Utoaji wa mimba ni uuaji na dhambi

Hapana lakini nakuambia kua jipe nafasi ya kujifunza ndugu yangu. Kua na maswali mengi juu ya Mungu ni vizuri maana hata yeye anataka tumjue na tumuelewe na tuwe na uhusiano nae, hivyo jipe nafasi. Usifunge kurasa Kwa kumkejeli. Kuna kesho
Sawa mpendwa katika bwana , ila hakuna kitu utaaniambia kuhusu huo uwongo.
 
Huu NI mjadala Mkûu.

Unaposema nisome Unamaanisha kitu gàni?
Biblia nimeisoma yôte hiyo uliyonayo zaidi ya mara tatu. Nikasoma na vitabu àmbavyo viliondolewa kwèñye hiyo Biblia
 
Kwa hiyo Mungu muweza wa yote mwenye upendo, alishindwa kuwabadilisha sodoma na gomora akaona awatie kibiriti kwa jazba?
Na baadaye akaahidi kutofanya jambo lile la ukatili dhidi ya wanadamu waovu.Karudie kusoma kwa utulivu mkuu.
 
Kuua NI Kuua Mkûu.
Alafu zîpo Sheria za Kuua Mtu lakini yeye hakuzizingatia Sana isipokuwa Kwa aina fulanifulani ya Watu aliowaona wapakwa mafuta.

Kama Kuua kwake kungekuwa Kwa Haki Mungu angemruhusu Kujenga Hekalu
Si kweli, kama wakumbuka vizuri Kuna kabila la Aron ambalo walikua makuhani Hawa walitenngwa Kwa ajili ya kanisa/hekalu la Mungu. Hawakuja wanajeshi Wala watu wa kufanya shughuli kama makabila mengine. Daudi kujenga lile hekalu haikumpendeza Mungu kutokana na utumishi wake ulikua ni mwingine, si kwenye nyumba ya Mungu.
 
Daudi hakuwahi kuwa Askari.
Hata hakuwahi kupata Mafunzo ya Askari.

Ndio maana Ndugu Zake pàmoja na Mfalme Sauli walimzuia asipigane na Goliathi

Kuwa na Jeshi haimaanishi wewe NI Askari
 
Kwa hîyo Mtu akija akataka Kukuua akisema ametumwa na Mungu anakuwa yupo Sahihi?

Au Unamaanisha Kibwetere na Mackenzie WA Kenya walikuwa Sahihi Kuua au kusababisha Mauaji ya Watu?
Mungu haui mtu, anachukua, Kwa sababu kiroho ni kutoka katika ulimwengu huu na kwenda ulimwengu mwingine.

Na kama ni kusudio la Mungu yatfanyika tu, ya Nini niogope kufa wakati narudi kwake. Kuishi ni Kwa ajili yake, kufa ni kuruddi kwake
 
Sababu iliyoandikwa kwèñye Biblia haisemi unavyosema.
Mungu alimwambia Daudi yeye kaua Sana ndîo Maana hawezi kujenga Hekalu

Niambie kama alikuwa anatumwa na Mungu kufanya hivyo why Mungu amkatae kujenga Hekalu?
 
Mungu haui mtu, anachukua, Kwa sababu kiroho ni kutoka katika ulimwengu huu na kwenda ulimwengu mwingine.

Na kama ni kusudio la Mungu yatfanyika tu, ya Nini niogope kufa wakati narudi kwake. Kuishi ni Kwa ajili yake, kufa ni kuruddi kwake
Kama kufa nikurudi kwake ilikuaje adhabu ya adamu na hawa baada ya kula tunda ikawa ni kufa?
 
Kûna maandiko makumi yanayoeleza Watu waliouawa na Mungu akiwemo Onani, unaposema Mungu haui mtu unatoa maoni yako au kulingana na imani yako kwenye biblia
 
Huu NI mjadala Mkûu.

Unaposema nisome Unamaanisha kitu gàni?
Biblia nimeisoma yôte hiyo uliyonayo zaidi ya mara tatu. Nikasoma na vitabu àmbavyo viliondolewa kwèñye hiyo Biblia
Kuna kusoma Biblia kama kitabu, na kusoma neno la Mungu. Aliesoma Neno na kulisikia na kuliweka ndani yake like neno lazima limbadilishe.

Bado una concepts haujasoma.
 
Kuna kusoma Biblia kama kitabu, na kusoma neno la Mungu. Aliesoma Neno na kulisikia na kuliweka ndani yake like neno lazima limbadilishe.

Bado una concepts haujasoma.
Maneno haya ni ya kiimani tu ambayo pia ni chaka la utapeli.
 
Daudi hakuwahi kuwa Askari.
Hata hakuwahi kupata Mafunzo ya Askari.

Ndio maana Ndugu Zake pàmoja na Mfalme Sauli walimzuia asipigane na Goliathi

Kuwa na Jeshi haimaanishi wewe NI Askari
Unasahau Daudi wakati anapigana na Goliath alikua ni mdogo tu, alikaa zaidi ya miaka kumi ndio ahadi ya Mungu juu yake ya kua mfalme ikatimia. Alikua askari. Soma biblia kaka
 
Kifo ni laana na matokeo ya uasi Kwa Mungu, kifo ni kutenganishwa na Mungu milele, lakini Yesu alikuja Ili tupate kuishi milele.

Yeye kifo hakikuweza kumzuia
Kama kufa nikurudi kwake ilikuaje adhabu ya adamu na hawa baada ya kula tunda ikawa ni kufa?
 
Kuna kusoma Biblia kama kitabu, na kusoma neno la Mungu. Aliesoma Neno na kulisikia na kuliweka ndani yake like neno lazima limbadilishe.

Bado una concepts haujasoma.

Ipo tofauti ya concepts na neno?

Biblia ni kitabu cha Teolojia, hadithi na Sheria.
Imani wanayowatu wènyewe. Ila Biblia kama Biblia Ipo hivyo.

Sasa wewe kwèñye Biblia kipi unauelewa nacho zaidi? Je Teolojia (falsafa), hadithi au Sheria? Au unatumia Imani yako juu ya Biblia? Au Biblia Ipo juu ya Imani yako?
 
Unasahau Daudi wakati anapigana na Goliath alikua ni mdogo tu, alikaa zaidi ya miaka kumi ndio ahadi ya Mungu juu yake ya kua mfalme ikatimia. Alikua askari. Soma biblia kaka

Daudi hakuwahi kuwa Askari.
NI kama Ibrahim, Yakobo na Esau.

Maaskari kwèñye Biblia waliowahi kuripotiwa ni Musa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…