Uthibitisho wa uwepo wa Mungu kisayansi

Hii ni case kwa photons peke yake ila sio general rule
 
Oh safi. Basi tunatakiwa kuwaza pia kama sayansi nayo ni aina fulani ya imani.
yeees sayansi ni imani,imani inatokana na neno Amini na kuamini mara nyingi ni kukubali kitu ambacho milango ya fahamu inayopaswa kushuhudia kitu hiko bado haijashuhudia.

HUwezi kusema unaamini kuna jua wakati unaliona,huwezi kusrma hnaamini kuna maji wakati tayari unayaona.
 
Ukijua inakuwa sio Imani ila kweli.
Sayansi hhaielezi kitu kwa hisia Bali facts tu.
sayansi ni imani,mfano mpaka hivi leo big bang theory ni imani kwa sababu haina uthibitisho wowote zaidi ya maelezo ambayo hayatoshi kuwakinaisha watu kwamba ni kweli.

Hivyo sayansi ni imani.

Mambo mengi katika sayansi kabla ya kuwa facts kama unavyosema bado yalikuwa ni imani kwa maana yalikuwa ni mawazo ya mtu fulani.

So bado sayansi inajengwa na imani kama imani nyingine za dini,kwa zababu Dini na sayansi zote zina lengo moja ambalo ni kutafuta ukweli wa mambo ambao utaleta matokeo chanya.

So kwenye kutafuta ukweli wenye matokeo chanyahapo kuna maneno ya dini na maneno ya wana sayansi haya yote inataka imani kuyaamini.

Kwa sababu sauansi ingekuwa inazungumzia mambo ambayo kila mtu anayaona basi kila mtu angekuwa ni MWANASAYANSI NA WALA ISINGEKUEPO KITU SAYANSI.

Uhalisia wa saysnsi na wana sahansi ni kuleta mawazo ya vitu ambayo kwa macho ya kawaida ngumu kuyaona ama kuyathibitisha.
 
Hii ni case kwa photons peke yake ila sio general rule
Dah!!! Hapa tunaongelea electromagnetic yote. Na ndiyo inayotumika kwa asilimia kubwa kwenye current technologies.

Ni vyema kwanza ukakubali kuwa energy is not interchangeable to matter.

Electromagnetic energy is the energy associated with electromagnetic radiation, which includes radio waves, microwaves, infrared radiation, visible light, ultraviolet radiation, X-rays, and gamma rays. The energy of electromagnetic radiation is proportional to its frequency and can be calculated using the following formula:

E = h * f

where E is energy, h is Planck's constant (6.626 x 10^-34 joule seconds), and f is frequency (measured in hertz, or cycles per second).

For example, consider a beam of green light with a frequency of 5.4 x 10^14 hertz. The energy of this beam of light can be calculated using the formula:

E = h * f = (6.626 x 10^-34 J s) * (5.4 x 10^14 Hz) = 3.58 x 10^-19 joules

This means that each photon of this green light beam has an energy of 3.58 x 10^-19 joules.

Another example is X-ray radiation with a frequency of 2.4 x 10^18 Hz. The energy of this X-ray radiation can be calculated using the same formula:

E = h * f = (6.626 x 10^-34 J s) * (2.4 x 10^18 Hz) = 1.59 x 10^-15 joules

This means that each X-ray photon has an energy of 1.59 x 10^-15 joules.

The formula for electromagnetic energy is a fundamental equation in physics and has many applications, including in the design of technologies that use electromagnetic radiation such as solar cells, medical imaging devices, and wireless communication systems.
 
Hapana, kuamini kitu hakikifanyi kiwe kweli., Na ndiyo maana tumepewa akili Ili itusaidie kipi cha kuamini na kipi sio cha kuamini.

Hivyo tunasema, kuamini Evolution Theory hakuifanyi Evolution Theory iwe ni Imani ya kweli.
 
Energy haiwezi kuwa Mungu:
(1)kwa sababu inakosa utambuzi( Consciousnes
SIkubali kwamba energy ndio Mungu ila naomba nikuulize mkuu kwamba umejuaje kama energy haina consciousness ?

Ili uwece conscious inabidi uwe na sifa gani ?

