Uthibitisho wa uwepo wa Mungu kisayansi

You are most brilliant in tz mashallah
 
1.Swali halikuuliza Mungu yupo mbinguni au hayupo?
Ila Swali liliuliza Mbingu iko wapi?

2.Mammals walikuwepo ila walikuwa no tule tudogo kama panya hivi na sayansi ikasuggest watakuwa walikuwa wanaishi underground kwa sababu ya stiff competition.

Hivyo ni ngumu kwao kuevolve kama tulivyo Leo ambao ndio tunatawala Dunia.

Ila hii inaondoa Ile notion ya kusema Mungu alimuumba sijui binadamu na kila kitu kwa muda wa siku 6 ya saba akapumzika.

Dunia ipo kussuport maisha ila viumbe either wataevolve au kuperish na kuzuka kwa viumbe wengine na wenyewe hivyo hivyo.

3. It's a words Lete ushahidi usio na shaka kama viliumbwa
 
Hiki ulicho
Vipi maisha yaliyogunduliwa kwenye vimondo au asteroid kutoka nje ya Dunia, nayo yaliandaliwa na nani?
Maisha gani unayongelea kwenye vimondo na Asteroid?

Ni vizuri ukafahamu kuwa mfumo wa jua, ambamo ndani yake kuna dunia, ambayo binadamu tunaishi, ufanya kazi wake unategemeana.

Hii ina maana kwamba kwenye mfumo wa jua, ukiondoa mojawapo ya sayari; utasababisha hitilafu kwenye mfumo wote.
Vipi maisha yaliyogunduliwa kwenye vimondo au asteroid kutoka nje ya Dunia, nayo yaliandaliwa na nani?
 
Mbingu ni nini?
Mbinguni ni wapi?
Nini kinachotofautisha Anga na Mbingu?
Tuelezee kwa nini Quraan inasema Mungu anamwaga mapipa ya maji ndio huku duniani mnasema Kuna mvua?
Kama yupo mbali na Angani anawezaji process hii?


Kumbuka kwenye kitabu Chako Cha Quraan kinasema Mungu hutumia Nyota kuwapiga Mashetani au majini yanayokwenda kuiba Siri za Mbinguni.
 
1. Mbingu Sijui ipo wapi.

2. Umesema Mammals walikuepo✅.., lakini hiyo ya kusema walikua wadogo kama Panya ni story tu hazina uthibitisho wowote hata Sayansi haina uthibitisho. Au una uthibitisho?

3. Hiyo kusema Viumbe wanazuka... Wanazuka vipi? Unaweza kufafanua jinsi wanavyozuka?
 
Mkuu sijakuelewa hapa una maanisha nini?
Namaanisha vimondo vilivyotua duniani vikionekana vina bacteria na other species ambavyo ni unicellular na vina maisha.

Kumbuka vimondo asili yake sio duniani.
 
Through evolution don't you get it?
It was an era of dinosaurs ambao walikuwa wakubwa na wa kila namna.

Mammals waliishi kwenye dark it's your statement, ila nachojua kwenye mashimo deep na wakati kimondo kinapiga athari zake kusambaza Dunia nzima Mnyama aliyekuwa na advantage ni mammals na small reptilians.

Ndio maana tunasema mamba na mijusi ni descendant wa Dinosaurs.

1. Sasa kama hujui? Then unaamini vipi kwamba Kuna makazi ya namna hiyo?
Kama hujui huoni beliefs yako yote imejengwa katika uongo?
Hauoni kuamini jambo ukiwa unajua ni uongo inageuka upumbavu.

We have so much to learn in the universe
 
Hakuna sehemu kwenye Qur'an inayosema Mungu anamwaga mapipa ya maji Ili ilete mvua.
Bali Qur'an inasema hivi kuhusu mvua:-👇🏽
Surah Al-Hijr, Chapter 15, Verse 22.
"And We send the winds fertilizing (to fill heavily the clouds with water), then cause the water (rain) to descend from the sky, and We give it to you to drink, and it is not you who are the owners of its stores [i.e. to give water to whom you like or to withhold it from whom you like]."


Ndiyo, ni kweli Mashetani/majini hupigwa na vimondo wanapoenda kuiba Siri za Mbinguni........ Ishu ni kwamba Zipo Mbingu Saba so, huenda hao majini wakifika kwenye Anga tu hapo ndiyo wanakutana na hivyo vimondo.....

