TAI DUME
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 9,748
- 26,238
Mungu yupi unayemzungumzia hapa? Maana yeye JPM aliomba kuwa malaika mkuu akapewa, na sasa na yeye anajiona ni mungu.Jpm anampenda Mungu. Na hiki ndicho kinampa sifa kubwa Tanzania na duniani kwa ujumla