swahaba sultan
Senior Member
- Sep 16, 2014
- 119
- 8
kwaipo mpaka xaa ngap!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nani alaumiwe?
mleta uzi au tcu/ nacte kukanganya watu
Napenda kutanguliza shukrani zangu za dhati kama mzazi/mlezi wa kijana wangu anaetarajia kujiunga na elimu ya juu kwenu TCU kwa uongo,kupoteza muda,dharau na mambo mengine hususani kwa KUTUDANGANYA kua mtatoa majina tar22/9/2014 na badala yake hakuna mlichotoa zaidi yakuwaweka vijana kwenye tension na wazazi wao hali kadhalika kwa maana mnajua wazi kua watanzania ni wapole na wenye amani kwa hiyo mkatumia fursa hiyo kudanganya umma wa watanzania pasipo kuwapa taarifa yoyote ya muhimu juu ya ucheleweshwaji huu.
Pia nawashukuru sana kwa kufanya watanzania ni wajinga kwa kuwapa taarifa ya uongo juu ya kutoa majina ya waliofanya application kwakua kama ilivyo ada katika nchi za kiafrica "no hurry in africa" kwakweli ni jambo linalohitaji pongezi kwakua mmedhihirisha hilo, na kwakuonyesha mnajali ilipofika tar6/9/2014 mlifunga application ila kutoa majina taarifa hamtoi.
Lakini pia niwapongeze kwakuwafanya vijana pamoja na wazazi/walezi wao walale usiku wa manane kwa kusubiri matokea,kwakweli katibu mkuu mtendaji wa nacte heshima kubwa zikufikie huko ulipo na jopo zima la watendaji wako kwakua ni kweli mngetoa taarifa mngekonda na kwahili kwakweli mmetupa picha ni kwa jinsi gani hampo kazini by mistake rather you do deserve such vacant.:A S wink::angry:
Jamani jitokezeni kuwapa tcu hongera zao.
Kweli wajinga ndio waliwao.