Uteuzi Wanafunzi wa vyuo Vikuu hadi Sept 22 -TCU

Status
Not open for further replies.
Guyz mm najifunza kitu kuwa nchi yetu haipendi vitu vya harali ndo mana mlolongo mrefu hivi bors yule jamaa ali rikisha post kuliko hawa wanajifanya wanatk haki kumbe pumba tupuuuuuuuuuu ndo mana watu serikalini wanaibaaa aiseeeeee hapa naamini NJIA KUU FOLENI BORA MCHEPUKOOO
 
Snipper ni kweli mkuu hata mimi kuna kajamaa kangu nakaangalizia hapa,,imekataa ku~log in....probably wanafanya mambo

ina log in vizuri tu na sasa mkiangalia choice zenu mtagundua choice za kwanza zimetolea zimebaki 2,3,4 na 5.
 
Hizi taasisi mbovu kama TCU zifutwe hata miaka ya nyuma zimetusumbua sana.
 
Tatizo la watu kuchaguliwa mara mbili limesababishwa na vyuo husika maana kuna watu waliomba admission direct kwenye vyuo na pia wakaomba kupitia TCU sasa wamejikuta wamechaguliwa pote ndio tatizo lililopo
 
tayari TCU wameprove failure. taasisi yote inapaswa kujiuzulu. ila kibongo ni mwendo mdundo
 
Napenda kutanguliza shukrani zangu za dhati kama mzazi/mlezi wa kijana wangu anaetarajia kujiunga na elimu ya juu kwenu TCU kwa uongo,kupoteza muda,dharau na mambo mengine hususani kwa KUTUDANGANYA kua mtatoa majina tar22/9/2014 na badala yake hakuna mlichotoa zaidi yakuwaweka vijana kwenye tension na wazazi wao hali kadhalika kwa maana mnajua wazi kua watanzania ni wapole na wenye amani kwa hiyo mkatumia fursa hiyo kudanganya umma wa watanzania pasipo kuwapa taarifa yoyote ya muhimu juu ya ucheleweshwaji huu.
Pia nawashukuru sana kwa kufanya watanzania ni wajinga kwa kuwapa taarifa ya uongo juu ya kutoa majina ya waliofanya application kwakua kama ilivyo ada katika nchi za kiafrica "no hurry in africa" kwakweli ni jambo linalohitaji pongezi kwakua mmedhihirisha hilo, na kwakuonyesha mnajali ilipofika tar6/9/2014 mlifunga application ila kutoa majina taarifa hamtoi.
Lakini pia niwapongeze kwakuwafanya vijana pamoja na wazazi/walezi wao walale usiku wa manane kwa kusubiri matokea,kwakweli katibu mkuu mtendaji wa nacte heshima kubwa zikufikie huko ulipo na jopo zima la watendaji wako kwakua ni kweli mngetoa taarifa mngekonda na kwahili kwakweli mmetupa picha ni kwa jinsi gani hampo kazini by mistake rather you do deserve such vacant.:A S wink::angry:
Jamani jitokezeni kuwapa tcu hongera zao.
Kweli wajinga ndio waliwao.
 
Poa Zimewafikia.
 
Kijana kama ndo umemaliza form six usife moyo bali kaa mkao wa kula muda wowote post zitatoka,ila kama ulichagua saut au s.joseph mambo yapo hewan.cha muhimu kuwa unajichanga in term of money ila post lazima zitatoka na chuo utapata.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom