Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina lingine dear 😊 usikarike kisa dislike mtoto mzurikaa benchi wewe,,hata bado hujanikera usijipendekeze twende kazi,,,yes here SINGLE MAZA ON AIR vipi una lingine?
Mimi terms zangu mbona zinaeleweka huwa nashauri mtu achague tu moja kati ya haya, either kila mmoja atimize majukumu yake bila kutegemea msaada wa mwenzie na hapo obviously mwanamke atalazimika kumtii mwanaume, au wote wasaidiane majukumu yao yote bila kujali ni ya jinsia gani then hapo hakuna wa kumtii wala kumtawala mwenzie bali wote wanatakiwa kuheshimiana na kusikilizanaSawa, tuachane na suala la aina za mahusiano, tujadiliane kwa mtazamo wako binafsi. Situation ya kwanza wewe na mpenzi wako mnaishi sehemu tofauti na situation ya pili mnaishi kama mume na mke halafu wewe una ajira inayokupa kipato. Sasa mmekaa chini mjadiliane kuhusu suala la nani anawajibika kutoa huduma wewe kama mwanamke utakuja na terms zipi mezani?
Wanawake mkiwa period mnakuwaga na hasira sana nakufananisha na kina Darlin 🤣 ila it's ok nimekuelewaata sio izo dislike zako,,,ila ntolee mineno yako ya shombo ,,sio lazma uchat namimi so GET OFF MY WAY usiniharbie usiku wangu.
Ndio nazijua sana tu mkiwaga kwenye mzunguko mnakuwaga kama mazombie vile.Toka bwana wew,, period unaijua
.Ndio nazijua sana tu mkiwaga kwenye mzunguko mnakuwaga kama mazombie vile.
Hasira kila wakati utafikiri mmekalia moto 😆
Sasa mbona ulipinga hoja yangu ya kwamba msingi wa mwanamke kumtii mwanaume uko katika mwanaume kumhudumia mwanamke, au haujui kwamba hata tamaduni za kiafrika nazo zilijengeka kutokana na msingi huo, kiufupi ukija kwenye uhalisia hakuna sababu yoyote ya mwanamke kumtii mwanaume nje ya mwanaume kumhudumia huyo mwanamkeElewa point yangu kwa malezi ya kiafrika dereva abakie kuwa dereva na konda abakie konda
Aisee,msingi wa mwanamke kumtii mwanaume uko katika mwanaume kumhudumia mwanamke huwezi kukitawala kiumbe usichokihudumia, kinachofanya wanawake wengi wa dunia ya leo kutokuwatii wanaume wao ni kile kitendo cha wao nao kuanza kujitafutia pesa na mali zao bila kuwategemea wanaume, hata mimi huwa nasema humu kama mwanaume anamhudumia mwanamke basi shurti huyo mwanamke amtii hiyo siyo hiyari bali lazima..
Wewe jamaa utadata siku sio nyingiMatembele/SaSalivaFront
Hayo ndio maadili na tamaduni za kiafrika mnazozililia kila siku kwamba zirudi kwahiyo chagueni mojaAisee,
Kwa hiyo ili mwanaume apate utii atafute mwanamke tegemezi kiuchumi
It's the mentality behind, wanawake wengi ambao wamepata knowledge au wana privileged ya kuwa kwenye position flan ndo mentality zao! Hivi utii ni nini? Na kumtii mtu si lazma kuwe na gape kati yenu. Huwezi mwambia mtu mzima amtii kijana mdogo labda awe na wadhifa. Haya mimi sijabase kwenye dhana mbaya ya kutii, ila ile heshima ya kuona huyu ni mwanaume na mm ni mwanamke, sjui umenipata? Wanawake wengi wamepoteza ile quality sababu wanashindwa kutofautisha vitu natural kabisa mwanamke anapaswa kumtii mumewe sio kwa shuruti ila ndivyo ilivyo.Hivi hii ya wanaume kuona kwamba wanawake wanataka kuwa sawa na ninyi inatokana na nini, kwa sababu mimi sidhani kama mwanamke kushindwa kumtii mwanaume kunamaanisha kwamba wako sawa, na huo utofauti uliopo kati ya mwanaume na mwanamke sidhani kama ndio justification ya mmoja kulazimika kuwa chini ya mwenzake hata kama hayuko tayari
Kutokana na malezi ya kisasa na mifumo ya kisasa ya maisha ile kanuni ya mtii mwanaume wako kwa wanawake wa kisasa ni kitu ambacho hawakielewi kabisa wala kujua maana yake wakiwa katika umri wa usichana au umri wa kuchumbiwa na kuolewa.
