Utofauti huu wa umri kati ya wanandoa haukubaliki. Viongozi wa dini zingatieni maadili

Utofauti huu wa umri kati ya wanandoa haukubaliki. Viongozi wa dini zingatieni maadili

how is experience mkuu? mtarajiwa wangu nimemzidi miaka 18
Mmekutana mkiwa na miaka mingapi kila mmoja? Mimi nilikuatana na wife akiwa na miaka 19. Lengo langu lilikua hao wa late 10's kwa sababu katika umri huo bado mwanamke yupo fresh. Purity, innocence, no emotional baggage, she is not comparing you with her exes e.t.c.

Challenge kuna mambo madogo madogo utatakiwa kumpa muongozo. Advantage bando yupo kwenye age ya kulekebishika kimtazamo na kitabia, vilevile bado ana mentality ya kuheshimu wanaume.

Hii ni tofauti na mwanamke wa age kubwa ambae unakutana akiwa na trauma za mahusiano yake ya nyuma pia ana mitazamo yake ya kimaisha ambayo ni tofauti na ga kwako. Bila kusahau tayari akili yake ishakua corrupted na ideologies za mtaani mfano feminism kwaiyo hana heshima tena kwa mwanaume.
 
Kwenye ukristo Maria alikuw na unri gani alipochumbiwa na Yosefu.

Shida hata dini yenu hamjui na hamtaki kusoma.

Kwenye vitabu vyenu vya biblia (Aprocrypha of James) vinasema MARIA ALIKUWA NA MIAKA 12 NA YOSEFU ALIKUWA NA MIAKA 90!! (GAP LA MIAKA 78)

Google hata kidogo basi ndugu.
Watu ni waongo sana.
************************************
The Bible doesn't state Mary's exact age when she married Joseph, but Jewish custom suggests she was likely a young teenager (around 12-16), with tradition often placing her at 14, while Joseph was traditionally seen as much older, possibly a widower in his late teens or 20s, though some traditions wrongly suggest he was 90. Most scholars agree she was young, consistent with the betrothal customs of the time for girls, and Joseph was likely a young man, not an elderly one, given the context of family life and carpentry.
***************************************
 
unakuta bibi wa miaka 60 anafungishwa ndoa na kijana wa miaka 20. Au baba wa miaka 59 anafunga ndoa na kasichana ka miaka 19. Hii ni ndoa kweli? Hakuna laana hapa?
Hapo tatizo ni kama mwanamke ni mkubwa kiumri kuliko mume, hilo halikubaliki.

Suala la wanaume kuoa vigoli/bikra ni kawaida tangu enzi za manabii.

Kwa mfano, kwenye kitabu cha Esta, Vashti alipozingua, yule mfalme, mumewe alitafutiwa bikra - Esta akapatikana mfalme akaoa chap
 
Ukisoma makala na hadithi mbalimbali kuhusu ndoa zinaonesha kuwa miaka ya nyuma viongozi wa dini ya kikristo walikuwa hawafungishi ndoa endapo wachumba wanatofautiana zaidi ya miaka 10. Walikuwa wanagoma.

Hivi sasa unakuta bibi wa miaka 60 anafungishwa ndoa na kijana wa miaka 20. Au baba wa miaka 59 anafunga ndoa na kasichana ka miaka 19. Hii ni ndoa kweli? Hakuna laana hapa?

Yaani mtoto wa miaka 19 au 20 akachezee uchi wa mtu mwenye miaka 59 au 60??
Huu siyo uchafu mbele za Mungu? Siyo laana hii?

Hapa chini ni picha mbaba mwenye miaka 61 anafunga ndoa na bonti wa miaka 20. Aibu naona mimi.

View attachment 3516942
View attachment 3516943
Mungu sio wewe, na wewe sio Mungu.
Mungu hajakataza ndoa za watu wazima wanaotofuatiana umri kwa miaka mingi.
 
Kijana punguza makasiriko nyapu ya mwanamke ambae amesha barehe hata ije mboo yenye miaka 600 itapita vzr na binti hafi ma ma e
 
Vipi haka katoto kenye miaka 19 katakapofikisha miaka 39 na mumewe mwenye 50 sasa, atakapokuwa na 80+, hapo mume si atakufa kwa stress za kuchapiwa?
Kwanza unaanza kuchapiwa siku ya kwanza ya ndoa yako na kuanza kutumia madawa ya nguvu za kiume
 
Kwanini isiwewezekane, hata mimi najua hizo taarifa zipo kwenye historia kuwa Joseph alikuwa na miaka 90 na Maria 12, lakini hapohapo mnaamini mtume alioa mtoto wa miaka 9 bila ya ushahidi wowote zaidi ya maandiko ya mitandaoni
Kwa mtume ni kweli ila kwa Joseph huo ni uzushi
 
mkuu,Biblia hii unayoisoma wewe ilihaririwa na kuna mistari,vifungu na sura ambayo viliondolewa ili kuficha mambo fulani fulani na uhtaji wa jamii. Kuna vitabu vingi vimeondolewa katika Biblia ili kuficha mambo mbalimbali. Vitabu hivyo vipo vingi mfano: The Book Of Enoch,the Book Of Giant nk, Biblia ina dark side yake ambapo waumini hamtakiwi kuijua,ila sisi wajuvu,wadadishi na GT tunajua.
GT ni nini?
 
Lkn ni aibu mtu wa miaka 70 kumuonesha maungo yako mtoto wa miaka 19.
Kama wewe unaona aibu, ni sawa kwako. Ukifikisha umri huo usifanye ngono na uliowazidi umri. Hata kununua mitumba au matunda yaliyowekwa chini, kuna watu wanaona aibu na wengine hawaoni aibu. Maisha yanaendelea.
 
Mleta mada Unapangia watu maisha,tena kama una kabinti ka miaka 7 mpaka 13 nije kwako kuwekea oda
 
Kwa mtume ni kweli ila kwa Joseph huo ni uzushi
Miaka ile urefu wa maisha ya binadamu yalikuwa mafupi sana
Weka hapa huo ushahidi unaosema, na mimi nilete ushahidi tofauti
Hakuna kwenye Quran inasema aliioa mtoto wa miaka 9, hizo ni propaganda
Na wanakotoa ushahidi ni kwenye ngano au hadithi za kale ambazo hazina ukweli wowote
 
Hahaaaa kwa utu uzima wangu huu bado siwezi olewa na mtu mwenye miaka 60,no way
Sembuse mwenye 20???
Hivi ava wazazi huyu binti???au ndo ukute aneambiwa hasikii? Au pesa?
Naana kuna wazazi wakioona pesa hawajali
😄😄😄😄
Kwa hiyo hata mimi nikija utakataa!
 
Back
Top Bottom