Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,949
- 24,046
Ni hadhi. Mara nyingi Katibu Mkuu Kiongozi huwa ni Mabalozi hapo kabla.Huyo mpongole hana hata mwaka amemkwaza nini Rais
Ameongezewa cheo juu ya alichonacho siyo kupunguziwaHuyo mpongole hana hata mwaka amemkwaza nini Rais
HII INA MAANA GANI KUBAKI NA VYEO VYA ZAMANI..hawatakwenda balozini? au anawapa kinga maana sasa ni kizaa zaaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan
amefanya uteuzi wa Viongozi wafuatao kuwa na Hadhi ya Balozi kama
ifuatavyo:-
1. Dkt. Moses Mpogole Kusiluka, Katibu Mkuu Kiongozi kuwa Balozi;
2. Dkt. Salim Othman Hamad, Msaidizi wa Rais anayeshughulikia
masuala ya Siasa kuwa Balozi; na
3. Dkt. Kassim Mohamed Khamis, Msaidizi wa Rais anayeshughulikia
masuala ya Hotuba kuwa Balozi.
Uteuzi huu wa Hadhi ya Balozi umeanza tarehe 12 Juni, 2023.
Aidha, Vyeo walivyonavyo vinabaki kama vilivyo.
Wateule wataapishwa tarehe 16 Juni, 2023 kuanzia saa 04:00 asubuhi - Ikulu,
Chamwino - Dodoma.
View attachment 2656278
Ikulu kumejaa wazenji tu.Hivi kule Zanzibar ikulu kuna watanganyika kweli?Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan
amefanya uteuzi wa Viongozi wafuatao kuwa na Hadhi ya Balozi kama
ifuatavyo:-
1. Dkt. Moses Mpogole Kusiluka, Katibu Mkuu Kiongozi kuwa Balozi;
2. Dkt. Salim Othman Hamad, Msaidizi wa Rais anayeshughulikia
masuala ya Siasa kuwa Balozi; na
3. Dkt. Kassim Mohamed Khamis, Msaidizi wa Rais anayeshughulikia
masuala ya Hotuba kuwa Balozi.
Uteuzi huu wa Hadhi ya Balozi umeanza tarehe 12 Juni, 2023.
Aidha, Vyeo walivyonavyo vinabaki kama vilivyo.
Wateule wataapishwa tarehe 16 Juni, 2023 kuanzia saa 04:00 asubuhi - Ikulu,
Chamwino - Dodoma.
View attachment 2656278
Kuna kazi ya maana ya kijasusi wamefanya hadi wameongezewa kofia!!Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan
amefanya uteuzi wa Viongozi wafuatao kuwa na Hadhi ya Balozi kama
ifuatavyo:-
1. Dkt. Moses Mpogole Kusiluka, Katibu Mkuu Kiongozi kuwa Balozi;
2. Dkt. Salim Othman Hamad, Msaidizi wa Rais anayeshughulikia
masuala ya Siasa kuwa Balozi; na
3. Dkt. Kassim Mohamed Khamis, Msaidizi wa Rais anayeshughulikia
masuala ya Hotuba kuwa Balozi.
Uteuzi huu wa Hadhi ya Balozi umeanza tarehe 12 Juni, 2023.
Aidha, Vyeo walivyonavyo vinabaki kama vilivyo.
Wateule wataapishwa tarehe 16 Juni, 2023 kuanzia saa 04:00 asubuhi - Ikulu,
Chamwino - Dodoma.
View attachment 2656278
Hakuna.Ikulu kumejaa wazenji tu.Hivi kule Zanzibar ikulu kuna watanganyika kweli?
Ila wao huku hadi ukuu wa wilaya wanapata.Hivi Nyerere kwa nini alikubali haya?Kweli Karume alikuwa kichwa,kumuingiza Nyerere mkenge namna hii jamani.Hakuna.
Ni lazima uwe Mzanzibar wa kuzaliwa.
Bandari, au?Ikulu kumejaa wazenji tu.Hivi kule Zanzibar ikulu kuna watanganyika kweli?