Utofauti huu wa umri kati ya wanandoa haukubaliki. Viongozi wa dini zingatieni maadili

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
27,705
Reaction score
65,343
Ukisoma makala na hadithi mbalimbali kuhusu ndoa zinaonesha kuwa miaka ya nyuma viongozi wa dini ya kikristo walikuwa hawafungishi ndoa endapo wachumba wanatofautiana zaidi ya miaka 10. Walikuwa wanagoma.

Hivi sasa unakuta bibi wa miaka 60 anafungishwa ndoa na kijana wa miaka 20. Au baba wa miaka 59 anafunga ndoa na kasichana ka miaka 19. Hii ni ndoa kweli? Hakuna laana hapa?

Yaani mtoto wa miaka 19 au 20 akachezee uchi wa mtu mwenye miaka 59 au 60??
Huu siyo uchafu mbele za Mungu? Siyo laana hii?

Hapa chini ni picha mbaba mwenye miaka 61 anafunga ndoa na bonti wa miaka 20. Aibu naona mimi.

Screenshot_20251218-024738.png

Screenshot_20251218-024644.png
 
Ukisoma makala na hadithi mbalimbali kuhusu ndoa zinaonesha kuwa miaka ya nyuma viongozi wa dini ya kikristo walikuwa hawafungishi ndoa endapo wachumba wanatofautiana zaidi ya miaka 10. Walikuwa wanagoma.

Hivi sasa unakuta bibi wa miaka 60 anafungishwa ndoa na kijana wa miaka 20. Au baba wa miaka 59 anafunga ndoa na kasichana ka miaka 19. Hii ni ndoa kweli? Hakuna laana hapa?

Yaani mtoto wa miaka 19 au 20 akachezee uchi wa mtu mwenye miaka 59 au 60??
Huu siyo uchafu mbele za Mungu? Siyo laana hii?

Hapa chini ni picha mbaba mwenye miaka 61 anafunga ndoa na bonti wa miaka 20. Aibu naona mimi.

View attachment 3516942
View attachment 3516943
Nimeipenda picha tu
Kweli mwanamke ni kiumbe jasiri😆
 
Tundra lililokomaa ndio tamu sana! Na gari mbovu daima hukokotwa na gari zima
 
Ukisoma makala na hadithi mbalimbali kuhusu ndoa zinaonesha kuwa miaka ya nyuma viongozi wa dini ya kikristo walikuwa hawafungishi ndoa endapo wachumba wanatofautiana zaidi ya miaka 10. Walikuwa wanagoma.

Hivi sasa unakuta bibi wa miaka 60 anafungishwa ndoa na kijana wa miaka 20. Au baba wa miaka 59 anafunga ndoa na kasichana ka miaka 19. Hii ni ndoa kweli? Hakuna laana hapa?

Yaani mtoto wa miaka 19 au 20 akachezee uchi wa mtu mwenye miaka 59 au 60??
Huu siyo uchafu mbele za Mungu? Siyo laana hii?

Hapa chini ni picha mbaba mwenye miaka 61 anafunga ndoa na bonti wa miaka 20. Aibu naona mimi.

View attachment 3516942
View attachment 3516943
Kwenye ukristo Maria alikuw na unri gani alipochumbiwa na Yosefu.

Shida hata dini yenu hamjui na hamtaki kusoma.

Kwenye vitabu vyenu vya biblia (Aprocrypha of James) vinasema MARIA ALIKUWA NA MIAKA 12 NA YOSEFU ALIKUWA NA MIAKA 90!! (GAP LA MIAKA 78)

Google hata kidogo basi ndugu.
 
Hahaaaa kwa utu uzima wangu huu bado siwezi olewa na mtu mwenye miaka 60,no way
Sembuse mwenye 20???
Hivi ava wazazi huyu binti???au ndo ukute aneambiwa hasikii? Au pesa?
Naana kuna wazazi wakioona pesa hawajali
😄😄😄😄
 
Kwenye ukristo Maria alikuw na unri gani alipochumbiwa na Yosefu.

Shida hata dini yenu hamjui na hamtaki kusoma.

Kwenye vitabu vyenu vya biblia (Aprocrypha of James) vinasema MARIA ALIKUWA NA MIAKA 12 NA YOSEFU ALIKUWA NA MIAKA 90!! (GAP LA MIAKA 78)

Google hata kidogo basi ndugu.
Ni kitabu gani na mstari gani mzee
 
Kipendacho roho hula nyama mbichi, mfalume Daudi mwenyewe aliozeshwa mkee akiwa kikongwe kajichokea kitandani, hakumgonga tu sababu ya uzee ila naimani alimtamani vya kutosha, matokeo yake baada ya kifo chake akasababisha kifo cha mwanae mlafi wa mademu kama yeye, alipomtamani na kutaka kumuoa huyo mke wa babaye, mfalume Suleimani akaagiza pumbu zake zikatwe kabla ya jua kuzama.
 
Back
Top Bottom