Kama ukisema mtu awe anaomgea ndio awe conscious ujue mtu kuongea kuna physiology kali ambayo tissue mbali mbali zimesaidiana mtu kuomgea,mfano muscle za uso zimefanya contraction kufanya mtu atamke kwa ufasaha na tunafahamu muscles hutumia ENERGY.

ukisema awe anasikia,ujue kwamba mtu mpaka asikie kuna mechanism of hearing ambayo lazima energy iwepo ndio kijambo kizima kitokee.

Ukisema kuchakata jua kuna brain cells ama neurons ambazo kufanya kazi kwake lazima energy itumike ili mtu aweze kufanya kazi vizuri ya kufikiri.

So kitu gani kinafanya kitu kiwe conscious bila kuihusisha energy mkuu ?

Au ni sawa tuseme nyumba haikuundwa kwa mchanga bali imeundwa kwa tofali ?
 
ila Mungu yeye ndio amezuka tu na hana Chanzo sindio mkuu?
Kuzuka hakumhusu Mungu....kwani Mungu si kitu....wala si nguvu tuzijuazo wanaadamu....si matter si atom ,si electon ,si valency....HOW ,WHAT ,WHICH,WHEN ,WHERE hazimhusu MWENYEZI Mungu....yeye ameziumba kwa ajili yetu....tuulizane na tujue...maisha yetu ya "universe"....Mungu Yuko nje ya universe ..kusikokuwa na maisha....kwani maisha hayamhusu Mungu Mwenyezi....

#YetzerHatov
#SiempreJMT[emoji120]
 
Wanasayansi hawajakubaliana kua binadamu 'alikua wa mwisho kuumbwa'
 
kwani wewe taarifa kuhusu Mungu umezipokea nje ya senses?
Kabla ya kuendelea huko nikuulize kitu kwani SUBCONSCIOUS MIND iko Kati ya zile SENSE 5 ?!!!

Kwani ndoto huwa Kati ya hizo SENSE 5?!!!

Hivi unajua hata kipofu aliyezaliwa na upofu huwa anaota?!!! Na akiota huota mambo ambayo nasi tunayaona?!!! Yaani hakuna tofauti kubwa ya ndoto za kipofu toka kuzaliwa na Mimi na wewe.....
 
Wanasayansi hawajakubaliana kua binadamu 'alikua wa mwisho kuumbwa'
Sawa....

Hivi unajua kuwa watu weupe(Europeans) hawana HISTORIA zaidi ya miaka 7000 nyuma(hawakuwepo)....ila CARBON DATINGS inatuonyesha kuwa milima ilikuwepo zaidi ya miaka milioni......
 
Hauwezi kuthibitisha uwepo wa Mungu kisayansi, Mungu uwepo wake unathibitishwa kwa mantiki ama logic in english
 
Hauwezi kuthibitisha uwepo wa Mungu kisayansi, Mungu uwepo wake unathibitishwa kwa mantiki ama logic in english
[emoji2956][emoji2956]
Siku wanasayansi watakapoweka "mbango" zao hizo pembeni basi Mola,Mungu,Allah, YHWH ,Yehova ,Adonai ataeleweka na wengi zaidi ya sisi tumuelewaye....

Lihimidiwe jina lake Allah[emoji120][emoji120][emoji120]
 
swali langu la msingi lilikuw wewe umefahamu uwepo wa Mungu nje ya hizo senses 5?

Subconscious mind una train wewe mwenyewe its just ni layer ya mind ambayo hauna direct access nayo,lakini information zinazo processiwa na subconsious mind umezipeleka mwenyewe na kama upo conscious enough utagundua kile kinacholetwa na subconsious mind ni reflection ya training ya muda mrefu uliyo ifanya wewe mwenyewe aidha kwa kujua au kutokujua

kama ni enthusiastic wa technology utakuwa unaelewa the way machine learning model inavyokuwa trained
 
Sawa...

Kwa hiyo "subconscious mind" ni lazima uitrain?!!!

Kwa hiyo memories ,fears believes ambazo unazo ni lazima uwe umezitrain tu....nyingine haziendani na maumbile?!!!

Mimi nimemfahamu Mungu kupitia hizo sense 5....ila unaamini kuwa ulimwengu upo kwa ajili ya sense 5 tu?!!!

Yaani kuota nako ni lazima iwe ni vitu unavyovijua?!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…