Uteuzi: Watatu wapewa hadhi ya Ubalozi, yupo Katibu Mkuu Kiongozi

Ila wao huku hadi ukuu wa wilaya wanapata.Hivi Nyerere kwa nini alikubali haya?Kweli Karume alikuwa kichwa,kumuingiza Nyerere mkenge namna hii jamani.
Tuna muungano wa hovyo sana. Babu nyerere alituingiza chaka sana. Mpaka wao wanaamua kutupiga mnada na Bandari zetu zote ila za kwao hawagusi huo si upuuzi πŸ™„πŸ˜³. Ifike mahali tuchague serikali tatu au moja tu kuliko kuwa na muungano wa serikali mbili kuzaa serikali mbili.
 
Asante
 
Katiba hii, Rais wetu akijisikia tu kumwagia mtu ma vyeo basi hakuna wa kuhoji.
 
Kiuhalisia hakuna muungano, maana watanganyika hatuna haki kule Zanzibar. Ila wao huku wana haki asilimia mia .Yaani Mzanzibari ni Mtanganyika pia,ila Mtanganyika ni Mtanganyika pekee.Huu ni upumbavu.
 
Kiuhalisia hakuna muungano, maana watanganyika hatuna haki kule Zanzibar. Ila wao huku wana haki asilimia mia .Yaani Mzanzibari ni Mtanganyika pia,ila Mtanganyika ni Mtanganyika pekee.Huu ni upumbavu.
Lakini Babu Nyerere hakuwa na lengo la muungano wa aina hiyo hata kidogo. Ni hawa wajukuu zake ndio wameyatengeneza haya kwa manufaa yao wenyewe kupitia kwenye chama chao cha CCM.
 
Kama katibu mkuu kiongozi anapaswa kuwa na sifa zenye hadhi ya kibalozi, ilikuwaje akapewa ukatibu mkuu kiongozi kwanza kabla ya kupewa ubalozi?

Yaani inakuwaje unavaa viatu kwanza kisha unavaa soski. Huo ni uwendawazimu.
 
Nini mantiki ya mtu (kiongozi) kupewa hadhi ya kibalozi pasipo kwenda kutumikia kazi ya ubalozi (kupangiwa ubalozi)?

Wanalipwa kuwa na cheo cha ubalozi bila kuwa na ubalozi?
 
Ila wao huku hadi ukuu wa wilaya wanapata.Hivi Nyerere kwa nini alikubali haya?Kweli Karume alikuwa kichwa,kumuingiza Nyerere mkenge namna hii jamani.

Kwa sababu alikuwa anapenda sifa za kimataifa kwamba ni mpinga ubaguzi, mjenga umoja. Hata jeshini aliacha wazungu watawale Waswahili. Siku moja Waswahili wakatokea Ikulu kuwatandika fimbo, wakakuta keshakimbia na Kawawa wake. Juzi Mama Maria amebainisha kwamba waliwaacha yeye na Sophia Ikulu. Kambona akaenda kuwapoza wanajeshi, Nyerere akaomba msaada majeshi ya Nigeria na Uingereza ndio akatoka kwenye shimo la uani Kigamboni huko.

Toka siku ile akapata fundisho, jeshini Wakurya tupu mpaka alipoondoka ndio jeshi lika diversify.

Kuna mjeshi wa JWTZ, within the inner most circle of the leadership brass, amenambia huu utopolo unaondelea nchini ingekuwa ni jeshi lenye mizizi ya Ufaransa, kama ya West Afrika, wangesha watemesha nyongo kitambo. Kwa saab wao wanafundishwa zaidi ulinzi na utii kwa nchi, sio kwa himaya.
 
Lakini Babu Nyerere hakuwa na lengo la muungano wa aina hiyo hata kidogo. Ni hawa wajukuu zake ndio wameyatengeneza haya kwa manufaa yao wenyewe kupitia kwenye chama chao cha CCM.
Unataka kuniambia haya ya Mtanganyika hawezi miliki ardhi Zenj ila mzenj ana haki ya kumiliki ardhi Tanganyika, unaona kina Karume wana nyumba Dar na Unguja. Hii ya vitambulisho kwa wazaliwa wa zenj,Kuingiza mizigo kutoka Tanganyika kwenda Zenj unalipa Kodi Zanzibar .Na mimi siwezi kuwa mbunge Zenj,wala kuwa Rais Zenj,ila wazenj wanahaki ya kuwa chochote wanachotaka huku Tanganyika. Haya yote yamewekwa enzi hizi?
 
Wafaransa hawana ujinga wetu wa kibongo,viongozi wanawajua wananchi wao.Wananchi wakiamua ni hatari.Wafaransa walimchinja Louis wa 16.Hawataki mchezo.
 
hiyo ndiyo anayoiwezea, kudhibiti maadili na ufujaji wa mali za umma anakaa kimya....huko madaktari wanabaka wagonjwa haoni.....wameiba mali na dawa wamechoka wameanza kubaka wagonjwa sasa πŸ˜€ 😑
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…