Concept ni kwamba mbingu sio hiyo blue sky tunayoiona kwa macho.
 
Yes itabidi sasa tuanze kwenda sawa tunarudi kwenye Quantum Physics.
Na itabidi tukumaliane kwamba:-

Matter is not interchangeably to energy but energy is the one responsible of generation of matter from the big bang.

Haya hapa ni maelezo ya Basic particles with formulas of energy

The basic particles in quantum physics are fermions and bosons. Fermions include quarks and leptons, while bosons include photons, W and Z bosons, gluons, and the Higgs boson. These particles interact with each other and generate energy through various mechanisms, which can be described by mathematical formulas.

1. Photons:

Photons are particles of light and electromagnetic radiation. They are responsible for carrying energy in the form of electromagnetic waves. The energy of a photon is given by the formula:

E = hf

where E is the energy of the photon, h is Planck's constant (6.626 x 10^-34 joule-seconds), and f is the frequency of the electromagnetic wave.

2. W and Z Bosons:

W and Z bosons are responsible for mediating the weak nuclear force, which is responsible for radioactive decay. They carry energy between particles that participate in weak interactions. The energy of a W or Z boson is given by the formula:

E = mc^2

where E is the energy of the boson, m is its mass, and c is the speed of light.

3. Gluons:

Gluons are responsible for mediating the strong nuclear force, which holds the nucleus of an atom together. They carry energy between quarks, which are the building blocks of protons and neutrons. The energy of a gluon is given by the formula:

E = mc^2

where E is the energy of the gluon, m is its mass, and c is the speed of light.

4. Higgs Boson:

The Higgs boson is responsible for giving particles mass. It interacts with other particles and generates energy through the Higgs field. The energy of the Higgs boson is given by the formula:

E = mc^2

where E is the energy of the Higgs boson, m is its mass, and c is the speed of light.

In summary, the basic particles in quantum physics interact with each other to generate energy through various mechanisms. The energy of a particle can be calculated using mathematical formulas, which take into account the particle's mass, speed, and other properties.
 
Kwani unavyo fahamu mwanzo wa anga na mwisho wake ni wapi?

Vimondo vipo kwenye Asteroid belt na Kuiper belt ila huku upande wa pili Ina aminika ni barafu.

Je, Mbingu ndio zipo maeneo hayo
 
Evolution Theory ni Uongo Sijui kwanini umeamuamini Charles Darwin kiasi hicho,..
Hata baadhi ya Wanasayansi wanaikataa Evolution Theory wakiwemo Hawa wafuatao na sababu zao za kupinga:-
1. Michael Behe, a biochemist who proposed the concept of "irreducible complexity," which posits that some biological systems are too complex to have evolved gradually and must have been created all at once.

2.William Dembski, a mathematician and philosopher who has argued that certain features of living organisms exhibit "specified complexity," which he contends cannot be explained by natural causes.

3. Young Earth creationists:- who believe that the Earth is only a few thousand years old and that all living species were created in their present form by God.



Kuhusu Mimi kutojua mbingu ipo wapi sio jambo la ajabu...... belief is based on faith(Imani sio mpaka Uone kitu bali una reason tu kwa kutumia akili kisha unaamini au unakataa)

Mfano mzuri, wewe ni Muumini wa Evolution Theory..... Unaamini Viumbe vinazuka na ukiambiwa uthibitishe vinazuka vipi huwezi. Huoni kama ni upumbavu huo?
 
Kwani unavyo fahamu mwanzo wa anga na mwisho wake ni wapi?

Vimondo vipo kwenye Asteroid belt na Kuiper belt ila huku upande wa pili Ina aminika ni barafu.

Je, Mbingu ndio zipo maeneo hayo
Hakuna anaefahamu mwanzo wala mwisho wa Anga..., Hata Sayansi Bado haijui mwisho wala mwanzo wa Anga....
Kumbuka kama Qur'an(Surah Adh-Dhariyat, Chapter 51, Verse 47, where Allah says:
"And the Sky We constructed with strength, and indeed, We are [its] expander.") na Sayansi inavyosema kwamba Anga Inaendelea kutanuka hivyo basi sidhani kama tutakuja kugundua mwisho wala mwanzo wa Anga.

As per Qur'an & Science, Anga Ineandelea kutanuka, hakuna ajuaye mwanzo wala mwisho wa Anga.

Ahsante.
 
