Utii wa wanawake wa kisasa

Mimi terms zangu mbona zinaeleweka huwa nashauri mtu achague tu moja kati ya haya, either kila mmoja atimize majukumu yake bila kutegemea msaada wa mwenzie na hapo obviously mwanamke atalazimika kumtii mwanaume, au wote wasaidiane majukumu yao yote bila kujali ni ya jinsia gani then hapo hakuna wa kumtii wala kumtawala mwenzie bali wote wanatakiwa kuheshimiana na kusikilizana
 
Elewa point yangu kwa malezi ya kiafrika dereva abakie kuwa dereva na konda abakie konda
Sasa mbona ulipinga hoja yangu ya kwamba msingi wa mwanamke kumtii mwanaume uko katika mwanaume kumhudumia mwanamke, au haujui kwamba hata tamaduni za kiafrika nazo zilijengeka kutokana na msingi huo, kiufupi ukija kwenye uhalisia hakuna sababu yoyote ya mwanamke kumtii mwanaume nje ya mwanaume kumhudumia huyo mwanamke
 
Aisee,
Kwa hiyo ili mwanaume apate utii atafute mwanamke tegemezi kiuchumi?
 
It's the mentality behind, wanawake wengi ambao wamepata knowledge au wana privileged ya kuwa kwenye position flan ndo mentality zao! Hivi utii ni nini? Na kumtii mtu si lazma kuwe na gape kati yenu. Huwezi mwambia mtu mzima amtii kijana mdogo labda awe na wadhifa. Haya mimi sijabase kwenye dhana mbaya ya kutii, ila ile heshima ya kuona huyu ni mwanaume na mm ni mwanamke, sjui umenipata? Wanawake wengi wamepoteza ile quality sababu wanashindwa kutofautisha vitu natural kabisa mwanamke anapaswa kumtii mumewe sio kwa shuruti ila ndivyo ilivyo.
 

Ukimuona tofauti na unavyotaka ujue umekosea kuchagua au hujamkaza na kumuongoza vizuri huyo.

Ukichagua vizuri ukamkaza vizuri, ukamuongoza vizuri atakutii hata usipotaka akutii.
 
Hayo ndio maadili na tamaduni za kiafrika mnazozililia kila siku kwamba zirudi kwahiyo chagueni moja
Kwa kweli kama mwanamke hana utii kwa mume hamuwezi kufika popote, mtaishia kutesa watoto bure. Hata Wahenga walisema madume wawili hawakai zizi moja..

Mwanamke mwenye kisirani, asiye na utii kwa mumewe ni kama dume tu. Ni afadhali kupiga punyeto kuliko kumgegeda
 
Mkuu, kwa kawaida mwanamke asipokutii unamuona kama mwanaume mwenzio na hamu ya kumkaza inayeyuka. Atasema huna nguvu za kiume kumbe shida ni yeye
Lakini pia inawezekana hujamkaza vizuri ndiyo maana hakutii.

In any case wewe kama mwanamme unatakiwa kujua kuchagua, kwa sababu msiyeendana hamtaendana tu, halafu utalaumu hakutii.
 
Majukumu yapo mengi, tuanze na suala la financial expenses. Ikiwa mpo kwenye mahusiano ya girlfriemd and boyfreind na mnaishi sehemu tofauti au mnaishi pamoja lakini mke ana ajira inayomuingizia kipato je mwanaume bado atawajibika kuhudumia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…