Uthibitisho: Mwigulu Nchemba ni majina bandia ila vyeti ni vya kweli

Mkuu Dr. Akili, sio kosa kisheria kutumia majina yoyote, ila ni kosa la jinai kujaza fomu kwa kutoa details za uwongo au majina ya bandia, akitokea mtu akaenda Nida na Immigration kutazama DN file la Mwigulu, asipoyakuta majina halisi ya wazazi wake Mwigulu na yakakutwa hayo ya bandia, na ikatangazwa rasmi hata humu jf tuu, kesho yake Magufuli ataikuta resignation letter ya Mwigulu mezani kwake, na kesho kutwa yake, atapandishwa Kisutu!.

Pasco
 
Pasco

Watu wanakulaumu lakini hawakusomi "between lines", laiti wangejua unachokisimamia Uzi huu muda k
huu ungekuwa umeambatana na attachment kutoka ikulu uliosainiwa na Grayson Msigwa!....

Nasubiria ya huyo Nshomile "Katto" kuoma naye kama alipewa jina na nesi wa kituo cha afya Katerero!
 
Hii sio interesting bali ni made up stories maana inasemekana majina ya kingosha alipewa akiwa mchanga na daktari lakini vyanzo vingine vinadai aliposoma mara ya kwanza alikua akiitwa Lameck Mkumbo swali la kujiuliza jina la MWIGULU NCHEMBA KUNA WAKATI LILIKUWA LINAENDA LIKIZO halafu linaibuka tena?
 
Pasco,
Kwanza na smell kaarufu ka u classmate hapa, ni kwa sababu umesoma nae Iboru au?
Sikatai watu kuwa na Other Names, ila tujiulize, Mwigulu haya Other Names zake anayatumia kwenye Passport yake ya Kusafiria? ID zake anatumia haya Majina ya Mwigulu Nchemba ambayo ni Other Names yake?
Ila Utetezi wake haujajitosheleza kwa kweli, hasa suala la Kuacha shule, na kurudi tena, hakusema alivyorudi tena shule, alirudia pale alipoishia, au aliendelea pale alipokutia.
Kuna Mifano mingi ya Watu wanaotumia Nicknames na Other Names zao zaidi ya Majina yao Halisi ya Kuzaliwa na ya Ubatizo.
My Take: Kosa ni Kosa, Liwe Dogo liwe kubwa yote ni Makosa tu.

 
Mkuu Mhadzabe, kiukweli wengi humu jf hawana uwezo wa kusoma in between the lines na hili niliisha libaini siku nyingi ila anapotokea hata mwana jf mmoja tuu akaelewa kama ulivyoelewa wewe, inatosha.

Mambo ya Katto nayo siku yake ipo, kwa sababu miongoni mwa sifa za ukweli, ni kusimama yaani ukweli kusemwa, na mimi ni muumini mzuri wa ukweli halisi jinsi vile ulivyo na hata kitendo cha rais wetu mpendwa Mhe Dr John Pombe Joseph Magufuli alichokifanya pale juzi kwenye msiba wa Masaburi cha kuusema ukweli wa wake wengi wa Masaburi na kukiri kuwa yeye na Kikwete wamesemezana na kutamani kuwa na wake wengi kama Masaburi, nilipandisha bandiko kumpongeza na pia kwa kuutumia ukweli huo huo na uwazi kama huo atueleze na yeye ana wake wangapi na watoto wangapi?.
Pasco
 
...hii ya 'Katto' inaonekana si mchezo,@ Pasco
 
umemaliza kila kitu,shikamoo
 
...hii ya 'Katto' inaonekana si mchezo,@ Pasco
Nimemwambia Pasco aseme kidogo juu ya hili!... maana atakayeiponya Tanganyika si wawekezaji ama wageni ni sisi wenyewe!

Bahati mbaya sana kwa mkuu Pasco yupo cautious sana hata katika kitu anachoamini hundred percent ni kweli! Anaogopq kusitishwa kwa mkataba wake kati yake na PPP! Mwaka juzi tulikuwa nae pale viwanja vya Nzuguni Dodoma, tuachoma nyama na mambo ya brewliries kidoka ktk kibanda kimoja cha mama ntilie, nikamgusia kuhusu JF na uvuguvugu wake ktk maswala ya kitaifa, akaishia kucheka na kunilipua kwa castle!
 
TE="MOTOCHINI, post: 18120092, member: 201942"]Mbona hili linaeleweka tu!!
Tatizo watu wamejawa na ushabiki wakijinga.
Aje na mbowe tuone[/QUOTE]


Kuna Uzi unadai vyeti vya mbowe unge comment kuke .ingekuwa mtihani unastahili sifuri paka wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…