Utofauti huu wa umri kati ya wanandoa haukubaliki. Viongozi wa dini zingatieni maadili

Ukifika 50+ na hujaoa tafuta katoto ka miaka 18 kuelekea 19 hadi 20 piga mimba usiparangane na mikurumbembe iliyojichokea utakufa mapema..

Hii ni mbinu mpya iliyozungumziwa kwenye kikao na member mpya kwenye kikao..
 
ungekaa kimya tu badala ya kupotosha watu.
 
Ukifika 50+ na hujaoa tafuta katoto ka miaka 18 kuelekea 19 hadi 20 piga mimba usiparangane na mikurumbembe iliyojichokea utakufa mapema..

Hii ni mbinu mpya iliyozungumziwa kwenye kikao na member mpya kwenye kikao..
Vipi haka katoto kenye miaka 19 katakapofikisha miaka 39 na mumewe mwenye 50 sasa, atakapokuwa na 80+, hapo mume si atakufa kwa stress za kuchapiwa?
 
Vipi haka katoto kenye miaka 19 katakapofikisha miaka 39 na mumewe mwenye 50 sasa, atakapokuwa na 80+, hapo mume si atakufa kwa stress za kuchapiwa?
Ushakamua sana maziwa yako ya kutosha na hapo akifika 39 tayari kashazeeka safari mnadani au wewe hua unafuga ng'ombe mzee akupe nini? 80+ kula pension lea watoto lea wajukuu sio unawaza ngono mzee ushatiana sana miaka ya 20 kuelekea 50+ kuna nini kipya kingine kwenye ngono ukifikisha 80+ zaidi ya kusubiri kufa au unataka ufanye ngono uwahishwe kaburini na kisukari chako?
 
We mjuba vipi? Yaani nikahangaike na kikongwe mwenzangu aliyeishiwa nguvu na uke uke umepoa na kulegea wakati vigori wapo? Tena vigori wa motomoto mzee anapata joto na kupashika. Muachage utani na mapenzi
 
Kuna makabila mke akizeeka anakuwa hawezi tena shughuli ya kitandani inabidi mzee aoe kigori chenye kuhimili shoo kali za kuchakatwa. Wengine wanaongeza uzao kwa mke wa pili kwani wa kwanza hufika ukomo wa kuzaa huku mzee anataka kupata watoto zaidi
 
Huyo wa kwenye picha ni mkubwa kwa umri au umbo?
 
Picha uliyoiweka haina uhalisia wa mada husika, hapo nimeona mwanamke mwenye umbo dogo akiwa na mwanaume mwenye umbo kubwa.

Em angalia umbo la halland mchezaji wa Man City, utaamini ana miaka 25? Kwa umbo lake Kiafrika ni ana miaka 40+

Anyway, siungi mkono hilo jambo ila hilo jambo haliwahusu wanaofundisha ndoa Bali Hao wahusika wanaofunga ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…