Nimeipenda picha tuUkisoma makala na hadithi mbalimbali kuhusu ndoa zinaonesha kuwa miaka ya nyuma viongozi wa dini ya kikristo walikuwa hawafungishi ndoa endapo wachumba wanatofautiana zaidi ya miaka 10. Walikuwa wanagoma.
Hivi sasa unakuta bibi wa miaka 60 anafungishwa ndoa na kijana wa miaka 20. Au baba wa miaka 59 anafunga ndoa na kasichana ka miaka 19. Hii ni ndoa kweli? Hakuna laana hapa?
Yaani mtoto wa miaka 19 au 20 akachezee uchi wa mtu mwenye miaka 59 au 60??
Huu siyo uchafu mbele za Mungu? Siyo laana hii?
Hapa chini ni picha mbaba mwenye miaka 61 anafunga ndoa na bonti wa miaka 20. Aibu naona mimi.
View attachment 3516942
View attachment 3516943
Tundra lililokomaa ndio tamu sana! Na gari mbovu daima hukokotwa na gari zimaUkisoma makala na hadithi mbalimbali kuhusu ndoa zinaonesha kuwa miaka ya nyuma viongozi wa dini ya kikristo walikuwa hawafungishi ndoa endapo wachumba wanatofautiana zaidi ya miaka 10. Walikuwa wanagoma.
Hivi sasa unakuta bibi wa miaka 60 anafungishwa ndoa na kijana wa miaka 20. Au baba wa miaka 59 anafunga ndoa na kasichana ka miaka 19. Hii ni ndoa kweli? Hakuna laana hapa?
Yaani mtoto wa miaka 19 au 20 akachezee uchi wa mtu mwenye miaka 59 au 60??
Huu siyo uchafu mbele za Mungu? Siyo laana hii?
Hapa chini ni picha mbaba mwenye miaka 61 anafunga ndoa na bonti wa miaka 20. Aibu naona mimi.
View attachment 3516942
View attachment 3516943
Hakuna uhusiano wowote kati ya kufa na umri ulio nao, mtu hafi kwa sababu amefikisha umri furani bali anakufa kwa kwa sababu siku zake za kuwa duniani kuisha.Halafu mwanaume akitangulia kufa wanasingizia mwanamke kamuua wakati umri umechangia
Siku hizi duu aisee imeishaπHalafu mwanaume akitangulia kufa wanasingizia mwanamke kamuua wakati umri umechangia
Kwenye ukristo Maria alikuw na unri gani alipochumbiwa na Yosefu.Ukisoma makala na hadithi mbalimbali kuhusu ndoa zinaonesha kuwa miaka ya nyuma viongozi wa dini ya kikristo walikuwa hawafungishi ndoa endapo wachumba wanatofautiana zaidi ya miaka 10. Walikuwa wanagoma.
Hivi sasa unakuta bibi wa miaka 60 anafungishwa ndoa na kijana wa miaka 20. Au baba wa miaka 59 anafunga ndoa na kasichana ka miaka 19. Hii ni ndoa kweli? Hakuna laana hapa?
Yaani mtoto wa miaka 19 au 20 akachezee uchi wa mtu mwenye miaka 59 au 60??
Huu siyo uchafu mbele za Mungu? Siyo laana hii?
Hapa chini ni picha mbaba mwenye miaka 61 anafunga ndoa na bonti wa miaka 20. Aibu naona mimi.
View attachment 3516942
View attachment 3516943
Hahaaaa kwa utu uzima wangu huu bado siwezi olewa na mtu mwenye miaka 60,no wayUkisoma makala na hadithi mbalimbali kuhusu ndoa zinaonesha kuwa miaka ya nyuma viongozi wa dini ya kikristo walikuwa hawafungishi ndoa endapo wachumba wanatofautiana zaidi ya miaka 10. Walikuwa wanagoma.
Hivi sasa unakuta bibi wa miaka 60 anafungishwa ndoa na kijana wa miaka 20. Au baba wa miaka 59 anafunga ndoa na kasichana ka miaka 19. Hii ni ndoa kweli? Hakuna laana hapa?
Yaani mtoto wa miaka 19 au 20 akachezee uchi wa mtu mwenye miaka 59 au 60??
Huu siyo uchafu mbele za Mungu? Siyo laana hii?
Hapa chini ni picha mbaba mwenye miaka 61 anafunga ndoa na bonti wa miaka 20. Aibu naona mimi.
View attachment 3516942
View attachment 3516943
Mzee Bakhresa akija kukuposa leo utakataa?Hahaaaa kwa utu uzima wangu huu bado siwezi olewa na mtu mwenye miaka 60,no way
Sembuse mwenye 20???
Hivi ava wazazi huyu binti???au ndo ukute aneambiwa hasikii? Au pesa?
Naana kuna wazazi wakioona pesa hawajali
ππππ
Ndoa ya kimkakatiHalafu mwanaume akitangulia kufa wanasingizia mwanamke kamuua wakati umri umechangia
Ni kitabu gani na mstari gani mzeeKwenye ukristo Maria alikuw na unri gani alipochumbiwa na Yosefu.
Shida hata dini yenu hamjui na hamtaki kusoma.
Kwenye vitabu vyenu vya biblia (Aprocrypha of James) vinasema MARIA ALIKUWA NA MIAKA 12 NA YOSEFU ALIKUWA NA MIAKA 90!! (GAP LA MIAKA 78)
Google hata kidogo basi ndugu.
Kwaiyo wewe ukija kuposwa utakubali kwasababu ya utajiri?Mzee Bakhresa akija kukuposa leo utakataa?