Embu niambie ilikuwaje Mitochondria ikawa kwenye mwili wa viumbe?

Halafu sio kuzuka bali ni kuevolve kama ilivyokuwa kwa Ndege na samaki.

Hivi Kuna mfumo mgumu kwenye mwili kama mfumo wa fahamu(neurons, brain na kadhalika)
 
Sasa baada ya kuongelea Big Bang.
Naomba sasa tuanze kuzungumzia

String Theory

Najua wengi wanaweza wasiijue.

String theory is a theoretical framework in physics that attempts to describe the fundamental building blocks of the universe and their interactions. It suggests that the fundamental constituents of the universe are not particles, as in traditional particle physics, but tiny one-dimensional "strings" that vibrate at different frequencies. The vibrations of these strings determine the properties of the particles that they make up, including their mass, charge, and spin.

String theory was first proposed in the late 1960s by a group of physicists including Gabriele Veneziano, John Schwarz, and Yoichiro Nambu. At the time, these physicists were investigating the properties of strong nuclear forces, which hold atomic nuclei together. They discovered a mathematical model that described the behavior of the strong force in terms of strings rather than particles, and this led them to explore the possibility of a more fundamental theory based on strings.

In the 1980s, several researchers, including Edward Witten, Michael Green, and John Schwarz, made significant advances in the development of string theory. They showed that the theory had the potential to unify all the known forces of nature, including gravity, into a single framework.

Since its inception, string theory has become one of the most active areas of research in theoretical physics, and has spawned numerous offshoots and related ideas.
 
Are matter and energy interchangeable?

"Energy equals mass times the speed of light squared." On the most basic level, the equation says that energy and mass (matter) are interchangeable; they are different forms of the same thing. Under the right conditions, energy can become mass, and vice versa.

Energy equals mass times the speed of light squared." On the most basic level, the equation says that energy and mass (matter) are interchangeable; they are different forms of the same thing. Under the right conditions, energy can become mass, and vice versa.
 
HOW ENERGY FOUND IN STRING THEORY

In string theory, the energy of a particle is related to the vibrational modes of a string. Each vibrational mode of the string corresponds to a different energy level of the particle, and the energy levels are quantized, meaning that they can only take on discrete values.

The formula that relates the energy of a particle to its vibrational modes in string theory is:

E = (n + 1/2) * hbar * w

where E is the energy of the particle, n is a non-negative integer that represents the vibrational mode of the string, hbar is the reduced Planck constant, and w is the frequency of vibration of the string.

This formula shows that the energy of a particle is directly proportional to the frequency of vibration of the underlying string. As the frequency of vibration increases, so does the energy of the particle.

Furthermore, in string theory, each particle is associated with a specific vibrational mode of the string. For example, the photon, which is a quantum particle that mediates the electromagnetic force, is associated with a vibrational mode of the string that corresponds to a certain energy level.

In this way, string theory provides a unified framework for describing the fundamental particles of the universe and the energy that they possess, based on the vibrational modes of tiny one-dimensional strings.
 
Dunia Ina miaka 4.5 billion years nani huyo aliyesema Ina miaka elfu kadhaa?
Binadamu tuna miaka haizidi laki mbili ikiwa tutamjadili kuanzia upright man.

Hakuna kitu complex ila our current science and technology ila tukiadvance may be after 500 years kutoka vitu ambavyo ni impossible vitakuwa vya kawaida.
 
Methods za dating ziko kibao tu. Ila popular ni radiocarbon dating, potassium–argon dating and uranium–lead dating.

Kuna na zingine kama ash analysis, clock and rocks etc...
 
Hapa ninakubaliana na wewe kwenye vitu ambavyo vipo na Mass.

I real agree with you. Maana formula ya Einstein imeweka wazi kabisa na kuna proof zipo nyingi tu.

But when we talk about Electromagnetic Energy this is different story. Ndio maana nikakuwekea basic particles in a quantum physics. Utakuta Photons which are massless but they have momentum.

So at this juncture energy does not be interchangeable to mass.

Hapa tunatumia communication we use Radio frequency to comnucate. This is electromagnetic energy. They penetrate na zinasababisha matokeo. But momentum yake is not based on mass.

Nadhani unajua x-ray tunatumia kila siku. Those are photons, is the form of energy but they don't have mass.

Hebu nakuomba tujaribu kuongelea electromagnetic according to your point of mass.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…