Utofauti huu wa umri kati ya wanandoa haukubaliki. Viongozi wa dini zingatieni maadili

Utofauti huu wa umri kati ya wanandoa haukubaliki. Viongozi wa dini zingatieni maadili

ungekaa kimya tu badala ya kupotosha watu.
Kwanini isiwewezekane, hata mimi najua hizo taarifa zipo kwenye historia kuwa Joseph alikuwa na miaka 90 na Maria 12, lakini hapohapo mnaamini mtume alioa mtoto wa miaka 9 bila ya ushahidi wowote zaidi ya maandiko ya mitandaoni
 
Ni kweli kabisa. Nimeona:-
1. Trump ana 79 kaoa mjukuu mwenye 55
2. Macron 47 kaoa bibi yake mwenye 72.
3. Mugabe alioa akiwa na 67 na mkewe Grace akiwa na 24.
4. Profesa Kapuya ameoa mwaka juzi mke mwenye 26 yeye akiwa na 76.
Umenikumbusha Gucci Grace, sijui atakuwa na hali sasa maana alikuwa mtata kama the late Lucy Kibaki😄😄
 
Kwanini isiwewezekane, hata mimi najua hizo taarifa zipo kwenye historia kuwa Joseph alikuwa na miaka 90 na Maria 12, lakini hapohapo mnaamini mtume alioa mtoto wa miaka 9 bila ya ushahidi wowote zaidi ya maandiko ya mitandaoni
Mtume at 25 alioa Khadija
 
Kwenye ukristo Maria alikuw na unri gani alipochumbiwa na Yosefu.

Shida hata dini yenu hamjui na hamtaki kusoma.

Kwenye vitabu vyenu vya biblia (Aprocrypha of James) vinasema MARIA ALIKUWA NA MIAKA 12 NA YOSEFU ALIKUWA NA MIAKA 90!! (GAP LA MIAKA 78)

Google hata kidogo basi ndugu.

Aliolewa akiwa na miaka 6 na akaanza kupigwa full pipe akiwa na miaka 9 na Muddy mzee wa totoz.
 
Kumi na kushuka chiñi hivi inakuwa sawa kuzidi hapo ni too much
Ni kweli, lakini kuna walakini, wanandoa wengi haswa wanaume wakizeeka, wanaanza kutafuta mabinti wadogo wa kuwatumia... uhitaji wa miili michanga ni mkubwa, ila sababu ya imani kama zako, watu wanajikaza, alafu wanafanya kimya kimya.
 
Ukisoma makala na hadithi mbalimbali kuhusu ndoa zinaonesha kuwa miaka ya nyuma viongozi wa dini ya kikristo walikuwa hawafungishi ndoa endapo wachumba wanatofautiana zaidi ya miaka 10. Walikuwa wanagoma.

Hivi sasa unakuta bibi wa miaka 60 anafungishwa ndoa na kijana wa miaka 20. Au baba wa miaka 59 anafunga ndoa na kasichana ka miaka 19. Hii ni ndoa kweli? Hakuna laana hapa?

Yaani mtoto wa miaka 19 au 20 akachezee uchi wa mtu mwenye miaka 59 au 60??
Huu siyo uchafu mbele za Mungu? Siyo laana hii?

Hapa chini ni picha mbaba mwenye miaka 61 anafunga ndoa na bonti wa miaka 20. Aibu naona mimi.

View attachment 3516942
View attachment 3516943
Binadamu kibaiolojia ni wanyama kama walivyo 'wanyama wengine' bali 'utashi' umetutofautisha kidogo sana na hao 'wanyama wengine'.

Lakini hulka za mapenzi zinafanana na 'wanyama wengine', yaani kupenda, wivu wa kijinga ni kwa asilimia 100.

Unaposema mwenye miaka 60 kumlala ama kulalwa na wa miaka 20 ni uchafu, emb chambua kisomi na siyo kihisia kuna tatizo gani?

Ukizungumzia kuhusu 'life expectancy' elewa hayo ni makubaliano na malengo yaliyopo kichwani mwa kila mnufaika katika bond hiyo.
 
Ilichukua miaka zaidi ya 600 kwa Adam kumpata Eva... Acha watu wapate kitu roho inapenda.
Adam alimzaa third born(Sethi) akiwa na miaka 130, akakaa miaka 800 ndo akapata watoto wengine, akafa na miaka 930 (Mwanzo 5:3-5) sasa unavyosema alimpata Hawa akiwa na miaka 600, akikaa miaka 800 ili apate watoto wengine, miaka inazidi 1,400/= na hakuna binadamu aliyewahi kuishi miaka elfu moja, so taarifa yako siyo ya kweli na kwenye maandiko sijaiona.
 
Kama wote ni watu wazima hakuna shida. Mimi nishaoa lakini tangu sijaoa nikishajiwekea lengo kwamba siwezi kuoa mwanamke agemate wangu. Nitaoa mwanamke nikiemzidi miaka 8-12. Mke wangu nimemzidi miaka 10
 
Sehemu gani ya Biblia wameandika hv?
Nipe nisome.

Aprocrypha of James ndio kitu gani mkuu, nipe mstari wa Biblia.
mkuu,Biblia hii unayoisoma wewe ilihaririwa na kuna mistari,vifungu na sura ambayo viliondolewa ili kuficha mambo fulani fulani na uhtaji wa jamii. Kuna vitabu vingi vimeondolewa katika Biblia ili kuficha mambo mbalimbali. Vitabu hivyo vipo vingi mfano: The Book Of Enoch,the Book Of Giant nk, Biblia ina dark side yake ambapo waumini hamtakiwi kuijua,ila sisi wajuvu,wadadishi na GT tunajua.
 
Swali langu limenyooka kwamba nataka huo mstari wa Biblia, ila ww unaniletea ngonjera
 
Ukisoma makala na hadithi mbalimbali kuhusu ndoa zinaonesha kuwa miaka ya nyuma viongozi wa dini ya kikristo walikuwa hawafungishi ndoa endapo wachumba wanatofautiana zaidi ya miaka 10. Walikuwa wanagoma.

Hivi sasa unakuta bibi wa miaka 60 anafungishwa ndoa na kijana wa miaka 20. Au baba wa miaka 59 anafunga ndoa na kasichana ka miaka 19. Hii ni ndoa kweli? Hakuna laana hapa?

Yaani mtoto wa miaka 19 au 20 akachezee uchi wa mtu mwenye miaka 59 au 60??
Huu siyo uchafu mbele za Mungu? Siyo laana hii?

Hapa chini ni picha mbaba mwenye miaka 61 anafunga ndoa na bonti wa miaka 20. Aibu naona mimi.

View attachment 3516942
View attachment 3516943
Culture imekukuza kuona hivyo, write or whong is subjective
 
Back
Top Bottom