Ila asili au nature ilivyo na power katika kufundisha kanuni zake za asili bila kupangiwa au kubembeleza mtu utashangaa sana binti akisha chezewa sana mwili wake akafikia ule umri wa utu uzima yaani 30,then mwili unaanza kupungua mvuto, anaanza kuwa na muonekano wa kimama, automatically utashangaa anaanza kuwa na adabu na yale mawenge, machepele, viburi, dharau ghafla hupotea anaanza kuwa na mwenendo wa utaratibu na anatengeneza haiba ya kukua kiakili.
Huwa najiuliza why huwa mnakwepa kitu ambacho mtakuja kukifanya siku za baadae tena kwa lazima?
Hapa tunaongea swala la utii na adabu kwa mwanaume ila mabinti kama akina Jadda watakaza fuvu kabisa na majibu ya kejeli ila subiri umri ufike. Kama kuna kamera za kuwamulika hamtaamini kuwa ndio wataufyata kuliko wale ambao ndio watii kwasasa.
Usiponyooka utanyooshwa, maisha hayajawahi na wala hatakuja kuwahi kubembeleza mtu, utakwenda vile yanavyotaka. Kanuni ya kutii mume na mke kupendwa ni ya miaka ya enzi na enzi. Wewe mtoto wa 1990's uje kuleta kanuni zako na kuamulia jamii iende kwa fikra zako utajua haujui, mtego utakapokufyatukia ndipo utaelewa maisha ni kama upepo, yapo ila hayashikiki.
Kwa kweli kama mwanamke hana utii kwa mume hamuwezi kufika popote, mtaishia kutesa watoto bure. Hata Wahenga walisema madume wawili hawakai zizi moja..Hayo ndio maadili na tamaduni za kiafrika mnazozililia kila siku kwamba zirudi kwahiyo chagueni moja
Mkuu, kwa kawaida mwanamke asipokutii unamuona kama mwanaume mwenzio na hamu ya kumkaza inayeyuka. Atasema huna nguvu za kiume kumbe shida ni yeyeUkichagua vizuri ukamkaza vizuri, ukamuongoza vizuri atakutii hata usipotaka akutii.
Lakini pia inawezekana hujamkaza vizuri ndiyo maana hakutii.Mkuu, kwa kawaida mwanamke asipokutii unamuona kama mwanaume mwenzio na hamu ya kumkaza inayeyuka. Atasema huna nguvu za kiume kumbe shida ni yeye
Majukumu yapo mengi, tuanze na suala la financial expenses. Ikiwa mpo kwenye mahusiano ya girlfriemd and boyfreind na mnaishi sehemu tofauti au mnaishi pamoja lakini mke ana ajira inayomuingizia kipato je mwanaume bado atawajibika kuhudumia?Mimi terms zangu mbona zinaeleweka huwa nashauri mtu achague tu moja kati ya haya, either kila mmoja atimize majukumu yake bila kutegemea msaada wa mwenzie na hapo obviously mwanamke atalazimika kumtii mwanaume, au wote wasaidiane majukumu yao yote bila kujali ni ya jinsia gani then hapo hakuna wa kumtii wala kumtawala mwenzie bali wote wanatakiwa kuheshimiana na kusikilizana
😀😀😀😀😀😀