wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Naamini mwaka1993 ama ulikuwa na umri wa miaka 3 au zaidi kidogo ya hapo lakini si zaidi ya miaka 5.
Unadhani chanzo cha uhasama wa IPP Media na Clouds Media ni nini?
Nadhani enzo hizo Mengi akiwa ni mwenyekiti na Managing Partner wa Coopers & Lybrand hapa Tz wewe ulikua bado uko kiunoni.
Bhakhresa ni Capitalist hawezi kufanya hivyo.Akifanya hivyo atateka mioyo mingi ya watanzania, na wengi watatamani awe hata rais yao, hapo ndo shida itakapoanza na watawala au politicians, hakuna serikali inapenda raia wa kawaida awe na msaada kuliko serikali yenyewe hasa hizi serikali za Africa..... Yani ni sawa leo Mo asifiwe na kila mtanzania kuliko Jiwe....
If you are that old then you are naive.
Precisely my thought. Yale yale ya Kusaga aliemwendea Mengi na wazo la kuanzisha kituo cha radio na television mangi akaanzisha yeye kwa kutumia wazo hilo hilo.
alafu unawalipaje hao vijana mkuu....Kamata vijana 50 wanaolalamika kuhusu ajira,kila mmoja atapewa birika la kutembeza kahawa....na kwa siku kila mmoja anatakiwa angalau ahudumie watu 50+,kwa hiyo faida itakuwepo.
100 x 50 x 50=250,000/= kwa siku
TrueStory ya kutunga hio.
Ilo wazo ikependeza ukiliweka hapa ili na wengine wanufaike nalo.... Kwa maeneo waliyopoMimi ninaomba mwenye wa kunikopesha laki 5 hata kwa riba poa tu, nitairejesha ndani ya miezi 2 nipo tayari kumwambia wazo langu na hata eneo husika la biashara ,nimekwama. mtaji tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazo bora sana hili kwa kijana mwenye uthubutu hii n biashara yenye faida sana hasa kwa maeneo yenye watu wengi nimefanya hiii biashara naifahamu iliponifikisha haihiitaji aibu biashara hii inabid utoe ubrazamenHabari Mkuu
Mimi nitaitumia 50000/= katika mchanganuo ufuatao kupitia biashara ya mahindi ya kuchoma
Naishi temeke stereo jirani na soko hapo wanauza mahindi mabichi nami ndiyo biashara niliyowah kuifanya Tandika sokoni
Mchanganuo
Mahindi 50@300= 15000
Usafiri = 500
Mkaa. = 1500
Chumvi. = 300
Ndimu. = 300
Ushuru. = 500
Pilipili. = 300
JUMLA. 18900
MAUZO
Nitauza mhindi 1 kwa shilingi 800 hiyo kwa mahindi 50 kwa siku n shilingi ( 50×800= 40000)
jiko ninalo hivyo sihitaji kununua
JUMLA YA MAUZO - JUMLA YA MCHANGANUO.
40000 - 18900= 21100
kwa hyo ninauhakika wa kurudi na elfu 21100 kila siku kumbuka situmii nauli kurudi nyumbani
Ninauwezo wa kuuza mahindi 50 kwa sababu Tandika n sehemu ambayo inawatu wengi ni soko kubwa hvyo mwingiliano wa watu ni Mkubwa
Baada ya siku 7 ninauwezo wa kuwa na shilingi 147700
Pia kumbuka katika elfu 50 ya mtaji baada ya matumizi ya siku ya kwanza ilibaki (50000-18900= 31100) itabaki shilingi 31100 nitaitumia kuongeza mtaji taratibu kwa siku zinazofuata maana biashara sio siku zote huwa nzuri.
Sent using Jamii Forums mobile app