Uthibitisho wa uwepo wa Mungu kisayansi

Nuclear fission na fussion ndio energy inakotoka.

When atoms inapomove kutoka higher energy layer to lower energy layer inarelease Energy.

When atoms zinapocollide one another zinarelease Energy.

When atoms inapo undergo decay mfano radioactive isotope basi Ina release energy.

Nadhani Sasa umeshajua energy inatoka wapi na nitarudi energy ni nini?
 
Huwezi kuchunguza nguvu iliyo-above your limit ndiyo maana yeye akaamua kuipatia ukuu wa Mungu....inshort Binaadamu hawezi mchunguza Mungu.
 
Huwezi kuchunguza nguvu iliyo-above your limit ndiyo maana yeye akaamua kuipatia ukuu wa Mungu....inshort Binaadamu hawezi mchunguza Mungu.
 
Labda mkuu niku ulize na wewe swali

Who designed the disigner?

Designer wa hivi vitu na system zilizopo alitoka wapi?

Na huyu designer kabla ya ku design kitu chochote alikuwa wapi?

Huko aliko kuwa ni wapi??
Maana Hakuna kilicho kuwepo kabla yake.!!
 
Haya maswali hata kwenye science wameshindwa kuyajibu. Haya maswali yapo beyond of our understanding.

Nimejaribu kuweka Big bang theory, utaikuta ipo na mapungufu mengi mno maana inatueleza kuna kipindi kilifika ulimwengu ulianza. Na wanatueleza kuwa huo ulimwengu ukitokana na kitu kinachoitwa singularity.

Sasa ukiuliza where does singularity come from. Science inakaa kimya.

So haya mambo yapo juu sana. Lakini hayatuzuii kuendelea na utafiti.

Asante. Tuendelee kunywa mtori nyama zipo chini.
 
Evolution inaelezea kuanzia unicellular mpaka Multicellular.

Inaelezea mwanzo wa maisha mpaka Homo sapiens.

Labda useme haielezei wapi?
 
Heavy sana bro[emoji119]
 
Evolution inaelezea kuanzia unicellular mpaka Multicellular.

Inaelezea mwanzo wa maisha mpaka Homo sapiens.

Labda useme haielezei wapi?
Kwanini ianzie kwenye unicellular? Hiyo unicellular ilitoka wapi?
 
Aisee huu uzi[emoji119]
 
Nimekuelewa sana bro na mara nyingi wale wanaopinga uwepo wa Mungu ukifanya nao mahojiano utagundua kuwa uwezo wao wa kufikiria ni mdogo
 
Kutoka kwenye evolution perspective
Ilianza Cell-Tissue-Organ-System-Organism.

Hapo ndani Kuna cell differentiation, cell enlargement , cell division na Cell specialization.

Maisha yote yalianzia na yanaamzia hadi Sasa kwenye Unicellular angalia shahawa.

Halafu itaundergo cell division kuwa nyingi, zitaanza cell differentiation na specialization ili kuanza kuperform different function.

Mfano cell zinazounda mapafu zitakuwa tofauti na zinazounda muscles hivyo kutengeneza Organ mbalimbali na mifumo mfano mfumo wa hewa, chakula au mfumo wa fahamu.

Then kiumbe hiki hapa Organisms kifupi it was a randomly na possible vilitokea viumbe vingi ila cell specialization zikafanya baadhi ya viumbe kushindwa kuendana na mazingira ya Dunia.

Hivyo tunajua mfumo(system) imetokea wapi na haijaundwa na chochote.

Kwa nini viumbe vilivyopo duniani ni Carbon based na sio Silicon based?
 
Void is emptiness, is nothing. Sasa ukianza kusema sehemu gani tayari sasa hiyo siyo nothing tena au emptiness.

Sehemu inakuwa na space. Space inakuwa identified na observed objects. So hapa unapoongelea sehemu inakuwa haina sense.
Umezungumzia at atomic level mkuu ndio nataka nijue?
 
Upeo mdogo wa kufikiri. and that is basically your problem.
 
@hateeb10 alisema kwamba lazima kuwepo designer wa binadamu na viumbe wengine.

Mimi nika mwambia designer huyo Hayupo.

Kama yupo, Huyo designer na yeye mwenyewe lazima awe na designer wake, Na designer wake lazima awe na designer wake, Na designer wake designer wake, Lazima awe na designer wake mpaka infinitiy hukoooo.....

Maana Hakuna kitu kinaweza kujiumba kutoka kwa kutokuwepo kwa kitu.

Nothing can be the cause of its own existence, Hata "Designer" mwenyewe kuna sehemu alikuwepo alipo kuwa ana design vitu..

Sasa hiyo sehemu aliyo kuwa "designer" kabla ya yeye ku design vitu ilitokeaje?

Au huyo designer ali ishi wapi kabla ya ku design vitu???
Huko aliko kuwa aki ishi nani ali design?

Who designed, Designer's Place and Time of designing????
 
Usishikilie Sana big bang theory,maana ina mazaifu kibao
 
Upeo mdogo wa kufikiri. and that is basically your problem.
Who designed the designer of this world?

Who created the creator of this world?

Nothing can be the cause of itself.

Kama unabisha jibu hayo maswali hapo juu...
 
Umezungumzia at atomic level mkuu ndio nataka nijue?
Dah!!! Mkuu mbona tunaenda mbele halafu tunarudi nyuma.

Mimi nimeongelea beyond atomic level. Ndio maana tukaongea kuhusu quarks.

Sasa hizo quarks zimeundwa na kitu gani?
 
Usishikilie Sana big bang theory,maana ina mazaifu kibao
Sasa unataka nishikirie kitu gani sasa. Naomba uniletee sasa theory ambayo ipo inayoongelea how does universe come to existing.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…