wapya waliopeta kwenye mchujo huo ni:-

1. Juma Omera
2. Suleiman Serera
3. Mtela Mwampamba
4. Emmanuel Shilatu
5. Humphrey Polepole
6. Saul Mwaisenyi
7. Sara Msafiri
8. Suleiman Mwenda
9. Nyakia Ally
10. Salum Hapi
11. Shimbi Angelo
12. Eng. Robert Washija
13. Leornad Cheyo
14. Kipi Warioba
15.Miraji Mtaturu
16. Matukuta Malanyingi
17. Sylvester Yared

Nitazidi kuwaletea list zaidi ya majina ya waliopitishwa. List hiyo inaonyesha kujaza sura za vijana zaidi waliojitoa kwa ajili ya ushindi wa CCM na hivyo kuchochea morali ya vijana kuiunga mkono zaidi CCM. Ni list ya Kazi tu
 
Salum Hapi mwanaccm kitambo Sana jamaa huyu sijui kanenepa siku hizi ?? Na zile siasa za revolution square zilizikwa rasmi Na Rwekaza ? Really miss those moments in UDSM.
Kanenepa kdogo asee
 
Back
Top Bottom