Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,994
- 4,446
Wanawake kwa ujasiri wamemzidi shetan
Ukifika 50+ na hujaoa tafuta katoto ka miaka 18 kuelekea 19 hadi 20 piga mimba usiparangane na mikurumbembe iliyojichokea utakufa mapema..Hivi sasa unakuta bibi wa miaka 60 anafungishwa ndoa na kijana wa miaka 20. Au baba wa miaka 59 anafunga ndoa na kasichana ka miaka 19. Hii ni ndoa kweli? Hakuna laana hapa?
Yaani mtoto wa miaka 19 au 20 akachezee uchi wa mtu mwenye miaka 59 au 60??
Huu siyo uchafu mbele za Mungu? Siyo laana hii?
ungekaa kimya tu badala ya kupotosha watu.Kwenye ukristo Maria alikuw na unri gani alipochumbiwa na Yosefu.
Shida hata dini yenu hamjui na hamtaki kusoma.
Kwenye vitabu vyenu vya biblia (Aprocrypha of James) vinasema MARIA ALIKUWA NA MIAKA 12 NA YOSEFU ALIKUWA NA MIAKA 90!! (GAP LA MIAKA 78)
Google hata kidogo basi ndugu.
Vipi haka katoto kenye miaka 19 katakapofikisha miaka 39 na mumewe mwenye 50 sasa, atakapokuwa na 80+, hapo mume si atakufa kwa stress za kuchapiwa?Ukifika 50+ na hujaoa tafuta katoto ka miaka 18 kuelekea 19 hadi 20 piga mimba usiparangane na mikurumbembe iliyojichokea utakufa mapema..
Hii ni mbinu mpya iliyozungumziwa kwenye kikao na member mpya kwenye kikao..
Ushakamua sana maziwa yako ya kutosha na hapo akifika 39 tayari kashazeeka safari mnadani au wewe hua unafuga ng'ombe mzee akupe nini? 80+ kula pension lea watoto lea wajukuu sio unawaza ngono mzee ushatiana sana miaka ya 20 kuelekea 50+ kuna nini kipya kingine kwenye ngono ukifikisha 80+ zaidi ya kusubiri kufa au unataka ufanye ngono uwahishwe kaburini na kisukari chako?Vipi haka katoto kenye miaka 19 katakapofikisha miaka 39 na mumewe mwenye 50 sasa, atakapokuwa na 80+, hapo mume si atakufa kwa stress za kuchapiwa?
Kuchapiwa ni lazima mkuu hata mkiwa na umri sawa. Kama bado hujaanza kuchapiwa jipe muda usione wanaochapiwa ni wajinga.Vipi haka katoto kenye miaka 19 katakapofikisha miaka 39 na mumewe mwenye 50 sasa, atakapokuwa na 80+, hapo mume si atakufa kwa stress za kuchapiwa?
Dada healthy gap ni ipi? hili swali sio personal lengo ni kusaka maarifa tu.Halafu mwanaume akitangulia kufa wanasingizia mwanamke kamuua wakati umri umechangia
Sio poa 😀Nimeipenda picha tu
Kweli mwanamke ni kiumbe jasiri😆
Aisee kumbe na miaka yangu hii 40 nitafute mtoto wa miaka 20 nioe eti?We mjuba vipi? Yaani nikahangaike na kikongwe mwenzangu aliyeishiwa nguvu na uke uke umepoa na kulegea wakati vigori wapo? Tena vigori wa motomoto mzee anapata joto na kupashika. Muachage utani na mapenzi
Tuwekee reference….Ilichukua miaka zaidi ya 600 kwa Adam kumpata Eva... Acha watu wapate kitu roho inapenda.
ni saizi yako huyo, oaAisee kumbe na miaka yangu hii 40 nitafute mtoto wa miaka 20 nioe eti?
Dada healthy gap ni ipi? hili swali sio personal lengo ni kusaka maarifa tu.
Wewe mwenye 40 mkeo hajazaliwaAisee kumbe na miaka yangu hii 40 nitafute mtoto wa miaka 20 nioe eti?
Ni kweli kabisa. Nimeona:-
Huyo wa kwenye picha ni mkubwa kwa umri au umbo?Ukisoma makala na hadithi mbalimbali kuhusu ndoa zinaonesha kuwa miaka ya nyuma viongozi wa dini ya kikristo walikuwa hawafungishi ndoa endapo wachumba wanatofautiana zaidi ya miaka 10. Walikuwa wanagoma.
Hivi sasa unakuta bibi wa miaka 60 anafungishwa ndoa na kijana wa miaka 20. Au baba wa miaka 59 anafunga ndoa na kasichana ka miaka 19. Hii ni ndoa kweli? Hakuna laana hapa?
Yaani mtoto wa miaka 19 au 20 akachezee uchi wa mtu mwenye miaka 59 au 60??
Huu siyo uchafu mbele za Mungu? Siyo laana hii?
Hapa chini ni picha mbaba mwenye miaka 61 anafunga ndoa na bonti wa miaka 20. Aibu naona mimi.
View attachment 3516942
View attachment 3516943